Kataa kabisa urafiki au mahusiano ya kawaida na Askari Polisi

Polisi wa vyeo vya chini wengi wanazengua ila wakubwa wao hawana shida kivile.

Kuanzia nyota tatu kupanda juu ni nadra sana kukuta wenye tabia ambazo sio za kiproffessional.
Kwasababu ni wachache pia na hawakutani na raia moja kwa moja
 
yaani ni wa hovyo hovyo tu... KATAA POLICE
 
Mtendaji wa kijiji na polisi tofauti yao ni Bunduki na mayunifomu basi!! Woote masinichi, njaa kali, shule ndogo, ubabe wa kujiami, wapumbafu, wajinga afu mbaya zaidi wanajikomba CCM utadhani kuna kitu wanawekewa hukoooo mnapopajua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 


Hatari sana hii, kama mkuu wa kituo asingekuwepo na kuna SMG karibu, dogo angeuwawa, IQ za police ni ndogo sana, usitafute heshima kwao, kaa mbali nao kabisa, na ukiingia kwenye 18 zao kuwa mpole uondoke ukiwa hai. Tuishi,

Cha muhimu:

  • Kaa mbali na police, hata kama ni ndugu.
  • Tupige sala kila siku asubuhi Mungu aongoze njia zetu.
  • Ukiingia kwenye 18 zao kuwa mpole, negotiate.
 
Ila sisi tukikabwa tunawakimbilia polisi wakati mwingine ukimpigia tu mkuu wa kituo simu kua nasikia huku kwangu siyo SHWARI defender hii napo nisiwe nao karibu bado sijashawishika mtaani kwetu bila polisi hatulali
kuwa nao tu karibu siku moja utashawishika utamuelewa tu mtoa mada
 
Well said mzee japo wengi ndo wabaya
 
Hata hao polisi ni ndugu zetu na sehemu ya familia zetu, hatuwezi kuwatenga kisa tabia mbovu za 'baadhi' yao.
ni ndg. zako ww... halafu sio baadhi wote shuwaini tu! wapo humu wanapitia uzi wabadilike
 
Kuna demu mmoja mjeda (police) kanizimikia balaa, unataka kuniambiaje weye.!! alinikamata kosa la barabarani kutoka hapo yaani nataka kuoa kabisa kabisa maana si kwa mambo yale aisee !!
Unataka kuoa polisi?

Ushauri wangu usijaribu kuweka hata wazo la kuoa mwanajeshi, polisi wala trafiki mwanamke.
 
ni ndg. zako ww... halafu sio baadhi wote shuwaini tu! wapo humu wanapitia uzi wabadilike
Mkuu, kashanikabidhi hadi kadi yake ya mshahara yaani naimiliki mimi kwa sasa.
 
Habari Wanajukwaa!
Kwanza nikushukuru sana Mkuu kwa kuleta chapisho lenye hoja ndani yake; ni wazi kuwa kwa hatua iliyofikia Polisi sio tena ndugu wa wanajamii na hii kwa kiasi kikubwa imetokana na utendaji kazi wao mbovu sana pamoja na mienendo yao.
Polisi nawachukia sana ingawa nina kidemu changu kimoja ni FFU sijui nifanyeje tu Mkuu labda Mshana Jr unisaidie mawazo 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…