Kataa ndoa na kataa kuoa ni imani na msingi wa ustawi na maisha marefu kijamii. Haki ya uamuzi binafsi izingatiwe.

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Niende kwenye mada, utimamu wetu kwenye akili na maamuzi binafsi uheshimiwe na uzingatiwe na ulindwe.

Kuoa au kuolewa ni hiari na uamuzi binafsi na vinalindwa kikatiba, hivyo basi viongozi waache mikurupuko tafadhari, zingatia mipaka ya mihimili ya dola.

Serikali ijiepushe na matamko kinzani dhidi ya uhuru, demokrasia na haki za kimahakama.

Nitoe Rai kwa wote haki na Uhuru binafsi vilindwe na kuheshimiwa.

Nawasilisha kwa michango na tuisimamie hii haki kwa nguvu zote.

Kuoa na kuachana kwa hiari au kwa lazima vipo kisheria.

Utawala wa sheria uzingatiwe.

Ni mimi Wadiz.
 
Kuna watu wamelazimishwa kuoq qu kuolewa na sasa wako jela bila kupenda hii haki iheshimiwe
 
π‚π‡π”πŠπ”π€ π‡πˆπˆ π•πˆπƒπ„πŽ π–π„πŠπ€ π‡π€ππŽ 𝐉𝐔𝐔 πŠπ–π„ππ˜π„ π”π™πˆ π–π€πŠπŽ πˆπ“π€πŠπ”π’π€πˆπƒπˆπ€ 𝐒𝐀𝐍𝐀
Your browser is not able to display this video.
 

Huyu bwege sana ndiomana hana akili anavaa na kuongea dume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…