Kasi ya Rais Samia yawapoteza CHADEMA katika ramani ya siasa, hakina tena ushawishi kwa Watanzania

Tatizo lako unadhani Chadema ndio tatizo la nchi. Chadema ni political competitor wa CCM. Halafu kuwa mzalendo sio kuwatukana Chadema kila siku.
Huyu chawa anadhani kazi ya Upinzani ni uadui.
 
Huyu chawa anadhani kazi ya Upinzani ni uadui.
Hata Mimi natambua kuwa siasa siyo uadui Bali Ni tofauti tu ya mitizamo katika kuijenga nchi yetu na njia za kupita na kufikia maendeleo wanayohitaji wananchi, kwa Sasa ukweli Ni kuwa wananchi wanaridhishwa na utendaji kazi wa serikali ya CCM chini ya mh Rais Samia Ndio sababu ya uungwaji mkono mkubwa anaoupata toka kwa watanzania huku nchi ikiwa Tulivu na yenye amani kila mahali
 
Njnyi mtu alipwe mshahara kwa kiapo chake, leo mumusifie? Ndy maana nimweambia sifieni mabadiliko ya kijijini kwenu.Je yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…