komunisti
JF-Expert Member
- Jan 5, 2015
- 1,173
- 1,654
Wala Hakuna mwenye shida na nyinyi ndio maana mmepuuzwa na watanza
basi punguza genye kuifatafata chama kubwa CHADEMAWala Hakuna mwenye shida na nyinyi ndio maana mmepuuzwa na watanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wala Hakuna mwenye shida na nyinyi ndio maana mmepuuzwa na watanza
basi punguza genye kuifatafata chama kubwa CHADEMAWala Hakuna mwenye shida na nyinyi ndio maana mmepuuzwa na watanzania
Vipi zile hela za join the chain? Watu wanauliza mbona kimya hakuna mrejesho? Au mmeshapigia maji Kama kawaida yenuBila wapiga kwata Kuna chama kinakufa asubuhi peupee
Kichwa imepigwa lock haiwezi kufkiri tofauti Mana ukiona opposition unafkiri Ni CDM🤣Vipi zile hela za join the chain? Watu wanauliza mbona kimya hakuna mrejesho? Au mmeshapigia maji Kama kawaida yenu
Mbona hujajibu swali langu? Pesa za join the chain zipo wapi na mlikusanya shilingi ngapi?Kichwa imepigwa lock haiwezi kufkiri tofauti Mana ukiona opposition unafkiri Ni CDM🤣
Mama hana kasi yoyote wala ushawishi kwa jamii bali kinachotokea kwa CHADEMA ni kukubsali kupata maslahi ya kutunisha mifuko yao toka kwa huyo mama, na si CHADEMA tu hata ACT na ni wale wale, Zitto Kabwe alikuwa ni mtu wa kupambana na MAgufuli, zikitoka takwimu za TRA za makusanyo ya kodi, yeye anakuja na za kwake lakini leo hii humsikii akitamka lolote, kwisha habari yao wote.Hapana mkuu wangu Mimi siwatukani chadema Ila nawaeleza ukweli naouona kwa kuiangalia chadema ya Sasa na Ile ya 2015 kurudi nyuma Hadi 2010 ambapo ndipo ilikuwa imepamba Moto na kuwavuta vijana wengi na watu wengi kuiunga mkono na kujiunga nayo
Ndugu zangu Hivyo Ndivyo Hali Ilivyo kwa Sasa, Kasi ya Rais Samia kuwatumikia watanzania wa makundi yote,vyama vyote, Rika zote, jinsia zote, Kanda zote, Dini zote,makabila yote,maeneo yote na watu wa Hali zote bila ubaguzi wa aina yoyote kumeipoteza Chadema Katika Ramani ya siasa hapa nchini na kubakia chama Cha kurukia vimatukio vya kupita kama upepo.
Hii inatokana na kazi kubwa ya Rais Samia aliyoifanya ndani ya muda mfupi katika kuwatumikia watanzania, kila kundi na kila mtu kwa Sasa anamuona mama Samia kuwa Ni Rais wake, Ndio sababu ukienda secta binafsi utakuta anapongezwa kwa kuweka mazingira mazuri ya kiuwekezaji, ukienda kwa wafanyabiashara utakuta wanampongeza kwa kufanya mazingira ya biashara kuwa rafiki kwao.
Ukienda kwa wakulima utakuta anapongezwa kwa namna alivyo wasaidia wakulima kupungua kwa Bei ya mbolea na kupongezwa kwa bajeti ya Wizara ya kilimo kuongezeka, ukienda kwa wanafunzi wa vyuo vikuu utakuta wanampongeza kwa namna alivyowasaidia kupata Elimu baada ya kuwa wamepewa mkopo wa elimu ya juu, ukienda kwa wafugaji, wavuvi, wajasiriamali, bodaboda, machinga, watumishi wa umma, vijana, wazee,wakina mama wote utakuta wanampongeza Rais Samia kwa kuwasaidia katika shughuri zao na kuwawekea mazingira wezeshi.
