Diego silva
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 414
- 671
Thread ifungwe, mkuu umemaliza kila kituSisi sote ni jamii moja HAKUNA matengano UOZO unaouona kwa askari Polisi ndo huo huo uko, sokoni, mahakamani, bank, Zahanati , TRA, TAKUKURU nk .
Basi ni kwakuwa hujakutwa kwenye KONA inayowahusu au jamii inadhani ni HAKI yao kutendwq hivyo na IDARA zingine
Jamii yote DUNIANI inaasili ya kutaka KUONEWA HURUMA , KUDEKEZWA ,KUSAMEHEWA hivyo inapobanwa kilio namba moja ni kupeleka UBAYA.
NCHI ya AMERICA wao kwa utani wanaambiwa wanajifanya POLISI wa Dunia jiulize KWANINI?
UKIANDIKA POLICE wana IQ ndogo itazame jamii yako ikoje ina IQ kubwa ? Utulivu uliopo vp, tusidharau chombo ,peleka lawama kwa aliyekutenda.
Lkn IDARA YA MAJI , ZAHANATI, VYUO , SOKONI kila eneo POLISI yupo hata ndani ya nyumba katka familia POLISI yupo. Kusimamia sheria na taratibu .
Nidanganye kwa lengo gan sas ? OCD alitaka kumkomoa mwana mda ule ule alitaka kumpeleka mahakaman mkuu wa kituo ndo alipinga ilo swala kwa kumuliza OCD anmpeleka mahakaman anaenda kumshtaki kwa kosa gan? Na pia alimwambia OCD hakupaswa kujichukulia sheria mkonon kwa kumpiga kibao Raia. Na mdaa huu mwana yupo road na bajaj yake hakupelekwa tena mahakamanHii chai yaani umpige OCD halafu mkuu wa kituo akutetee mzee hiyo ni ticket Yako ya kifo utazimwa sekunde tu acha uongo
Umeongea ukweli mtupu .Polisi wengi wa Tanzania ni binadamu wakatili sana, wananjaa kali, wivu wa kimaendeleo kwa raia, bila kusahau wengi wao ni mbumbumbu na bongo lala, walioshindwa shule na biashara hivyo wakaamua kuukimbilia upolisi ambako huko wamejitwika ubabe kutokana na nguvu kubwa waliyopewa na serikali ovu ya ccm ambayo imekuwa ikiwatumia kutekeleza unyama juu ya raia wenye itikadi tofauti na zile za chama chao.
Tafadhari rekebisha 22/12/2024 mkuuUnaweza kuwa unaongea kama polisi wenyewe au unaongea kwa kuwa hayajakukuta.
Tarehe 22/12/2024 askari polisi 4 wa kiume wa kituo kikuu cha Polisi Iringa wakiwa wanaongozwa na Inspekta Elijah Paul Bundala mwenye simu na. 0757 046 570 akijitambulisha kuwa anahusika na Dawati la Jinsia walinifuata nyumbani kwa wazazi wangu kuja kuchukua (kupora) watoto wangu. Hapo walikuwa wameambatana na mke wangu ambae ni askari polisi pia (WP), yeye alitokea Dar na kufikia kituoni kwa ajili ya kusuka mipango yake, tuna mgogoro wa kifamilia.
Polisi hao hawakua na RB wala arrest warrant wala hawakua kwenye sare za jeshi (yunifomu).
Kwa hiyo kinachosemwa juu ya Jeshi la Polisi au juu ya askari Polisi ni kitu cha kweli na hakika, ni wahalifu na wavunjifu wa sheria. Wanalitumia jeshi au ofisi za umma kwa manufaa yao binafsi.
Na kama ukimlalamikia Polisi kituo cha polisi jua unapoteza muda maana hakuna hatua atazochukuliwa iwe ni kijeshi au kijinai.
Ahsante sana kwa mitandao ya kijamii kama JF, huku watu wanapaza sauti na zinasikika.
