Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Niende kwenye mada, utimamu wetu kwenye akili na maamuzi binafsi uheshimiwe na uzingatiwe na ulindwe.
Kuoa au kuolewa ni hiari na uamuzi binafsi na vinalindwa kikatiba, hivyo basi viongozi waache mikurupuko tafadhari, zingatia mipaka ya mihimili ya dola.
Serikali ijiepushe na matamko kinzani dhidi ya uhuru, demokrasia na haki za kimahakama.
Nitoe Rai kwa wote haki na Uhuru binafsi vilindwe na kuheshimiwa.
Nawasilisha kwa michango na tuisimamie hii haki kwa nguvu zote.
Kuoa na kuachana kwa hiari au kwa lazima vipo kisheria.
Utawala wa sheria uzingatiwe.
Ni mimi Wadiz.