Kataa ndoa. Leo wamepata point 3 ugenini, ilikuwa hivi...

Usipooa kisa kuibiwa UTAIBIWA NA MAJAMBAZI
 
Niliposema mm ni mafia nadhan hukunielewa.

Hio sheria huwa ina loophole mahala, najua ninachokisema. Lakini akishakua na copy ya cheti cha ndoa ndipo huchomoki
Najua loophole, ni kuwa mtengeneze hadhi ya kuwa mke na mume. Ukikaa nae na ukawa unampeleka kibandidu kama vipigo, kuwa na michepuko waziwazi nk, hawezi kutumia hicho kifungu kujiponya.
 
Ndo maana kuna wauaji wanashida kesi zao na waliosingiziwa kuua wanahukumiwa kunyongwa.

I rest my case.
 
Pia hata huko zamani unakosema, breakups zilikuwepo ingawa ni chache sababu ya mazingatio waliyokua nayo.

Kuna wanawake wa kuttomba tu na wakuoa, tatizo wengi wanadata na kutangaza ndoa. Mfano yule Zaylissa hata appearance tu, hamna mke pale.
 
Mkuu una uelewa mdogo sana wa sheria ya ndoa, na nikuhakikishie hauijui sheria ya ndoa.

Hakuna kitu kinaitwa by -law ya sheria ya ndoa. Hivi kwanza unafahamu by law ni nini?.

Mimi ni taaluma yangu na ninakuambia kwa base ya uwakili sio stori za vijiweni Mkuu.
 
Hzo Mali utazikwa nazo acheni upumbavu wa mawazo ya kiafrica eti hbr ya kugawana Mali ,Mali gani kinyumba kiwanja ndio Mali Sasa

Unakuta mtu eti anasema Ana Mali wakt Hana hata kiwanda Cha kufetulia tofali hata heka tano la shamba Hana alfu anajita ana mali

Kwa hyo uantaka kuishi pekea ako I'll usigawnae Mali na mwanamke SAS ukifa nakumbiaa wanakuja watu wa baki Kbsa kutawla hzo vimalizako na huna la kufanya

Kibkubwa muombe sna mungu akupe mwisho mwema urudi kwake salmaa bila kuacha migogodo duniani

Nina babu yangu alikua tra hajawi kuoa wala kuwa na mke na watoto. Leo hii kisukari kimempata hata kuona haoni maskini na ni mtu mwenye Mali nyingi ikiwemo magorofa Sasa hzo Mali ziasadia n.anatafuta watu wakushinda nao hkn
 
acha ujinga
wanaume ni majukumu, na siyo mateso
majukumu yetu huwezi kuyaita mateso
acha umama, vinginevyo leave the men's group
 
Nimesema miezi sita kama mfank sababu ndivo inavojulikana mtaanj.

Hii debate tukiendelea haina mwisho.

Lakini kama nilivyosema, kafuatilie kwa nn vicky kamata hakupewa mali alizosema na zi mme wake sababu mahakama ilimtambua kama kimada.

Ukiweza kuprove kwamba huyo mwanamke ni kimada basi hio bylaw haina nguvu kwako tena hata kama mmekaa miaka 100,

Lakini kama nilivosema, kuna wauaji wanashinda kesi na kuna waliosingiziwa kuua wananyongwa. Huu mjadala hauna mwisho kama umenielewa hio sentensi. Tukubali kutokukubaliana
 
Waoe wenye akili tu, Kama huna akili achana na ndoa fanya mambo mengine.

Jamaa yako anaonekana hana akili.
 
Najua loophole, ni kuwa mtengeneze hadhi ya kuwa mke na mume. Ukikaa nae na ukawa unampeleka kibandidu kama vipigo, kuwa na michepuko waziwazi nk, hawezi kutumia hicho kifungu kujiponya.
Ukiweza kuprove tu kama ni kimada basi game over.

La sivyo kila mchepuko angekua na haki ya kudai mali za mwanaume wake.

Legal literacy!
 
Still naamini huko mahamani mienendo ya kesi huwa inasikilizwa. Hapo ni muda tu na hela sa mwanasheria. Ni rahisi kuithibitishia mahakama kwamba huyu alinikimbia. Hakua kwenye uzalishaji wa hizi mali.
Hii kesi jamaa ndo kapata barua hivi majuzi lakini atashinda, na hatoshinda sababu ya mke kumkimbia, atashinda kwa kuthaminisha mali kisha kuweka vithibitisho vya kuuza nyumba na kumfungulia biashara.

Kama kushinda tu atashinda, lkn lengo ni kuona ushetani waliouficha wanawake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…