Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #101
Hakuna walipotukanwa zaidi ya kuambiwa ukweliUmejaza minofu tu naongeza mchuzi kidogo " Kuwa mzalendo sio kuwatukana chadema na kujipendekeza CCM.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna walipotukanwa zaidi ya kuambiwa ukweliUmejaza minofu tu naongeza mchuzi kidogo " Kuwa mzalendo sio kuwatukana chadema na kujipendekeza CCM.
Huyu chawa anadhani kazi ya Upinzani ni uadui.Tatizo lako unadhani Chadema ndio tatizo la nchi. Chadema ni political competitor wa CCM. Halafu kuwa mzalendo sio kuwatukana Chadema kila siku.
Hata Mimi natambua kuwa siasa siyo uadui Bali Ni tofauti tu ya mitizamo katika kuijenga nchi yetu na njia za kupita na kufikia maendeleo wanayohitaji wananchi, kwa Sasa ukweli Ni kuwa wananchi wanaridhishwa na utendaji kazi wa serikali ya CCM chini ya mh Rais Samia Ndio sababu ya uungwaji mkono mkubwa anaoupata toka kwa watanzania huku nchi ikiwa Tulivu na yenye amani kila mahaliHuyu chawa anadhani kazi ya Upinzani ni uadui.
Hopeless kabisaMtulie muache makelele yenu wakati serikali inawatumikia watanzania kwa uzalendo mkubwa
Njnyi mtu alipwe mshahara kwa kiapo chake, leo mumusifie? Ndy maana nimweambia sifieni mabadiliko ya kijijini kwenu.Je yako?Acha makasiliko jamaa kaongea fat sana Rais Samia Suluhu amegusa kila sekta inayomlenga mwananchi direct amepunguza gharama za kilimo, ameboresha sekta ya elimu, miundombinu, maji mpaka vijijini pia anatoa mikopo ya mashart nafuu kwa vijana tutake nini tena watanzania Rais Samia Suluhu anaupiga mwingi