Nadhani hilo swali halikunilenga mimi bali uliyemuuliza...mimi nimejibu kama kusherehesha lakini jawabu analo Yule uliyemuuliza kulingana na mtazamo wakeHujajibu ukiachilia mbali kuoa je hautaishi na mwanamke
Fafanua kidogo ndugu kama hautajali
Maandishi ya rika changa tu haya kua kwanza then urudi hapaHivi ni lini mtaacha kuishi kwa kujinyima na
📌kataa ndoa,ndoa ni utapeli!!!
CHAPA ILALE kama huwezi kuvumilia kuchapiwa!!!
Unaogopa kuishi mwenyewe huo ushamba wenu ndio mnaanza kufa na mawazo kisha kulazimisha kuishi na washenzi au unajikuta unafanya mauaji wakati ukiishi mwenyewe unachapa unasogeza unachapa. Tena kama hutaki JAM UNAENDA UNAFUNGA KIZAZI🤗
Hutapata kesi za kijanga jinga mara dawati la jinsia mara sijui mahakamani mnakabana mashati kuhusu CHILD SUPPORT.Wewe mtu akikubambikia straight mbaenda mahakani na vithibitisho na daktari anatoa ushahidi kuwa wewe unatumia uzazi wa mpango🤗🤗🤗
Ni humu tuuu kwanza faida ya uzazi iko wapi watu wanakufa kila siku huko gaza na pia kuna majnga ya kidunia kila uvhwao so wewe kuzaa au kutokuzaa ni nothing huongezi wala hupunguzi chochote dunia tiari iko balanced ,ukichoka KUZICHAPA unatulia unasubiri kufa kwa amani!!!
Kwa kweli naheshimu mtazamo wako nduguCHAPA ILALE kama huwezi kuvumilia kuchapiwa!!!
Unaogopa kuishi mwenyewe huo ushamba wenu ndio mnaanza kufa na mawazo kisa kulazimisha kuishi na washenzi au unajikuta unafanya mauaji wakati ukiishi mwenyewe unachapa unasogeza unachapa mwendo mdundo. Tena kama hutaki JAM UNAENDA UNAFUNGA KIZAZI🤗
Hutapata kesi za kijanga jinga mara dawati la jinsia mara sijui mahakamani mnakabana mashati kuhusu CHILD SUPPORT.Wewe mtu akikubambikia straight mbaenda mahakani na vithibitisho na daktari anatoa ushahidi kuwa wewe unatumia uzazi wa mpango🤗🤗🤗
Ni humu tuuu kwanza faida ya uzazi iko wapi watu wanakufa kila siku huko Gaza na pia kuna majanga ya kidunia kila uchwao so wewe kuzaa au kutokuzaa ni nothing huongezi wala hupunguzi chochote dunia tiyari iko balanced ,ukichoka KUZICHAPA unatulia unasubiri kufa kwa amani!!!
📌Kataa ndoa,ndoa ni utapeli!!!
kubali kutombewa sasa ili uonekane unaakili na unabusara kumbe fala mmoja tu hivi!!!Maandishi ya rika changa tu haya kua kwanza then urudi hapa
Unataka kusema kwa kadri unavyokuwa ndio hamu ya kuoa na kuishi upweke ndio inaongezeka....??Maandishi ya rika changa tu haya kua kwanza then urudi hapa
Hatari ila salama!!!Kwa kweli naheshimu mtazamo wako ndugu
USISAHAU!!!Sisi ni wanyama kama wanyama wengine...
Na sifa ya mnyama kama ni dume hua anakua na majike wengi...
Hiyo ndiyo nature...
Cc: Mahondaw
Kataa ndoaHabari za muda huu waungwana wa hapa jukwaani.
Sijui ni mimi peke yangu tu ama ni macho ya wengi pia yanatazama kama nitazamavo mimi....
Nimekuwa nikishuhudia matukio kadhaa ya kustaajabisha, kushangaa lakini pia yana hudhunisha kuhusu matukio ya wanandoa kutoka nje ya na vile vile namna ambavyo walengwa wanavyochukulia kuwa ni hali ya kawaida kabisa..
Katika mikusanyiko ya watu na vijiwe vya kahawa nasikia baadhi ya watu wakitoa mitazamo yao kuhusu jambo hilo yenye kushangaza kuogofya kwenye masikio ya waungwana..
Jamaa anasema..." siku hizi hakuna mwanamke wa peke yako kaka, kikubwa kuheshimiana tu afanye nisije Tu"
Dada mmoja naye anasema kuwa.."Hakuna mwanaume asiyetoka na mwanamke nje ya mkewe... kikubwa heshima tu akafanyie huko uchafu wake"
Yaani imefikia hatua mpaka wanandoa wanajua kabisa kuwa kwenye muunganiko huu kuna wengine wa ziada na nafsi zao zimeridhika na hilo
Thamani ya muunganiko mtakatifu wa ndoa iko wapi?
Dhumuni hasa la ndoa liko wapi ikiwa mtu anaweza kuyafanya machafu yaliyomsukuma kufunga ndoa ili apate stara?
Ni heshima ipi inayozungumziwa na hawa wanandoa Hali ya kuwa unajua fika kuwa unafanya lile lisilompendeza mwenzi wako?
Muendelezo wa matendo machafu haya yanapelekea vijana kutoona umuhimu wa kuoa ikiwa anawaona wanandoa wanafanya yale wanayoyafanya wao.
Tumefikaje huku..?
Maandishi yako ni ya kitoto sana mimi siwezi kubishana na wewe.kubali kutombewa sasa ili uonekane unaakili na unabusara kumbe fala mmoja tu hivi!!!
Nadhani hilo swali halikunilenga mimi bali uliyemuuliza...mimi nimejibu kama kusherehesha lakini jawabu analo Yule uliyemuuliza kulingana na mtazamo wake
Watu wanaogopa maisha ya upweke hivyo wanalazimika kuwavumilia wazinzi na mashetani ilmradi waonekane na wao wako ndoaniKataa ndoa