NB: Waliweza kuondoka na watoto. Nilichutama na kufunika kombe. Tuna[/B]
Kimekusibu nini mkuu?Askari polisi wa Tanzania wamekuwa chanzo cha maumivu ya watu na familia nyingi sana hapo bongo , ni ajabu iliyoje kuona chombo cha dola ambacho ndio kilipaswa kuwa mstari wa mbele kulinda raia na Mali zao kinageuka na kuwa upanga mkali, tena usio na huruma kwa raia
Polisi wengi wa Tanzania ni binadamu wakatili sana, wananjaa kali, wivu wa kimaendeleo kwa raia, bila kusahau wengi wao ni mbumbumbu na bongo lala, walioshindwa shule na biashara hivyo wakaamua kuukimbilia upolisi ambako huko wamejitwika ubabe kutokana na nguvu kubwa waliyopewa na serikali ovu ya ccm ambayo imekuwa ikiwatumia kutekeleza unyama juu ya raia wenye itikadi tofauti na zile za chama chao.
Hatuwezi kukwepa kukutana na polisi katika maisha yetu ya kila siku na kuna wakati nilazima tushirikiane nao ili jamii iwe katika mstari mnyoofu, lakini kamwe usimfanye askari polisi wa Tz kuwa rafiki yako, wala usitengeneze ushkaji na polisi, kataa kabisa kuwa na mahusiano ya aina yoyote yasiyo ya kikazi baina yako na polisi, hao ni Viumbe wenye tamaa na udumavu wa akili, kwao bundiki ndio suluhisho la mizozo yao na bahati mbaya hawawajibishwi ipasavyo, NARUDIA jiwekeni mbali na polisi, na hata akija kama mpangaji katika nyumba uliyopanga wewe hama, na mshkaji wako akiwa polisi mkatae mazima, dada yako au mwanao akitaka kuolewa na polisi vunja uchumba .
#POLISI SIO RAFIKI, POLISI SIO NDUGU, MKATAE POLISI
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hao ndio majambazi, waonevu, wanafiki, wivu, wapumbavu, waendekeza njaa, wanaongoza kwa rushwa, pia ndio watu wenye IQ ndogo kuliko wati wote Tanzania, ni malofa na mapumbavu sana.
Ahsante mkuu.Tafadhari rekebisha 22/12/2024 mkuu
Aisee.Kuna trafik mmja alikua apenda elaa Sanaa,akakutana na mwamba wakaendeshana Mwisho alimloga...ikawa Kwisha habari. Wanaboa Sanaa sanyingine!
Hayo hayo.
Tofauti ipo mkuu wa kituo ndo nwenye madaraka kwa kwa mambo ya kiutawala kwa kituo husika. ata kufungua mafaili ya kupelek kesi mahakaman mkuu wa kituo ndio mwenye mamlaka ayo na sio OCD.Hivi kuna tofauti kati ya OCD na Mkuu wa Kituo!! Maana ninachofahamu OCD ni mkuu wa kituo cha polisi ngazi ya Wilaya! Na mkuu wa kituo, anaweza kuwa hata katika ile ngazi ya chini kabisa (Police Post)
Sasa huyo OCD aliyekuwa anarukiana vichwa na dereva wa bajaj mpaka anakuja kuamuliwa na mkuu wa kituo! Mbona kama sielewi. Aisee OCD ni mtu mkubwa. Huwezi kupigana naye vichwa kirahisi tu.
CHAINi juzi tu kuna mwana ni derev bajaj alikamatwa na ocd kufik kituon ktk majibizano yule ocd alimpiga kibao mwana mpak alipat maruerue ila uzur mwana hakua mnyonge dlimrukia ocd na kupiga utosi na kuanguka nae chini kuna polisi wengin wanaingilia kati kuamua ugomv ocd amepanic anatak mwana apelekwe mahakaman mkuu wa kituo akaingilia kati na kumlaumu ocd kwa kujichukulia sheria mkononi.
