DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Mwaka 2020 atakuwa na miaka 70s unafikiri umri huo atafanya nini akili ikiwa imechokaMimi nashauri ajipange kwa mwaka 2030 kutokana na miiko ya ssm waliyojiwekea japo sio kwamba nitampigia kura, hilo nalisema kwa ajili ya uhai wa chama chao
Majaliwa ndiyo Rais ajayoBaada ya Mpango sasa Majaliwa
Biteko ni mtu sana sema sasa changamoto ilo lingine ndo tatizoAwali Aliwahi kutangaza kugombea sema itakuwa ameamua Kwa shingo upande maana miaka 15 tuu Bungeni ila 10.kama PM alipewa ngekewa.
Sasa anarudi back bencher kutoa ushauri.
Biteko kama ni raia basi u PM ni wake.
Marafiki wa Majaliwa ni akina Bashiru Gwajima, mpina na wenzao wapenda AmaniKatumia akili nategemea na wazee wenzake Kama akina
Lukuvi
Kabudi
Mulamula
Na wao kukaa pembeni
Biteko ni mtu sana sema sasa changamoto ilo ulilosemaAwali Aliwahi kutangaza kugombea sema itakuwa ameamua Kwa shingo upande maana miaka 15 tuu Bungeni ila 10.kama PM alipewa ngekewa.
Sasa anarudi back bencher kutoa ushauri.
Biteko kama ni raia basi u PM ni wake.
Mpumbavu siyo tusi ni sifa, kwahiyo nimekusifiaYaani hili tu ndo limekufanya unitukane "mpumbavu?"
Huu ni mjadala tu na mimi nimeandika ninachofikiri tena nimesema specific kuwa "these are my speculations" halafu wewe unanitukana, why..??
Sikia bwana Lucha. Hilo tusi likurudie wewe mwenyewe kichwani mwako na familia na watoto wako...!
Mh Majaliwa Pumzika pumzika mambo makubwa yako mbeleni uwe na amani jamuhuri ipo kukulinda mpaka mwisho. Amen umevipiga vita vya imani na mwendo umeumaliza mnara utajengwa pale sabasaba well done agent.Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, ametangaza rasmi kustaafu kugombea tena Ubunge wa Jimbo la Ruangwa, mkoani Lindi, baada ya kuliongoza kwa takribani miaka 15 mfululizo tangu mwaka 2010.
Soma, Pia: Waziri Mkuu, Majaliwa atangaza kugombea tena Ubunge wa Ruangwa akiaga Bunge
Vyanzo vyetu vya habari kutoka kwa wandani wa Waziri Mkuu Majaliwa vimeieleza Jambo TV kuwa, akiwa jimboni kwake Ruangwa kwa siku kadhaa za mashauriano na wananchi na wazee wa eneo hilo, Majaliwa amefikia uamuzi huo baada ya tafakari ya kina na ushauri wa wadau mbalimbali na amewashukuru Wanaruangwa kwa kipindi chote cha miaka 15 ya kumpa ubunge na kuwawakilisha vyema.
Hatua hiyo imekuja siku chache tu baada ya Majaliwa kutangaza Bungeni, Juni 26, 2025, kuwa anapanga kugombea tena ubunge wa jimbo hilo, akisisitiza kuwa anaendelea kuhitaji ridhaa ya wananchi. Hata hivyo, kauli hiyo sasa imebadilika rasmi.
"Ninatambua wakati mwingi nimekuwa nje ya jimbo nikilitumikia taifa lakini wana Ruangwa wameendelea kuniunga mkono. Nitumie nafasi hii kusema asanteni sana na ninamuomba Mwenyezimungu azidi kuimarisha mshikamano uliopo kati yetu sote. Ninaomba kuwajulisha kuwa ninakuja kuchukua fomu ya kuomba ridhaa yenu tena.", alinukuliwa bungeni.
Uamuzi wa Majaliwa umepokelewa kwa hisia tofauti, huku baadhi ya wachambuzi wa siasa wakiutaja kuwa ni uamuzi wa busara na wa kiungwana, hasa baada ya kumaliza kipindi chake cha miaka 10 cha Uwaziri Mkuu tangu alipoteuliwa mwaka 2015.
