Kasi ya wanandoa kutoka nje ya ndoa zao inatisha na kutishia uhai wa taasisi ya "NDOA"

Kasi ya wanandoa kutoka nje ya ndoa zao inatisha na kutishia uhai wa taasisi ya "NDOA"

Mimi mke wangu sijawahi kumuhisi anatoka nje ya ndoa wala mimi sitoki nje ya ndoa yangu naishi kiapo changu.

Hiyo nadhani ni hulka ya mtu na mtu hasa wale wasiozipa akili zao tuition ya kuwaza mazuri na mabaya yatakayotokea baada ya matendo hayo
 
Hivi ni lini mtaacha kuishi kwa kujinyima na
📌kataa ndoa,ndoa ni utapeli!!!

CHAPA ILALE kama huwezi kuvumilia kuchapiwa!!!

Unaogopa kuishi mwenyewe huo ushamba wenu ndio mnaanza kufa na mawazo kisha kulazimisha kuishi na washenzi au unajikuta unafanya mauaji wakati ukiishi mwenyewe unachapa unasogeza unachapa. Tena kama hutaki JAM UNAENDA UNAFUNGA KIZAZI🤗

Hutapata kesi za kijanga jinga mara dawati la jinsia mara sijui mahakamani mnakabana mashati kuhusu CHILD SUPPORT.Wewe mtu akikubambikia straight mbaenda mahakani na vithibitisho na daktari anatoa ushahidi kuwa wewe unatumia uzazi wa mpango🤗🤗🤗

Ni humu tuuu kwanza faida ya uzazi iko wapi watu wanakufa kila siku huko gaza na pia kuna majnga ya kidunia kila uvhwao so wewe kuzaa au kutokuzaa ni nothing huongezi wala hupunguzi chochote dunia tiari iko balanced ,ukichoka KUZICHAPA unatulia unasubiri kufa kwa amani!!!
Maandishi ya rika changa tu haya kua kwanza then urudi hapa
 
CHAPA ILALE kama huwezi kuvumilia kuchapiwa!!!

Unaogopa kuishi mwenyewe huo ushamba wenu ndio mnaanza kufa na mawazo kisa kulazimisha kuishi na washenzi au unajikuta unafanya mauaji wakati ukiishi mwenyewe unachapa unasogeza unachapa mwendo mdundo. Tena kama hutaki JAM UNAENDA UNAFUNGA KIZAZI🤗

Hutapata kesi za kijanga jinga mara dawati la jinsia mara sijui mahakamani mnakabana mashati kuhusu CHILD SUPPORT.Wewe mtu akikubambikia straight mbaenda mahakani na vithibitisho na daktari anatoa ushahidi kuwa wewe unatumia uzazi wa mpango🤗🤗🤗

Ni humu tuuu kwanza faida ya uzazi iko wapi watu wanakufa kila siku huko Gaza na pia kuna majanga ya kidunia kila uchwao so wewe kuzaa au kutokuzaa ni nothing huongezi wala hupunguzi chochote dunia tiyari iko balanced ,ukichoka KUZICHAPA unatulia unasubiri kufa kwa amani!!!

📌Kataa ndoa,ndoa ni utapeli!!!
Kwa kweli naheshimu mtazamo wako ndugu
 
Sisi ni wanyama kama wanyama wengine...

Na sifa ya mnyama kama ni dume hua anakua na majike wengi...

Hiyo ndiyo nature...

Cc: Mahondaw
USISAHAU!!!

Na sifa ya jike ni kupandwa na yoyote atakayeweza kumuwini moyo wake😁😁😁

📌Kataa ndoa,ndoa ni utapeli!!!
 
Kwasababu ukitazama kwa jicho lingine tafsiri ya ndoa kwangu naweza kusema ni challenge ya watu wawili kupambana kuweza kuishinda asili.

Asili gani hapa nayoizungumzia.

Maisha ya binadamu yamezungukwa na mambo mengi na katika hayo mambo yapo ambayo hayatoki nje yake bali yapo ndani yake kwa maana ni asili ambayo inaishi ndani yake.

Na moja ya hiyo asili ni "kinai"

Kukinai ni jambo la kiasili la mtu kupunguza matamanio dhidi ya jambo fulani.

Kwasababu mahusiano ni kitu ambacho kinaishi kwenye circle ya hisia, hisia ambazo zinaweza kuwa affected na "Kinai" basi hapa ndio tunaweza kuona outcome ya mambo mengi ikiwemo cheating, Talaka nk.

Kinai inaweza kutokea kwa mazingira mengi lakini ile iliyo kuu mara nyingi hutokea baada ya mtu kukizoea sana kitu.

Ukikizoea sana kitu automatically unapunguza hisia za kimshangao na ule msisimko unapotea kabisa.

Ukimpenda sana mtu akakuvutia na hisia zako zitakuwa juu sana hususan pale ambapo unakuwa na shauku ya kutaka kufanya jambo fulani litaloweza kustawisha upendo wako kwake halafu hiyo nafasi ikawa haipatikani kirahisi.

Mfano siku ya kwanza kumzimikia manzi unakuwa na hisia kali sana na pale ambapo unamvizia ili uteme sumu halafu ukakutana na mazingira yake kuwa ni geti kali na ulinzi mwingi.

Hapo ndio hisia zinazidi kuwa juu kwasababu ile desire ya kutaka kumuona halafu nafasi hiyo hauipati ndio inayochochea hisia zizidi kupanda.

