Kassim Majaliwa: Tuache tabia ya kuwatengenezea viongozi migogoro, unaweza kupambana sana ukitaka ukae ukakuta anakaa mwingine

Navyomjua yule Bw hatokubali kushindwa, atasubiri wakati wa vikao wa bunge aandae wajumbe wapenzi wa hayati waibagaze sirikali hadi ikome kumjibu.
Ni Kama utabiri utatimia,Labda wasiojulikana watamfunda.
 
Yuko wapi kwanza huyu siku hizi
 
Na wewe mtukane uone moto,utaishia kujisemesha hivi hivi
 
Navyomjua yule Bw hatokubali kushindwa, atasubiri wakati wa vikao wa bunge aandae wajumbe wapenzi wa hayati waibagaze sirikali hadi ikome kumjibu.
Tutamnyoosha alafu alete sababu zake za kitoto kwamba ni UGOGO wake asituaibishe wagogo..
Nakomenti nikiwa hapa Bambalaga dom
 
Hili povu ni stress za njaa kali,Ndio unavyojidanganya? Utajifariji Sana mkuu, maana kwa ulalamishi huu sipati picha.

Pale Maskini anapodemka wakati hata bima hana 😆😆
 
Bora umemjibu! heri ya mwaka mpya mkuu
 
Hapo alikuwa anamzungumzia "Mropokaji" Lissu
 

Hawa Jamaa wanatuona Watanzania ni wabwege..... Yaani wanataka Watanzania waamini kuwa wao wamewekwa hapo na Mungu.

Sasa kama Mungu ndiye anawapa hivyo vyeo kwa nini wanamchafua chaguzi zetu.....!!?
 
Wanataka kuwaaminisha watu kuwa wao ni Wateule wa Mungu.... Cheap propaganda Larne ya 21.
 
Abaongea point sana isipokuwa achelew kuwekwa kikaangon maana naona Kigogo amepost hyo maneno huku akisema uwezi kuwa raisi hapo ndipo jajiuliza Yule Kigogo wa cdm Leo ypo ccm why
 
watu jaman kwa kutafuta wasomaji kwa aliyesikiliza ile clip hajataja Ndugai na alikuwa anakemea mgogoro wa viongozi kwenye msikiti wakati alipokuwa anauzindua [emoji23][emoji23][emoji23] wabongo wameconnect dots.
 
Mgogo katupiwa kitu kizito [emoji16][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…