Hatua hii pia inakuja wakati chama chake, Chama Cha Mapinduzi (CCM), kikiwa katika harakati za ndani za uteuzi wa wagombea wa nafasi za udiwani na ubunge kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Zoezi hilo limeanza Juni 28 na linatarajiwa kukamilika Julai 2, 2025.
Chanzo: Jambo TV
Majaliwa ni Rais ajae mama yako Mkoloni Kaburu toka Zanzibar watamwengua mbio za UraisSijui team yetu itakuaje sasa, ile timu ilikua inaleta ushindani wa kweli. Yanga na Simba walikua wanapata tabu sana kuchukua point za wale wana Lindi 😢 😭 😿 😢
Yupo Dodomajohnthebaptist wajua alipo?
Pension itakuwa kubwa kwenye familia....mama rais, mkwe PM, mtoto wa kike mbunge na waziri wa muungano.....itakuwa familia tajiri snaaKama ulikuwepo itakuwe yule mtoto pendwa w nhumba nyeupe
Unazungumzia watu wasiojitambua na kujua wanataka niniMarafiki wa Majaliwa ni akina Bashiru Gwajima, mpina na wenzao wapenda Amani
Kassim Majaliwa Kassim ni miongoni mwa Presidential materials.Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, ametangaza rasmi kustaafu kugombea tena Ubunge wa Jimbo la Ruangwa, mkoani Lindi, baada ya kuliongoza kwa takribani miaka 15 mfululizo tangu mwaka 2010.
Soma, Pia: Waziri Mkuu, Majaliwa atangaza kugombea tena Ubunge wa Ruangwa akiaga Bunge
Vyanzo vyetu vya habari kutoka kwa wandani wa Waziri Mkuu Majaliwa vimeieleza Jambo TV kuwa, akiwa jimboni kwake Ruangwa kwa siku kadhaa za mashauriano na wananchi na wazee wa eneo hilo, Majaliwa amefikia uamuzi huo baada ya tafakari ya kina na ushauri wa wadau mbalimbali na amewashukuru Wanaruangwa kwa kipindi chote cha miaka 15 ya kumpa ubunge na kuwawakilisha vyema.
Hatua hiyo imekuja siku chache tu baada ya Majaliwa kutangaza Bungeni, Juni 26, 2025, kuwa anapanga kugombea tena ubunge wa jimbo hilo, akisisitiza kuwa anaendelea kuhitaji ridhaa ya wananchi. Hata hivyo, kauli hiyo sasa imebadilika rasmi.
"Ninatambua wakati mwingi nimekuwa nje ya jimbo nikilitumikia taifa lakini wana Ruangwa wameendelea kuniunga mkono. Nitumie nafasi hii kusema asanteni sana na ninamuomba Mwenyezimungu azidi kuimarisha mshikamano uliopo kati yetu sote. Ninaomba kuwajulisha kuwa ninakuja kuchukua fomu ya kuomba ridhaa yenu tena.", alinukuliwa bungeni.
Uamuzi wa Majaliwa umepokelewa kwa hisia tofauti, huku baadhi ya wachambuzi wa siasa wakiutaja kuwa ni uamuzi wa busara na wa kiungwana, hasa baada ya kumaliza kipindi chake cha miaka 10 cha Uwaziri Mkuu tangu alipoteuliwa mwaka 2015.
Hatua hii pia inakuja wakati chama chake, Chama Cha Mapinduzi (CCM), kikiwa katika harakati za ndani za uteuzi wa wagombea wa nafasi za udiwani na ubunge kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Zoezi hilo limeanza Juni 28 na linatarajiwa kukamilika Julai 2, 2025.
Chanzo: Jambo TV
Wenye chama chao hawamtaki Mkoloni Kaburu toka Zanzibar aendelee kutawala Tanganyika wanamtaka majaliwa awe RaisNyani katema bungo. Hamkani si shwari tena huko mbogamboga.