Kuanzia mda ule heshima ilipatikan kwa kila mmoja kumuheshim mwenzake.
moral ni kwamba hupaswi kuwa mnyonge na kuogopa polisi ata kama ana chego gani.
Wewe kuna kitu kimekutokea si bure.Uko sahihi lakini utekelezaji wa majukumu yao umegubikwa na matukio mengi ya uonevu na mauji, cha msingi polisi mweke mbali katika cycle yako ya maisha, kutana nae pale inapojitajika kufanya hivyo, baada ya hapo jikatae, hawafai
Peleka FacebookNidanganye kwa lengo gan sas ? OCD alitaka kumkomoa mwana mda ule ule alitaka kumpeleka mahakaman mkuu wa kituo ndo alipinga ilo swala kwa kumuliza OCD anmpeleka mahakaman anaenda kumshtaki kwa kosa gan? Na pia alimwambia OCD hakupaswa kujichukulia sheria mkonon kwa kumpiga kibao Raia. Na mdaa huu mwana yupo road na bajaj yake hakupelekwa tena mahakaman
Ipo siku utajaa tu kwenye mfumo.Mwezi mchanga umekaribia nini? 1/4 ya rafiki zangu ni askari polisi, tunakunywa nao pombe tunafurahi pamoja ispokuwa endapo unavinasaba vya uizi polisi utawaona sumu kali.
Hakuna police poa Tanzania wote roho mbaya maadui wa kila mtu.Wengine ni ndugu, majirani pia wengine ni watu poa pia
Nilikuwa nimekaa najiuliza hapaaHivi OCD na mkuu wa kituo nani ana cheo kikubwa kwenye jeshi la Polisi?Hizi chai zingine!Yaani OCS aingilie kati vita ya OCD na raia?
Hizi ajira za mtoto wa mjomba ,au kadi ya chama ndo matokeo ya jeshi la hovyo .....ukiona jeshi la polisi linatumia silaha za moto kweny issues za kidiplomasia ujue kuna shida mahaliAskari polisi wa Tanzania wamekuwa chanzo cha maumivu ya watu na familia nyingi sana hapo bongo , ni ajabu iliyoje kuona chombo cha dola ambacho ndio kilipaswa kuwa mstari wa mbele kulinda raia na Mali zao kinageuka na kuwa upanga mkali, tena usio na huruma kwa raia
Polisi wengi wa Tanzania ni binadamu wakatili sana, wananjaa kali, wivu wa kimaendeleo kwa raia, bila kusahau wengi wao ni mbumbumbu na bongo lala, walioshindwa shule na biashara hivyo wakaamua kuukimbilia upolisi ambako huko wamejitwika ubabe kutokana na nguvu kubwa waliyopewa na serikali ovu ya ccm ambayo imekuwa ikiwatumia kutekeleza unyama juu ya raia wenye itikadi tofauti na zile za chama chao.
Hatuwezi kukwepa kukutana na polisi katika maisha yetu ya kila siku na kuna wakati nilazima tushirikiane nao ili jamii iwe katika mstari mnyoofu, lakini kamwe usimfanye askari polisi wa Tz kuwa rafiki yako, wala usitengeneze ushkaji na polisi, kataa kabisa kuwa na mahusiano ya aina yoyote yasiyo ya kikazi baina yako na polisi, hao ni Viumbe wenye tamaa na udumavu wa akili, kwao bundiki ndio suluhisho la mizozo yao na bahati mbaya hawawajibishwi ipasavyo, NARUDIA jiwekeni mbali na polisi, na hata akija kama mpangaji katika nyumba uliyopanga wewe hama, na mshkaji wako akiwa polisi mkatae mazima, dada yako au mwanao akitaka kuolewa na polisi vunja uchumba .
#POLISI SIO RAFIKI, POLISI SIO NDUGU, MKATAE POLISI