Makundi haya ambayo yanamuunga mkono mama Samia Ndio yalikuwa Tegemeo la Chadema kuendeshea propaganda zake na kupandikiza chuki kwao ili waichukie CCM na serikali yake, Ndio maana ulikuwa ukiona makundi haya muda mwingi yanatupa lawama kwa serikali kuwa inayadidimiza kiuchumi, wafanyabiashara wakawa wanalia Sana kuwa wanakomolewa Sana katika suala Zima la ukadiliwaji wa kodi, hivyo wakawa wanawaunga mkono upinzani na hata kuwachangia fedha.
Lakini kwa Sasa baada ya Rais Samia kukaa na viongozi wa makundi Tofauti Tofauti ikiwemo viongozi wa machinga, kukaa na wachungaji, maaskofu, mashehe, vijana na wengine wengi na kuweza kuwasikiliza na kutatua kero zao na kutoa matumaini, Sasa makundi haya yamejenga Imani kubwa Sana kwa Rais mama Samia, yanamuunga mkono Rais kwa Sasa, yanamsikiliza na kumheshimu mh Rais kwa Sasa na yanajivunia Sana mama Samia kuwa Rais wao.
Hapa ndipo upweke wa chadema ulipoingilia maana kwa Sasa chadema imepuuzwa, haisikilizwi na mtu, haiungwi mkono na mtu, haifuatiliwi na watu Kama zamani, haina ushawishi kwa kundi lolote huku mitaani, Haina ngome ya kundi lolote au mkoa wowote, Haina mizizi yoyote kwa Sasa,imebaki Kama Tawi tu linaloelea na linalosubili kuangushwa na upepo mdogo tu, Chadema imekata Tamaa Sana, imejichokea,imepoteza mvuto kwa watanzania wa Rika zote.
Chadema kwa Sasa haina Sera Wala ajenda za kueleweka na wananchi, lakini kibaya zaidi Ni kuwa imekosa Dira na muelekeo hivyo kubaki inaenda tu Kama gari iliyokosa Taa usiku, Hii ni kutokana na kuwa mama Samia kabeba Sera na ajenda zote muhimu zenye kugusa maisha ya watanzania wa makundi yote na Rika zote na hivyo kuungwa mkono na makundi hayo yote.
Poleni Sana chadema, Ukurasa wenu ulishafungwa na watanzania, mizizi yenu ilishatupwa baharini,Huwezi kusimama Tena, wakati wenu ulishapita, Hamna namna zaidi ya kumuunga mkono Rais Samia kwa Sasa, msione aibu maana Wote Tupo na Samia, wote waliopoteza matumaini Sasa Wana matumaini na Imani na Rais Samia kuwavusha darajani, msishupaze shingo zenu maana mtaishia kuumia tu, watanzania hawana habari nanyi Tena ndio maana hawawasikilizi kwa lolote zaidi ya kuwapuuza tu na kuwaona wababaishaji, Huku Rais Samia akizidi kuchanja mbuga katika MIOYO ya mamillioni ya Watanzania.
Kazi iendeleee, mama Ametufikia na kuwafikia Watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti
Lucas Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
Kwani wewe Nani amekuzuia kuja na takwimu zako? Watu wameridhishwa na utendaji kazi wa Rais SamiaMama hana kasi yoyote wala ushawishi kwa jamii bali kinachotokea kwa CHADEMA ni kukubsali kupata maslahi ya kutunisha mifuko yao toka kwa huyo mama, na si CHADEMA tu hata ACT na ni wale wale, Zitto Kabwe alikuwa ni mtu wa kupambana na MAgufuli, zikitoka takwimu za TRA za makusanyo ya kodi, yeye anakuja na za kwake lakini leo hii humsikii akitamka lolote, kwisha habari yao wote.
Mbona hata kipindi hicho mlipiga makelele kuwa mnabanwa na hampo huru?Now hawako free kufanya siasa kama wakati wa JK
Hayo unayoongea ingekuwa chadema wako huru kama kipindi kile sidhan kama ungesema hivyo now
Hoja ya kila Mbunge aongee kwenye Jimbo lake ndio imeua upinzani sana
Chadema hawajui techniques za kisiasa , either hawako serious au ni washamba wa siasa , mwanasiasa Hana adui wa kudumu wala rafk wa kudumu , wakati Maghufuli yupo walikuwa na uadui naye , Jambo ambalo ni move nzuri kisiasa , Maghufuli alikuwa na maadui wengi pia ndani ya CCM , Jiwe amekufa walivyo hawajitambui wakaungana na CCM , wakaanza kumsifu Samia , bila kujua kuwa hyo inawaua kisiasa , kama unamsifia Leo kivip utakuja kumpinga kesho...
