Kataa ndoa. Leo wamepata point 3 ugenini, ilikuwa hivi...

Kataa ndoa. Leo wamepata point 3 ugenini, ilikuwa hivi...

Pia hata huko zamani unakosema, breakups zilikuwepo ingawa ni chache sababu ya mazingatio waliyokua nayo.

Kuna wanawake wa kuttomba tu na wakuoa, tatizo wengi wanadata na kutangaza ndoa. Mfano yule Zaylissa hata appearance tu, hamna mke pale.
Yan unaoa mwanamke alioachika kwa mcheza singeli?

Aisee hata kama mapenzi upofu, huu ni upofu pro max
 
hakuna KE atayekubali hata siku moja, labda umtoe Pluto
Na ndio hapa linapokuja Kwanini prenuptial ina matatizo mengi.

Yaani tayari ulishamwambia kwamba kila mtu na mali zake. Hiyo ndoa haimalizi miaka 3 ina survive.

Sababu mamlaka kama mwanaume inakupunguzia huwezi kumpgia simu umwambia wahi kupika wakati kila mtu anapambana kutafuta maisha yake.

Mtatafuta mfanyakazi mtamlipa atafanya kazi zote, inshort UPENDO hakuna hapo.
 
Na ndio hapa linapokuja Kwanini prenuptial ina matatizo mengi.

Yaani tayari ulishamwambia kwamba kila mtu na mali zake. Hiyo ndoa haimalizi miaka 3 ina survive.

Sababu mamlaka kama mwanaume inakupunguzia huwezi kumpgia simu umwambia wahi kupika wakati kila mtu anapambana kutafuta maisha yake.

Mtatafuta mfanyakazi mtamlipa atafanya kazi zote, inshort UPENDO hakuna hapo.
KE hakupendi, she won't give a rat's ass kuhusu wewe zaidi ya assets zako
Na Ndoa ni nafasi ya KE kupunguzia ukali wake wa maisha
kosa pesa au fulia ndiyo utajua hujui
 
KE hakupendi, she won't give a rat's ass kuhusu wewe zaidi ya assets zako
Na Ndoa ni nafasi ya KE kupunguzia ukali wake wa maisha
kosa pesa au fulia ndiyo utajua hujui
Mkuu drone,

Ke kama hakupendi bila pesa, wanaume maskini wasingekuwa na wanawake na wanaume matajiri wasingekuwa wanachapiwa wake zao.

That’s not the point.

wapo wanawake wametunza wanaume zao wakiwa wanaumwa mpaka anasimama, wapo wanawake walioawakimbia waume zao sababu ya kukosa pesa.

Wapo wanaume waliowakimbia wanawake zao walioanza nao maisha chini na akitoboa anamkataa, wapo wanaume ambao wake zao wametoka nao chini na wanaishi nao mpaka sasa.
 
Issue ni simple, jamaa akomae, hataki kuachana na huyo mke, arudi waishi nae,
Na kesi iende mahakamani, wakati wote huu jamaa aue biashara zake kwa kuhamishia kwenye kampuni nyingine ionekane kama zinafeli, so mwisho kesi inapoamuliwa inamkuta jamaa hana hela (kwenye makaratasi)
 
MMH Topic kuntu hii.

Kwanza kabisa ni kweli kuna wapigaji wa kike siku hizi. Akishakuona unajiweza anatumia/anakutumia kama fursa hapa mjini, hasa hasa wanaume ambao mpaka wanajipata (wanakuwa na mali) wanakuwa hawajui mstakabali wa mahusiano yao.
Wengine unakuta walikuwa na wenza wao wakati wanazitafuta, kisha wakizipata utaona wanaanza kuwaona wale wenza wao ni kama vinyago hivi, nafikiri hii pia huleta mzunguko wa kisasi cha maisha hata kwa mpenzi mpya anaempata, nae huyo mwanamke akimfanyia unyama huyo mwanaume, nae kwa namna moja au nyingine, huenda kupigwa na anaefata. Hivyo cheini ya visasi inaendelea, Si unajua wanasema malipo hapa hapa duniani.
HIVYO USHAURI WANGU WA KWANZA TULIA NA YULE ULIECHUMA NAE, NA KAMA MUDA HUU BADO HAUJAJIPATA TAFYTA WA KUCHUMA NAE, ILI UZIBE MIANYA YA WAPIGAJI (WADANGAJI) SIKU UTAKAYOPATA.

Cha pili ni pale unapokuwa umejipata sasa huwa kwa mwanaume kunakuwa na uzuzu wa mtu kusahau kuwa wezi wa mali na majambazi wa siku hizi hawashiki bunduki wa mapanga, unaibiwa kwa ushawishi ni wewe tuu ndio hudanganywa unajikuta unatoa mali yako kirahisi kabisa. Wengine wapo tayari hadi wakuzalie ili tuu apate hizo hela za matumizi ya mtoto. Wengine wapo tayari kuelewa hata na wasikuwa na mapenzi dhidi yao ili tuu wapate unafuu wa maisha. DUNIA IMEBADILIKA SASA HIVI. Hivyo vijana inabidi tubadilike kimtazamo siku hizi, kuna namna mbali mbali za kutanza mali zako zisipigwe na hao wezi, tena njia ni za kisheria kabisa na hata akupeleke mahakama gani hatoboi. HAWA WANAWAKE TUMEAMBIWA TUISHI NAO KIAKIRI. Hivyo ukiona mtu wako humuelewi, wakati unatafuta hajali yeye anasubiri wakati wa kupokea hela tuu mzee. Weka hela zako kwenye Corporation au Fungua kampuni ya Familia yako (yaani wewe na mama yako au baba yako) kisha mtaji weka huko. Siku ya kugawana hizo mali hazitahesabiwa. Acheni ulevi wa kutafuta mali halafu unaandika majina ya wanawake zenu, demu mwenyewe ulikutana nae kidimbwi.

ILA HAPA SISEMI KAMA WANAWAKE WOTE WAPO HIVO WENGINE NI WEMA TUU TENA HULETA BARAKA KWAKO ZAIDI NA HULETA MBINU ZA UTAFUTAJI UKAPATA ZAIDI. NA WENYWE HUA MSTARI WA MBELE KUHAKIKISHA WEW UNAFANIKIWA HAO NDIO UNATAKIWA USHIKILIE. ACHANA NA WADANGAJI.

Njia ambazo nazijua za kulinda mali zako dhidi ya wanawake wapigaji.
1. Mali andika jina la watu wengine (mfano mama au baba)
2. Weka mkataba wa ndoa (hapa ni kama wakati unajipata ndo umekuja kupata mdangaji)kuwa mali zako alizokukuta nazo hatazigusa endapo mtaachana.
3. Fungua kampuni ya familia yako (yaani ya baba yako au na ya mama yako) kisha weka mtaji wako weka huko. Maana mahakama hawatahusisha mali za kampuni kwenye mgao.
4. Kama kuna njia nyingine wengine wataongezea.

Napita hivo
 
Back
Top Bottom