Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
thats very true; ngoja niwape storyNimeona mara kadhaa ugomvi wa kuvunja ndoa baada ya Kina baba kugundua asili ya majina ya watoto wao wa kiume waliopewa na mama zao.
Mpaka anafikia kuimba kala Sana sembe lililotafutwa na baba kwa jasho na damuMwisho wa siku watoto wanaishia kuimba nani kama Mama. Mna upuuzi kiwango cha SGR ,mtu ahangaike mimba miezi tisa uchungu juu kunyonyesha miaka miwili kisha unamnyima haki ya kutoa jina kisa your own inferiority
Hii ni hatari sana. Huyo mtoto anapewa jina lililotokana na uzinzi wa mzazi wake na mtu mwingine. Baadae mtoto wa kike au hata wa kiume akiwa hashikiki na akaanza mahusiano na wamama au wababa watu wazima kwa sabbu ya foundation ya jina nani atasema nini. Very absurd stuff tunafanya wanadamu. Majina yana nguvu, majina yanamtambulisha mtu. Kama alimpenda sana kwanini hakumuoa au hakuolewa nae??...so sadHata nyiee mnatoaga majina ya maex zenu...hii nimeishuudia kwa workmate mwenzanguu..Ameshindwa kumsahau kabisaa mtto wake wa kwanza wa kike kampa jina la x wake...
Yaani nitie goli lililotoka kiunoni mwangu halafu Hilo goli lisinifahamu limfahamu zaidi golikipa niliyemfunga?Unahangaika bure hitobadili kitu, jina la kwanza ndio litasimama huwezi kulifuta.
Siku zote mkeo atamwita mwanao baba.
Mama ana muunganiko mkubwa sana na mtoto kuliko sisi wanaume, kumbuka wamefahamiana mieziv9 kabla wewe na mtoto hamjafahamiana
Haipingwi hiyo sheeriiiiiiaaaa!!!Sio kila kitu usubiri kufundishwa mkuu, changamka. Yaani hata Kama mna watoto 100 wa kiume, majina yote yatolewe na baba. Sio mbaya mara mojamoja hapa na pale mke kutoa majina kwa watoto wa kike.
Nimeona mara kadhaa ugomvi wa kuvunja ndoa baada ya Kina baba kugundua asili ya majina ya watoto wao wa kiume waliopewa na mama zao.
Chukua tahadhari.
Mh linawezakanaje hili??Wanawapa majina ya ma ex zao au waliovunja mlango first time
Ni wajibu wa Baba kutoa jina, Nje ya hapo ni mauzauza tu.Sio kila kitu usubiri kufundishwa mkuu, changamka. Yaani hata Kama mna watoto 100 wa kiume, majina yote yatolewe na baba. Sio mbaya mara mojamoja hapa na pale mke kutoa majina kwa watoto wa kike.
Nimeona mara kadhaa ugomvi wa kuvunja ndoa baada ya Kina baba kugundua asili ya majina ya watoto wao wa kiume waliopewa na mama zao.
Chukua tahadhari.
Hahahaha kurithi jina sio sababu ya kurithi tabia za watu. Mbona mimi ninajina la babu alikuwa mlevi sana but mimi sio mleviMke wangu kampa mwanagu jina la baba ake mzazi ila yule baba mkwe ni mswahili sana nafikiri kumbadili jina mwanangu asije kupata tabia za huyu babu wake.
Tulishangaaa mnoo yaaan..Hii ni hatari sana. Huyo mtoto anapewa jina lililotokana na uzinzi wa mzazi wake na mtu mwingine. Baadae mtoto wa kike au hata wa kiume akiwa hashikiki na akaanza mahusiano na wamama au wababa watu wazima kwa sabbu ya foundation ya jina nani atasema nini. Very absurd stuff tunafanya wanadamu. Majina yana nguvu, majina yanamtambulisha mtu. Kama alimpenda sana kwanini hakumuoa au hakuolewa nae??...so sad
Halafu cha ajabu serikali imekaa kimya tu haya mambo yanaendelea hivi.!Wanawapa majina ya ma ex zao au waliovunja mlango first time