Kasi ya wanandoa kutoka nje ya ndoa zao inatisha na kutishia uhai wa taasisi ya "NDOA"

Upo sahihi kwa mtazamo wako. Nakubaliana na wewe baadhi ya mambo. Lakini nikwambie tu ukishakuwa mtu mzima kuelekea uzeeni unahitaji mwenza. Hasa kwa mwanaume...wanaume wengi wazee wanaoishi wenyewe wanatia huruma kwa kweli.
 
Kuhitaji mwenza maana yake ni kuwa muishi wawili kwa furaha,amani na maelewano....kuishi wawili kwa maudhi, kero na makasiriko ni jambo baya linaloweza kufupisha maisha yako.......

Takwimu zinaonyesha kuwa wanaume walio kwenye ndoa wana lifespan ndogo ukilinganisha na wale waliochagua kuwa single....na ufupi huo wa maisha unaletwa maradhi yasioambukizwa yanayosababishwa na wanawake.....

Ingawa sio jambo zuri kimaadili lakini vijana wameona unafuu ni kutafuta watoto na kutunza watoto wako huku kila mmoja akiangalia maisha yake.....

Yanini kutesana....
 
Hizo takwimu hazipo sahihi. Life span ya mwanaume ni ndogo awe ameoa au yupo single ni yale yake. Ukitaka kujua angalia wanaume waliofiwa na wake zao hawachukui muda wanakufa. Sio kama mwanamke anaweza akadumu miaka mingi zaidi.
 
Thamani ya ndoa imeshuka sana miongoni mwa wanandoa wenyewe licha ya kuwa ndoa bado zinafungwa sana tu ila hazidumu. Wanandoa wanatoka nje ya ndoa huku mtu anajua ana mwenza wake. Mke wa mtu akitongozwa anatoa uroda tu bila kukataa, mume wa mtu naye anatongoza nje ya ndoa huku ana mke nyumbani
 
Hizo takwimu hazipo sahihi. Life span ya mwanaume ni ndogo awe ameoa au yupo single ni yale yake. Ukitaka kujua angalia wanaume waliofiwa na wake zao hawachukui muda wanakufa. Sio kama mwanamke anaweza akadumu miaka mingi zaidi.
Sawa
 
Changamoto za ndoa sio jambo jipya humu duniani! Tena changamoto hazizuii watu kuendelea ku-enjoy kwenye ndoa zao. Ndiposa wanasema, tamu ya peremende Ni mate yako.

Nionavyo, mambo yote yanayohusisha mwanadamu yanafanana Na coin. Kwamba Kuna kichwa na mkia, yaani kuna raha na karaha ya kila jambo.
 
Mimi mke wangu sijawahi kumuhisi anatoka nje ya ndoa wala mimi sitoki nje ya ndoa yangu naishi kiapo changu.

Hiyo nadhani ni hulka ya mtu na mtu hasa wale wasiozipa akili zao tuition ya kuwaza mazuri na mabaya yatakayotokea baada ya matendo hayo
Wachepukaji watakubishia mpaka jasho la meno liwatoke
 
Umuhimu wa “Ndoa” unazidi kupoteza ladha😜. Hasa ukizingatia Michepuko ina Nguvu za kimataifa,ina Silaha kama zote marekani ikalale 😅😜
 
Hakuna kipya,Tangy enzi za pharao watu walikuwa wanapiga shoo za ugenini...case study mke wa Potifa na Yusuf
 
Umuhimu wa “Ndoa” unazidi kupoteza ladha😜. Hasa ukizingatia Michepuko ina Nguvu za kimataifa,ina Silaha kama zote marekani ikalale 😅😜
Umei-over rate sana michepuko madam!michepuko haina nguvu hizo ndio maana inafichwa kama bangi🥲
 
Ni kawaida ya wazinzi kudhani kila mtu anawaza kama wao anatenda kama wao.
Ndugu yangu
Kumpata mwenza aliyetulizana kwa nyakati hizi ni BARAKA, NEEMA na BAHATI kubwa.....hivyo unapaswa kumshukuru mola wako kwa hiyo lakini usiongee hadharani kwa watu Kwa kuvimba kwani mwanadamu hajakamilisha na anaweza kuteleza muda wowote ukaingia aibu kwa maneno yako......

Pengine watu wanayajua ya mkeo ambayo wewe huyajui na kwa heshima yako wameamua kumsitiri ili kudumisha amani nyumbani kwenu......

Usiongee ukamaliza ndugu.......watu hubadilika muda na wakati wowote......
 
Nlikuwa nataka nifike nae huko huko kanikimbia njiani binadam aaminiki hata uyo anaemuamin uwenda kamzid mbinu ovu ila muda haujafika tu na uzuri siku yakumwagika atakuwa shahid wa kwanz yey mwenyw atakumbuka kujimambafayi kwake.
 
Mumeacha Sheria Za Mungu za kuwavurumishia mawe mpaka wakate kamba hao wazinifu walioko kwenye ndoa. Anza kuwadunda mawe uone kama heshima ya ndoa haitaimarika.
Hiyo sheria ya Mungu labda usubiri ukifa ukaitekeleze mbinguni maana humu duniani utajikuta upo sehemu mbaya na mamlaka za kidunia.....
 
Mkuu kwanza habar za miaka tele.
Katika hili dunia imechanganyikiwa na waliomo ndani yake wamevurugwa. Mmomonyoko wa maadili ndio umetawala. Uzinzi sio suala la kuogofya Tena.
Na ukimhoji anayechepuka kuwa kwanini anafanya hvyo hana jibu la msingi la kukupa ni kwamba ameamua tu
 
Njema mkuu......

Kwa kweli hali inatisha na tuendapo ndio kubaya zaidi ya sasa.....
 
Mumeacha Sheria Za Mungu za kuwavurumishia mawe mpaka wakate kamba hao wazinifu walioko kwenye ndoa. Anza kuwadunda mawe uone kama heshima ya ndoa haitaimarika.
Mungu yupi ulomkudia na alosema mzinifu aligwe mawe wafe?
 
Ndoa za siku hizi fashion na kizungumkuti

Thamani ya ndoa kama zamani hakuna kabisa[emoji3577]
 
Umetisha Sana mkuu 😂
 
Hakika umeeleza vizuri Sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…