Kassim Majaliwa, elewa Dubai siyo nchi, bali ni Mji

Binafsi sijakuelewa Mkuu..
Kwa hiyo ni sahihi kuita Intergovernmental Agreement (IGA) kati yetu na Dubai au unamaanisha nini?
 
Ai
Aisee..
 
Sawasawa
 
Mkuu tafta uzi wa Paschal wa JF. Kachambua vipengele vya vilivyoitambulisha Dubai kama nchi kwenye ule mkataba.

Yaani kiufupi DP World inapoingia nchini, then inaitambulisha Dubai kama nchi (Sovereignty) ambapo kimataifa haitambuliki kama nchi isipokuwa tz pekee.
 
 
Wewe punguani, hata Vatican ni nchi ndani ya nchi.

Usilolijuwa ni usiku wa kiza.

Hivi tunaokufundisha wote kuwa Dubai ni nchi unatuona wajinga?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Hatuchaguagi bali tunapiga kura tu. Hao tiss walikuwa zamani sasa hivi wamejazana uvccm na watoto wa vigogo wa CCM
 
Wewe punguani, hata Vatican ni nchi ndani ya nchi.

Usilolijuwa ni usiku wa kiza.

Hivi tunaokufundisha wote kuwa Dubai ni nchi unatuona wajinga?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Gemu bado mbichi Kabisa

Ni Yusuf Bana au Yusuf Ismail aka Bana 1980s hiyo

Makolo ikala kwao!
 
Dubai ni City State
 
Wewe punguani, hata Vatican ni nchi ndani ya nchi.

Usilolijuwa ni usiku wa kiza.

Hivi tunaokufundisha wote kuwa Dubai ni nchi unatuona wajinga?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Kwa hiyo Dubai ni nchi bibi?
 
Dubai ni nchi kwa mujibu wa kassimu
Saddam Rais wa kuwait hapa magufuli alitamka hivo, ndio utajua hawa watu chenga sana
 
Na hilo nalo mkalitazame....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…