100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 4,766
- 16,191
Yani hukunielewa ila nimefanya uchambuzi au nilikua nakuelewesha ndoa ni kitu gani, sijalalama, kwani kina Billgate, Ekon Musk, Bezos waliachana na wake zao kukimbia majukumu?Wewe unataka ndoa iweje??
Unajua sometimes kataa ndoa hamjui mnachokikataa hasa ni kipi!!
Mleta uzi kasema #kataa 50/50 at the same time mnalalamika kumhudumia mwanamke.
Kwa mimi ninavyoamini wanaume tumumbwa hivyo, watafutaji, hata ukiwa na mke wewe ndio utakua kiongozi wake, yeye kazi yake ni kukusaidia majukumu ya kulea, faraja na ushauri pale unapouhitaji toka kwake.
Ukiingia kwenye ndoa na mindset ya kua ndoa ni tatizo basi hutopata faida yoyote ile. Huko mtaani unakohonga, utakakozalisha na kuanza kumlea mwanao kwa vizinga vya huyo singo maza, huenda gharama ikawa kubwa zaidi ya kama ungeoa.
Unaruhusu vipi mwanao alelewe na baba mwingine na wewe upo, kataa ndoa ni waoga sana aisee. Na mna sonona.
Nimekuelezea ndoa ni nini na huo ndio ukweli, taratibu za ndoa zilishawekwa tika zamani na ipo hivyo.
Ni kama kuwa askari na kwenda front vitani, nikisema kazi yako ni kuua binadamu nakuwa nimekosea?
zile definition zenu mnazodanganywa kuhusu ndoa huwa ni kuipamba tu na kuipa lugha tamu.
Kuelezea ndoa mwanaume anakamuliwa si kukimbia majukumu bali ndio ukweli, wanawake wenyewe sasa hivi wanataka haki sawa.