Badala ya kumtumia Jiwe kama ngazi , wanaenda kukumbatia kichaka cha mabua , watakula jeuri yao
Kwani marekani wakimaliza uchaguzi ulishaona wanazulula mitaani Kama nyinyi wapinzani mnavyotaka hapa? Huu Ni muda wa CCm kuwatumikia watanzania wanyongeCCM wanajua nguvu ya chadema ukiwaacha huru na ndio maana waleta Yale Mambo ya kila Mbunge aongee kwenye Jimbo lake
CCM wanapata fursa nyingi mfano:
Kila sehemu ambayo rais atahutubia na wao wanapata nafasi ya kupiga siasa
Kitu ambacho chadema hakuna,
Kama tunataka kupima siasa then kila mtu awe free
Mbona hata kipindi hicho mlipiga makelele kuwa mnabanwa na hampo huru?
Kwani marekani wakimaliza uchaguzi ulishaona wanazulula mitaani Kama nyinyi wapinzani mnavyotaka hapa? Huu Ni muda wa CCm kuwatumikia watanzania wanyonge
Kwani marekani wakimaliza uchaguzi ulishaona wanazulula mitaani Kama nyinyi wapinzani mnavyotaka hapa? Huu Ni muda wa CCm kuwatumikia watanzania wanyonge
Ndugu zangu Hivyo Ndivyo Hali Ilivyo kwa Sasa, Kasi ya Rais Samia kuwatumikia watanzania wa makundi yote,vyama vyote, Rika zote, jinsia zote, Kanda zote, Dini zote,makabila yote,maeneo yote na watu wa Hali zote bila ubaguzi wa aina yoyote kumeipoteza Chadema Katika Ramani ya siasa hapa nchini na kubakia chama Cha kurukia vimatukio vya kupita kama upepo.
Hii inatokana na kazi kubwa ya Rais Samia aliyoifanya ndani ya muda mfupi katika kuwatumikia watanzania, kila kundi na kila mtu kwa Sasa anamuona mama Samia kuwa Ni Rais wake, Ndio sababu ukienda secta binafsi utakuta anapongezwa kwa kuweka mazingira mazuri ya kiuwekezaji, ukienda kwa wafanyabiashara utakuta wanampongeza kwa kufanya mazingira ya biashara kuwa rafiki kwao.
Ukienda kwa wakulima utakuta anapongezwa kwa namna alivyo wasaidia wakulima kupungua kwa Bei ya mbolea na kupongezwa kwa bajeti ya Wizara ya kilimo kuongezeka, ukienda kwa wanafunzi wa vyuo vikuu utakuta wanampongeza kwa namna alivyowasaidia kupata Elimu baada ya kuwa wamepewa mkopo wa elimu ya juu, ukienda kwa wafugaji, wavuvi, wajasiriamali, bodaboda, machinga, watumishi wa umma, vijana, wazee,wakina mama wote utakuta wanampongeza Rais Samia kwa kuwasaidia katika shughuri zao na kuwawekea mazingira wezeshi.
Makundi haya ambayo yanamuunga mkono mama Samia Ndio yalikuwa Tegemeo la Chadema kuendeshea propaganda zake na kupandikiza chuki kwao ili waichukie CCM na serikali yake, Ndio maana ulikuwa ukiona makundi haya muda mwingi yanatupa lawama kwa serikali kuwa inayadidimiza kiuchumi, wafanyabiashara wakawa wanalia Sana kuwa wanakomolewa Sana katika suala Zima la ukadiliwaji wa kodi, hivyo wakawa wanawaunga mkono upinzani na hata kuwachangia fedha.
