Kasi ya wanandoa kutoka nje ya ndoa zao inatisha na kutishia uhai wa taasisi ya "NDOA"

Km mkeo ni mnene ,mweupe kdg na ana mshundu bro tutamla wote kwa gharama yoyote mm mwenyewe mke wng nimesha mweka bond atajua mwenyewe mm nachanja mbuga huku
 
πŸ˜„πŸ˜ƒ Kwanza takwimu zinasema asilimia 98 ya wanaume, wameoa wanawake ambao hawakuwapenda. Kwakua tunaangalia tabia tutakayoweza kuimudu kuliko mapendezi yetu, hapa hautakaa uwe romantic na uliemuoa, matokeo utachapa nje nae atachapwa nje.......πŸ”₯πŸ”₯

Binafsi kuna mtu mzima alinishauli nioe mwanamke wakawaida tuh, akasema hisi pisi kali utaendelea kuzitafuna tu, chamsingi ndoa........

Me nilimwambia nataka niowe mke nnaye mtaka ili nistoke nje ya ndoa...(πŸ˜†πŸ˜ƒ Nimegundua gili swala ni gumu sana, na halina solution zaidi ya kutupa jiwe gizani)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…