Kassim Majaliwa, elewa Dubai siyo nchi, bali ni Mji

Dubai haina status ya nchi.

Kwa hiyo hatuwezi kusema "kwa nini status ya Dubai kama nchi ni muhimu."

Nadhani ungekubali tu kwamba swali lako linakosewa tungeweza kusonga.
Kwa mantiki yako, mtu ambaye hajaoa hana marital status. Kwa sababu hajaoa.

Hujui kwamba mtu ambaye hajaoa ana marital status.

Anaweza kuwa na marital status single, hata kama hajaoa.
 
Kama Dubai si nchi, kwa nini Dubai
Tayari tunajua - dunia inajua that is - kwamba Dubai sio nchi, kwa hiyo hatuwezi kusema "kama Dubai sio nchi kwa nini..."

Kubali umekosea basi. Mbona unakuwa mgumu kukubali umekosea ?

Kwani ukikubali kwamba umekosea ili tusonge mbele utapungukiwa na nini ?

Unless hukubali kwamba Dubai sio nchi au unatuambia hujui kama ni nchi au la.
 
Waarabu wanataka kulipiza kisasi kwa Tanganyika, kwa kuwa ni watanganyika ndiyo waliwafurusha waarabu wenzao kule zanzibar.
Kwa hiyo kwa DPW, kuchukua bandari zote za Tanganyika na ardhi yote wanayoitaka ni kulipiza kisasi. Mwafaaaa
 
Kwa mantiki yako, mtu ambaye hajaoa hana marital status. Kwa sababu hajaoa.

Hujui kwamba mtu ambaye hajaoa ana marital status.

Anaweza kuwa na marital status single, hata kama hajaoa.
Irrelavant analogy
 
Unamshanga nini Majaliwa ? Huyu mkuu wangu ni muhongo ,alisema mwendazake yupo busy na majukum , na Majaliwa yampasa elewa nimembeba kama sio kubebana kwenye baiskeli akiwa mwalim mimi nikiwa wa kawaida mpaka leo , ajue pale ukweni kwetu Songea ni majirani sana karibu na Halmashauri , ila hawezi kuwa rais wa nchi hii hataki basi aje ni mbebe kwenye baiskel yetu ile ipo sijauza
 
Unamshanga nini Majaliwa ? Huyu mkuu wangu ni muhongo ,alisema mwendazake yupo busy na majukum
Tena akiwa msikitini kayasema hayo ya Magufuli yuko chimbo anapiga kazi kwa nguvu kumbe Rais kanyooka siku tatu

Na juzi Arusha Jumapili siku ya Bwana karudia uongo wa mkataba Arusha Kanisani.

Jana Ijumaa siku ya Mun Nyazi Mngu kayarudia ya Dubai ni nchi msikitini. Uongo wake ni misikitini. Kufuru.

Astakafullulilah ladhim
Na Usbillilah midhalika
Ma adha la
 
Irrelavant analogy
Kwa nini ni irrelevant? Hujaeleza.

Inawezekana wewe ndiye hujaelewa.

Naweza kuwa na Excel spreadsheet.

Column A Jina la sehemu. Column B Status as Country.

Dubai No
Tanzania Yes

What is so hard to understand?

Moreover, hujajibu, kwa nini hii status ni muhimu katika mazungumzo haya?

Mimi naona hii status ndiyo irrelevant.

Kwa sababu Dubai does not need to be a country to sign an IGA with Tanzania.

It could be a village for all we care, but as long as it has a government, and the UAE approves this village to sign an IGA with Tanzania, it will have the power to sign an IGA with Tanzania.

So why is the question of Dubai being or not being a country important?

This question is totally irrelevant and wholly superficial.
 
Wewe huelewi hata abstract thinking ni nini.

Yani ku solve equation kwa kusema "let x be...", hata kama unajua x ni nini, for the sake of seeing the thought process play, kwako ni tatizo.

You can't think in the abstract.

Neno nchi linaweza kuwa na tafsiri tofauti.