Lakini kwa Sasa baada ya Rais Samia kukaa na viongozi wa makundi Tofauti Tofauti ikiwemo viongozi wa machinga, kukaa na wachungaji, maaskofu, mashehe, vijana na wengine wengi na kuweza kuwasikiliza na kutatua kero zao na kutoa matumaini, Sasa makundi haya yamejenga Imani kubwa Sana kwa Rais mama Samia, yanamuunga mkono Rais kwa Sasa, yanamsikiliza na kumheshimu mh Rais kwa Sasa na yanajivunia Sana mama Samia kuwa Rais wao.
Hapa ndipo upweke wa chadema ulipoingilia maana kwa Sasa chadema imepuuzwa, haisikilizwi na mtu, haiungwi mkono na mtu, haifuatiliwi na watu Kama zamani, haina ushawishi kwa kundi lolote huku mitaani, Haina ngome ya kundi lolote au mkoa wowote, Haina mizizi yoyote kwa Sasa,imebaki Kama Tawi tu linaloelea na linalosubili kuangushwa na upepo mdogo tu, Chadema imekata Tamaa Sana, imejichokea,imepoteza mvuto kwa watanzania wa Rika zote.
Chadema kwa Sasa haina Sera Wala ajenda za kueleweka na wananchi, lakini kibaya zaidi Ni kuwa imekosa Dira na muelekeo hivyo kubaki inaenda tu Kama gari iliyokosa Taa usiku, Hii ni kutokana na kuwa mama Samia kabeba Sera na ajenda zote muhimu zenye kugusa maisha ya watanzania wa makundi yote na Rika zote na hivyo kuungwa mkono na makundi hayo yote.
Poleni Sana chadema, Ukurasa wenu ulishafungwa na watanzania, mizizi yenu ilishatupwa baharini,Huwezi kusimama Tena, wakati wenu ulishapita, Hamna namna zaidi ya kumuunga mkono Rais Samia kwa Sasa, msione aibu maana Wote Tupo na Samia, wote waliopoteza matumaini Sasa Wana matumaini na Imani na Rais Samia kuwavusha darajani, msishupaze shingo zenu maana mtaishia kuumia tu, watanzania hawana habari nanyi Tena ndio maana hawawasikilizi kwa lolote zaidi ya kuwapuuza tu na kuwaona wababaishaji, Huku Rais Samia akizidi kuchanja mbuga katika MIOYO ya mamillioni ya Watanzania.
Kazi iendeleee, mama Ametufikia na kuwafikia Watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti
Lucas Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
Hizo Kodi unazani zikikosa usimamaizi madhubuti utaziona? Unafikiri Kodi yako pekee inatosha kuendesha na kuijenga nchi hii? Tambua Kuna kazi kubwa na ya ziada inayofanywa na mh Rais katika ujenzi wa Taifa letu ikiwemo kuvutia wawekezaji hapa nchini, watalii Kama ulivyoona ubunifu wa royal TourWatanzania wanyonge wanatumikiwa na CCM au Kodi zetu wote?
Au Kodi mnatoa CCM tu
Situmii kilevi chochoteMzee unatumia Kilevi gani?
US unafananisha na Africa?
Unajua unachoongea lkn? US na ss hakuna vitu tunafanana kuanzia rangi mpaka mfumo wa siasa
Situmii kilevi chochote
Umejaza minofu tu naongeza mchuzi kidogo " Kuwa mzalendo sio kuwatukana chadema na kujipendekeza CCM.Tatizo lako unadhani Chadema ndio tatizo la nchi. Chadema ni political competitor wa CCM. Halafu kuwa mzalendo sio kuwatukana Chadema kila siku.
Umesema katika siasa hakuna adui/rafiki wa kudumu,kama hivyo ndivyo watashindwa vipi kumkosoa waliyemsifia jana?Chadema hawajui techniques za kisiasa , either hawako serious au ni washamba wa siasa , mwanasiasa Hana adui wa kudumu wala rafk wa kudumu , wakati Maghufuli yupo walikuwa na uadui naye , Jambo ambalo ni move nzuri kisiasa , Maghufuli alikuwa na maadui wengi pia ndani ya CCM , Jiwe amekufa walivyo hawajitambui wakaungana na CCM , wakaanza kumsifu Samia , bila kujua kuwa hyo inawaua kisiasa , kama unamsifia Leo kivip utakuja kumpinga kesho...