AkauliliaYesu alipofika karibu aliuona mji
AkauliliaYesu alipofika karibu aliuona mji
Uchaguzi ujao hatutafanya makosa tena ya kuchagua kundi la wasanii matapeli vilaza na waigizaji kwenye nafasi nyeti za kitaifa kama Bunge.Kwani ukiwa mbunge wa kawaida kunaubaya gani
Umechelewa kujua hilo. Nikitulia mbona huwa natema madini sana.Unanistaajabisha sana siku hizi!
Sio kuchambana tu, kumbe hata kuchangia vitu kwa logic unaweza.
Lukuvi ameshachukua fomu tayari, na inatabiriwa kuwa ni PM ajae. LolKatumia akili nategemea na wazee wenzake Kama akina
Lukuvi
Kabudi
Mulamula
Na wao kukaa pembeni
Yaan Bashite awe PM? Matusi ya nguoni haya. KhaaahNaona kaona haina haja ya kutoka kuwa PM kwenda kuwa mbunge tu ilihali Bashite kashaandaliwa shavu, ni kushusha CV
Fomu amesharudisha mdaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vipi yule first lady bado ana utaka ubunge
Inafikirisha huyo mwaka 2015.Lukuvi ameshachukua fomu tayari, na inatabiriwa kuwa ni PM ajae. Lol
Mpaka sasa hakuna ushahidi wa kwamba hatachukua. Unazoziona ni ramli tu za vijana wa JF.Ni yeye hapa majuzi ametoka kusema wana Ruangwa wamsubiri anaenda jimboni 🤔
Lolote linaweza kutokea.Inafikirisha huyo mwaka 2015.
Angepata U-PM sasa hivi ningekuwa CCM nimewahi kufanyana nae Kazi kwa karibu .
Ila sifikirii Kama atapata U-PM hasa ukiangalia umri wake
Sawa kwa Trump mbali, mbona JK anakimbilia 80 na bado yupo mjini.Trump unamfananisha na Majaliwa
Sawa Ila usitegemee hilo jambo kutokeaSawa kwa Trump mbali, mbona JK anakimbilia 80 na bado yupo mjini.
Sio rahisi. Sababu ni hii:Lukuvi
Ifike hatua hata kutubu kuwe na mipaka, haiwezekani wewe ni kutesa na kuua watu miaka na miaka, utubu tuu ghafla tena baada ya kuona huna cha kupoteza halafu usamehewe zambi zotee?Aka tubu asamehewe dhambi zaks kwa yaliyo fanywa na serikali kipindi cha utawala wake kama msimamizi mkuu wa serikali.
Watu kupotea, watu kuuawa hivyo, kesi za Kubambikiza, nk.
Ni kweli. Huwa namwelewa sana Waziri wetu Mkuu. Ni mtu mwuungwana sana. Uungwana wake hakutaka upotee bure hasa alivyokiheshimisha cheo chake. Yeye na Makamu wetu wa Rais Dr. Mpango ni waungwana wa karne hii kwenye Taifa letu. Mungu awape maisha marefu.Ni mfano kwa viongozi wengine waliokaa muda mrefu, wastaafu wapishe vijana