Land, country, state, nation, emirate.

Dubai is an emirate.

Haya.Dubai si nchi.

Why is this important in the context of this deal?

Hujajibu.
 
Bila shaka ???? Kwa hiyo huna hakika, hujui. Mjadala wa bandari ni nyeti, mkataba umeleta shida kubwa, na umeligawa Taifa, kama huna hakina kaa kimya.
Don't be too harsh and aggressive.

Na kwenye maelezo yangu sikuwa na conclusion ya moja kwa moja whether Dubai ni nchi huru au iko chini ya mamlaka ya nchi nyingine..

Rudi Tena kwenye bandiko langu ulilokwoti, lisome lote tena mwanzo mwisho, utaelewa...
Dubai sio nchi.
Hebu twende taratibu...

Kama siyo nchi ni nini basi?

Maana umeniparamia nikafikiri labda wewe unayejua ungekuja na ufafanuzi wa uthibitisho kuwa "sio nchi" ila ni mkoa fulani ktk nchi nyingine fulani, instead you ended making loud empty noises..
Kama ambavyo Zanzibar sio nchi. Zanzibar haina kiti UN.
Is that only evidence that justifies that Dubai is not a "country?"
Zanzibar haina Rais wa nchi, ndo maana Rais wa Zanzibar anaitwa "RAIS WA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR," kama alivyo Rais wa Serikali ya Wanafunzi wa UDOM, Rais wa Chama cha Walimu wa Chekechea na Rais wa Ruvu Shooting Football Club.
Dubai ni nini sasa? Ni nini mamlaka ya Dubai?

Kumbuka kama ambavyo Muungano wa Tanganyika & Zanzibar ulivyo wa kipekee, bila shaka hata muungano wa UNITED ARABS EMIRATES [UAE] nao ni wa kipekee..

Sasa nenda kwenye makabrasha yako, tafuta ujue "upekee" wa muungano wa UAE ni upi? Mamlaka ya ndani (internal affairs) na ya nje (international affairs) yanaanzia na kuishia wapi..
PM Majaliwa anajua Dubai ni nini lakini anadanganya. Kasim Majaliwa is the most brazen liar in the world. Anadanganyia misikitini.
Even you, sometimes you lie, right..?

Don't judge others before you get apprehended for your own sins..!
 
✔️Endelea mbele zaidi kuelimisha wasiojua ili wajue. So, tell us;

1. What is a country?

2. What is a nation?

3. What is a state?

✔️What is the differece between those terms? And, is Dubai a nation, country or state? You can also say, Dubai is all............a country, state and nation...

✔️Mwisho sema kitu kuhusu position ya Dubai katika context ya IGA kati DP World na Tanzania au sovereign state yoyote...
 
Country - ardhi yenye mipaka

Nation - taifa linaweza kuwa popote pale bila ardhi bila dola. Mf palestina ni taifa halina country.

State- dola kuna mipaka, kuna jeshi kulinda mipaka na kuna centralized gvt yenye sovereignty. Nafkiri kwa haraka haraka hivi ndiyo ninavyoelewa.

Znz siyo state kwa kuwa amri jeshi mkuu ni rais wa JMT. Znz haina jeshi.

Kuhusu mkataba, ukitaka kuulewa usome na soma chambuzi za kisheria.
Kwanini mpaka hapa nauona una longolongo sana. Jambo lililo straight haliitaji maelezo mengi kulielezea au nguvu kubwa kulikingia kifua. Tazama uharaka wake. Tazama nia yake. Pia soma premises zake na angalia historia yake au prospective yake.
 
Nakushukuru sana mkuu wangu
 
Duuh... Mzee, kama uliyoyasema yote ndivyo yalivyo, si bure. Tutakuwa tumepigwa na kitu kizito tena kisichoonekana kabla ya kuukubali. Inauma lakini hadi nacheka
 
Ni zaidi ya Akina Chief Mangungu tunaowasoma na kuwaponda huko mashuleni kwa mikataba ya ajahu enzi zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…