Hii ndio moment ambayo wengine wanasema hawawezi kuishi bila hao wenza wanaowafukuzia.

Lakini suddenly ukamuoa, na sasa ukawa unapata airtime ya kutosha ya kumuona kila siku na sio tu hivyo mkawa mnala kila kitanda kimoja, mnazagabuana na vitu kama hivyo.

Baada ya miezi michache mbele ukikaa chini utagundua zile hisia ambazo ulikuwa nazo kipindi chenu cha dating ni tofauti na hizi hisia ulizonazo baada ya miezi kadhaa ya ndoa.

Kipindi chenu cha dating inawezekana alikuwa anaku turn on kwa tabasamu lake tu. Lakini saizi hata akuvulie unaweza usidise.

Umemchoka.

Hata awe Beyonce au Miss world utamchoka tu na kuna time unaweza ukawa unajiona mjinga ukikumbuka kipindi unamfukuzia uliwahi kumwambia upo tayari kufa kwa ajili yake.

Ukifikia hatua ya kukinai utajiona mjinga ukikumbuka kipindi unamfukuzia uliwahi kukosana na rafiki zako wa tangu utotoni kisa yeye.

Ukimchoka ndio kinai yenyewe hiyo.

Kwa kiwango kipi? Hii SI Unit ya kiwango ndio maana halisi ya ndoa.

Wapo waliokinai ila wakaweza kutulia kwenye ndoa zao ili kutunza maadili ya ndoa na kiapo.

Wapo waliokinai wakashindwa kuendelea na mahusiano ambayo kila mmoja hana hisia na mwenzake hivyo wakaafikiana kupeana talaka. (Na muda mrefu wa talaka ambao watakuwa separated unaweza ku restore hisia zao tena)

Na hao wengine ndio hao ambao wana cheat.
 
Habari za muda huu waungwana wa hapa jukwaani.

Sijui ni mimi peke yangu tu ama ni macho ya wengi pia yanatazama kama nitazamavo mimi....

Nimekuwa nikishuhudia matukio kadhaa ya kustaajabisha, kushangaa lakini pia yana hudhunisha kuhusu matukio ya wanandoa kutoka nje ya na vile vile namna ambavyo walengwa wanavyochukulia kuwa ni hali ya kawaida kabisa..

Katika mikusanyiko ya watu na vijiwe vya kahawa nasikia baadhi ya watu wakitoa mitazamo yao kuhusu jambo hilo yenye kushangaza kuogofya kwenye masikio ya waungwana..

Jamaa anasema..." siku hizi hakuna mwanamke wa peke yako kaka, kikubwa kuheshimiana tu afanye nisije Tu"

Dada mmoja naye anasema kuwa.."Hakuna mwanaume asiyetoka na mwanamke nje ya mkewe... kikubwa heshima tu akafanyie huko uchafu wake"

Yaani imefikia hatua mpaka wanandoa wanajua kabisa kuwa kwenye muunganiko huu kuna wengine wa ziada na nafsi zao zimeridhika na hilo

Thamani ya muunganiko mtakatifu wa ndoa iko wapi?

Dhumuni hasa la ndoa liko wapi ikiwa mtu anaweza kuyafanya machafu yaliyomsukuma kufunga ndoa ili apate stara?

Ni heshima ipi inayozungumziwa na hawa wanandoa Hali ya kuwa unajua fika kuwa unafanya lile lisilompendeza mwenzi wako?

Muendelezo wa matendo machafu haya yanapelekea vijana kutoona umuhimu wa kuoa ikiwa anawaona wanandoa wanafanya yale wanayoyafanya wao.

Tumefikaje huku..?
Kataa ndoa
 
kubali kutombewa sasa ili uonekane unaakili na unabusara kumbe fala mmoja tu hivi!!!
Maandishi yako ni ya kitoto sana mimi siwezi kubishana na wewe.

Kwa akili za maandishi haya mtu mzima anaewaza sawasawa kichwani hawezi akakaa akasema ana-battle lolote kuhusu maisha na wewe,unaamkia nyumba wanamoamkia mpaka leo baba na mama yako chumba kimoja then unaandika vitu vya ajabu kabisa,baba yako angemsogeza mama yako akamzalisha wewe leo ungekuwa na maisha uliyo nayo?

Hovyo kabisa!!!
 
UKISHAJUA VITU VIWILI BASI HUNA HAJA YA KUOA.

1.KUKINAI HASA KWA WANAUME( MWANADAMU AMEUMBWA KUKINAI)

2.MWANAMKE AMEUMBWA NA TAMAA YA KUTAKA VILIVYO BORA ZAIDI ( HYPERGAMY)

Kuchepuka haijaanza jana wala juzi ni swala kongwe kama ilivyo UKAHABA( UMALAYA).Acheni kujitesa huwezi kumlinda/ kumfuga huyo kiumbe mwenye akili zake timamu mliyekutana ukubwani.Furahia maisha acha masononeko.

TAFTENI HELA!!!TAFTENI HELA!!!Mwanaume kamili huwezi kumlinda mwanamke yeye ndo anatakiwa akulinde wewe dhidi ya vitoto vya elfu mbili, maana wewe unahela. Maskini na SIMPS ndo wanalinda wanawake zao!!

📌Kataa ndoa,ndoa ni utapeli!!
 
Back
Top Bottom