Kata moja ya Tambani Mbagala Mbande wafadhili wamejenga misikiti 36 na bado wanajenga mingine, ila hawajajenga kiwanda hata kimoja

Wanataka watu wengi wajue utamu wa mabikra 72 ile wawe tayari kwenda kwenye mikusanyiko na kupayuka ALLA AKBARU na kujilipua
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]allah amewaumba mabikra pro 2024 acha misikiti na madrasa nyingi zijengwe vijana walinganiwe kisha wapelekwe msumbiji kongo na somalia tayari kwenda kwa mabikira na kwenye mito ya pombe !!
 
Na ndio maana vitabu vya dini vinatafisiriwa hadi lugha zetu za kiasili. Nimewahi kutana na biblia ya kisukuma nilishangaa aisee.

Lakini hawa jamaa kututafsiria vitabu vya ufundi, fizikia, uchumi, etc kwa lugha zetu hawataki kabisa kwa sababu tutajipata na faida yao ni sis kuendelea kulala.

Serikali sasa ifikiwe wakati iweke udhibiti kwenye misaada. Ukijenga msikiti au kanisa hapo pembeni weka na zahanati na shule, serikali italeta watumishi na kuwalipa.​
 
Serikali itoe jicho huko before it's too late!!

Kwa mwenye kuwaza beyond the box tu! Atakubaliana na Mimi ya kwamba lengo lao hasa ni kuchochea ukuaji wa dini ya kiislamu(hasa Ile ya jihad-itikadi Kali!)

Wanaelewa ukisha-mfunganisha binadamu angali mdogo na dini hasa hiyo ya itikadi Kali....

na ukamyima elimu Dunia...

Basi unaweza kumtawala kwa kupitia mafundisho ya dini!..

Wengi wa watu hawa waliofungamanishwa na dini angali wadogo... Huwa makatili sana! ( Ndio hawa tunaowaita magaidi!)

Hiyo ni njia mbadala ya kuuingiza ugaidi ambayo inaachwa tu na serikali... Bila kutupiwa jicho la kiuchunguzi!

Serikali ianze mapema uchunguzi kinachoendelea kwenye hiyo misikiti...!

Isijekuwa ni gateway tu ya kurecruit vijana kwenye magenge ya itikadi Kali(kigaidi)
 
Waache baadae waje kulia lia nchi hii inamfumo kristo.
 
sasa wewe roho inakuuma nini tukijenga misikiti? sisi ndio tumeridhika nayo wewe hayakuhusu fata yako

kwani tumekwambia tuna shida ya viwanda? au wewe umekuwa msemaji wetu?

hebu kaeni na wachungaji wenu feki wanaowapiga hela kila siku msituingile mambo yetu hayawahusu
 
Haha na wakawadanganya wafuasi wao eti ikitokea bahati mbaya mtu akafia kwenye ile misongamano kule kwenye kuhiji basi moja kwa moja anaenda peponi, asee dini zote zililishwa uongo ila hawa ndugu zetu uongo wao sijui uliwekwa nini hadi wanakuwa mambumbumbu kiasi hiki ila uzuri kadiri miaka inavyozidi kuenda dini zinaanza kupoteza ushawishi, kwahiyo hata wakija kutawala watatawala kipindi ambacho dini hazitakuwa na nguvu tena kwa sababu vizazi vya sasa na vijavyo taratibu vimeanza kuzikataa hizi dini
 
misikiti ni sunaa shehee si ndioooo...ijengwee mingiii!
 
Vituo vya ugaidi na biashara haramu kupitia misikiti hiyo. Code.
 
Hakuna sehem ambayo haihitajii mskiti maadam tu kuna waswaliji wakuisalia
Jiulize tu hio miskiti ya tambani haisaliwi?
Mi hoja yangu ni kuwa kama mtu anaweza kutoa msaada wa kujenga msikiti sehem ambayo mita 300 upo mwingine kwanini asiende kuwajengea watu huko mkoan watu hao hao wanasali Zaid ya kilometre 10 mpaka 20.
 
Unafikri waliotoa vibali mazumbukuku kwamba hawawez kufikiri au kuchanganua mpka kufikia uamuzi wakutoa vibali?
Binadamu kuna kupitiwa; ulimwengu wa sasa ni wa sayansi na teknolojia na si kujikita kwenye mambo ya kusadikika; kwa nini China wanavunja hayo majengo?
 
Wakafanye kazi za kiufundi, kilimo n.k ili tuweze kuuza bidhaa nje na kupata fedha za kigeni
Acheni watu wafanye ibada mzee ibada zipo dunia nzima na watu wanaendelea na kufanya kazi
Sijawahi kuona duniani ama mskiti au kanisa waumini wake wanafanya kazi 24/7
Sasa ibada ya dakika 15 kila baada ya muda fulani ndio zinazuia watu kufanya kazi
Tafteni vyengine ila ibada sio sababu
 
Mi hoja yangu ni kuwa kama mtu anaweza kutoa msaada wa kujenga msikiti sehem ambayo mita 300 upo mwingine kwanini asiende kuwajengea watu huko mkoan watu hao hao wanasali Zaid ya kilometre 10 mpaka 20.
Sasa unajuaje kama huyo mtu anajua kuhusu hio shida wanayopitia hao watu huko walipo?
Huja yako nimeielewa na ina mashiko pia
 
Binadamu kuna kupitiwa; ulimwengu wa sasa ni wa sayansi na teknolojia na si kujikita kwenye mambo ya kusadikika; kwa nini China wanavunja hayo majengo?
Wana chuki tu kama india wamevunja mskiti wamejenga jengo la kuabudia wahindu
Sasa unauliza hoja kuabudu ama hoja kuabudu waislam?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…