Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Oeni Wacha Mungu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanaume anayejitambua (ieleweke,mwanaume kuwa na ndevu hakumfanyi aonekane anajitambua that's why mpaka leo kuna wahuni wazee) kuoa huja a’cally hiyo haijalishi umeona upweke au hujaona wala hasubiri aambiwe.Unataka kusema kwa kadri unavyokuwa ndio hamu ya kuoa na kuishi upweke ndio inaongezeka....??
Ndugu yangu siku hizi wacha Mungu wapo midomoni tu na sio mioyoni ndio maana hata huko makanisani na misikitini kunanuka kashfa za ngono na umalayaOeni Wacha Mungu.
Ni jambo jema ndugu.....Mungu akulindie upendo uliopo kwenye familia yakoMwanaume anayejitambua (ieleweke,mwanaume kuwa na ndevu hakumfanyi aonekane anajitambua that's why mpaka leo kuna wahuni wazee) kuoa huja a’cally hiyo haijalishi umeona upweke au hujaona wala hasubiri aambiwe.
Binafsi nikiwa na umri fulani nilikuwa siwazi kuoa but ilifika wakati nikawaza tu ngoja nioe na nikaoa leo mwaka wa 13 with three kids,humu mna vitoto vidogo vinadhani vinayajua maisha kumbe they know nothing about it.
Nope!!!Watu wanaogopa maisha ya upweke hivyo wanalazimika kuwavumilia wazinzi na mashetani ilmradi waonekane na wao wako ndoani
Dingi tulia nikujuze mbaga unazoleta ungekuwa umekuwa sana usingekuwa kwenye JUKWAA LINALOONGELEA NGONO 24/7.Maandishi yako ni ya kitoto sana mimi siwezi kubishana na wewe.
Kwa akili za maandishi haya mtu mzima anaewaza sawasawa kichwani hawezi akakaa akasema ana-battle lolote kuhusu maisha na wewe,unaamkia nyumba wanamoamkia mpaka leo baba na mama yako chumba kimoja then unaandika vitu vya ajabu kabisa,baba yako angemsogeza mama yako akamzalisha wewe leo ungekuwa na maisha uliyo nayo?
Hovyo kabisa!!!
Mumeacha Sheria Za Mungu za kuwavurumishia mawe mpaka wakate kamba hao wazinifu walioko kwenye ndoa. Anza kuwadunda mawe uone kama heshima ya ndoa haitaimarika.Habari za muda huu waungwana wa hapa jukwaani.
Sijui ni mimi peke yangu tu ama ni macho ya wengi pia yanatazama kama nitazamavo mimi....
Nimekuwa nikishuhudia matukio kadhaa ya kustaajabisha, kushangaa lakini pia yana hudhunisha kuhusu matukio ya wanandoa kutoka nje ya na vile vile namna ambavyo walengwa wanavyochukulia kuwa ni hali ya kawaida kabisa..
Katika mikusanyiko ya watu na vijiwe vya kahawa nasikia baadhi ya watu wakitoa mitazamo yao kuhusu jambo hilo yenye kushangaza kuogofya kwenye masikio ya waungwana..
Jamaa anasema..." siku hizi hakuna mwanamke wa peke yako kaka, kikubwa kuheshimiana tu afanye nisije Tu"
Dada mmoja naye anasema kuwa.."Hakuna mwanaume asiyetoka na mwanamke nje ya mkewe... kikubwa heshima tu akafanyie huko uchafu wake"
Yaani imefikia hatua mpaka wanandoa wanajua kabisa kuwa kwenye muunganiko huu kuna wengine wa ziada na nafsi zao zimeridhika na hilo
Thamani ya muunganiko mtakatifu wa ndoa iko wapi?
Dhumuni hasa la ndoa liko wapi ikiwa mtu anaweza kuyafanya machafu yaliyomsukuma kufunga ndoa ili apate stara?
Ni heshima ipi inayozungumziwa na hawa wanandoa Hali ya kuwa unajua fika kuwa unafanya lile lisilompendeza mwenzi wako?
Muendelezo wa matendo machafu haya yanapelekea vijana kutoona umuhimu wa kuoa ikiwa anawaona wanandoa wanafanya yale wanayoyafanya wao.
Tumefikaje huku..?
🚮🚮🚮Dingi tulia nikujuze mbaga unazoleta ungekuwa umekuwa sana usingekuwa kwenye JUKWAA LINALOONGELEA NGONO 24/7.
Jifunze jinsi ya kupokea comment za watu bila kutia dharau maana utakutana na watu kama mimi atakuchachafya uone dunia chungu🤗🤗🤗
Sasa wewe kama umeoa ni kimpango wako usitake sisi tusiooa tuwaone nyie ndo mnaakili wakati kuchwa kutwa mnalialia humu hao wanawake zenu wanaoelekewa moto🔥🔥🔥mbaya mbovu na VIJANA WA HOVYO.
Kama vipi pita kule achana na comment zangu ila kama unakuja na hoja tutajadili hoja kama unakuja na ngebe na kebei utapata ×10 maana humu ni HOME OF GREAT THINKERS😁😁😁 na great thinkers huwa wanakupa unachitaka🤝
Mambo ya kujisaidia umesema wewe 😂!!Kwani amekunya hadi unafikia hatua ya kutaka atawazwe🤔
Una miaka mingapi kwenye ndoa mkuu??Maandishi yako ni ya kitoto sana mimi siwezi kubishana na wewe.
Kwa akili za maandishi haya mtu mzima anaewaza sawasawa kichwani hawezi akakaa akasema ana-battle lolote kuhusu maisha na wewe,unaamkia nyumba wanamoamkia mpaka leo baba na mama yako chumba kimoja then unaandika vitu vya ajabu kabisa,baba yako angemsogeza mama yako akamzalisha wewe leo ungekuwa na maisha uliyo nayo?
Hovyo kabisa!!!
NyegeManeno yenye herufi chache (3,4,5) yanasumbua sana akili [emoji849]
Pesa,Ndoa,Kazi,Afya
Mkuu kipimo cha ujuaji wa maisha kinapimwa kwa kuoa?Mwanaume anayejitambua (ieleweke,mwanaume kuwa na ndevu hakumfanyi aonekane anajitambua that's why mpaka leo kuna wahuni wazee) kuoa huja a’cally hiyo haijalishi umeona upweke au hujaona wala hasubiri aambiwe.
Binafsi nikiwa na umri fulani nilikuwa siwazi kuoa but ilifika wakati nikawaza tu ngoja nioe na nikaoa leo mwaka wa 13 with three kids,humu mna vitoto vidogo vinadhani vinayajua maisha kumbe they know nothing about it.
13 years,siringi kwamba nimemaliza coz nikiwa bado hai naendelea kujifunza na kusoma namna bora ya kuishi kwenye hii dunia iliyojaa kelele nyingi zisizokuwa na mashiko,maisha ya ndoa hayana tofauti na kutafuta pesa.Una miaka mingapi kwenye ndoa mkuu??
Yes!Mkuu kipimo cha ujuaji wa maisha kinapimwa kwa kuoa?
Ok kumbe ni moja wapo so means si lazima hiyo, swali langu lingine umetumia kigezo gani kwenda extra kusema kuoa ndiyo kujua maisha? mkuu maisha hayapo kwa aliyeoa au hajaoa.Yes!
Ni mojawapo wa vipimo vya kwamba mtu unaweza kumudu baadhi ya hali ktk maisha.