Kataa ndoa ni hazina ya kesho

Kataa ndoa ni hazina ya kesho

Wewe unataka ndoa iweje??

Unajua sometimes kataa ndoa hamjui mnachokikataa hasa ni kipi!!

Mleta uzi kasema #kataa 50/50 at the same time mnalalamika kumhudumia mwanamke.

Kwa mimi ninavyoamini wanaume tumumbwa hivyo, watafutaji, hata ukiwa na mke wewe ndio utakua kiongozi wake, yeye kazi yake ni kukusaidia majukumu ya kulea, faraja na ushauri pale unapouhitaji toka kwake.

Ukiingia kwenye ndoa na mindset ya kua ndoa ni tatizo basi hutopata faida yoyote ile. Huko mtaani unakohonga, utakakozalisha na kuanza kumlea mwanao kwa vizinga vya huyo singo maza, huenda gharama ikawa kubwa zaidi ya kama ungeoa.

Unaruhusu vipi mwanao alelewe na baba mwingine na wewe upo, kataa ndoa ni waoga sana aisee. Na mna sonona.
Yani hukunielewa ila nimefanya uchambuzi au nilikua nakuelewesha ndoa ni kitu gani, sijalalama, kwani kina Billgate, Ekon Musk, Bezos waliachana na wake zao kukimbia majukumu?

Nimekuelezea ndoa ni nini na huo ndio ukweli, taratibu za ndoa zilishawekwa tika zamani na ipo hivyo.

Ni kama kuwa askari na kwenda front vitani, nikisema kazi yako ni kuua binadamu nakuwa nimekosea?

zile definition zenu mnazodanganywa kuhusu ndoa huwa ni kuipamba tu na kuipa lugha tamu.

Kuelezea ndoa mwanaume anakamuliwa si kukimbia majukumu bali ndio ukweli, wanawake wenyewe sasa hivi wanataka haki sawa.
 
Mzee kwani huwezi kulinda mali zako??
Sheria za kulinda kibunda chako zipo, ila tatizo ni kua pale mwanzo mkitawaliwa na hisia zaidi ya kutumia akiki ndo hayo hutokea.

Na sio mwanaume unatakiwa kukamuliwa, unakamuliwa nini?? Unataka kusema kina Bill gates wamekua matajiri kabla ya ndoa na walipoingia kwenye ndoa utajiri ukadorola??
Hao hap matajiri si tunao hata hapa Tz na wameoa, kina Dwej, kina Bakhresa si wameoa hao, vipi ndoa zao zinawafilisi kisa wake zao ni wa kupokea tu??

Bado sijaona hoja sahihi za kukataa ndoa, kunyonywa sio sababu kwasababu na wewe unapata kitu toka kwa huyo Ke, labda kama wewe unaona pesa yako na upatacho kwake hakikutoshi ni haki yako kukataa ila sio kufanya conclusion kua ndoa ni mbaya.

Mi naona ninyi ni waoga mkuu, si ajabu mnaogopa mahusiano na wanawake kwa namna nyingi.
 
Mi nimesimama hapa kuzungumzia ndoa katika asilimia kubwa.

We unafikiri hakuna wanawake wanawalea wanaume, wamewatengenezea maisha wanaume?
Wapo ndio maana mwishoni nilisema kuna aina hio ya wanawake lakini ni kwa asilimia chache.

Hata hao kina Dewji na Bakhresa ni asilimia ngapi ya couple zilizopo ndoani?

Tazama kwa upana wake na utahakiki nachozungumzia.
 
Ninapozungumza akili sio ya kugundua vitu unayo akili timamu ya kuishi na mwenza au siku mbili kichwa kichawaka.

Kuwa kwanza utaelewa ndoa ina umuhimu gani?
Wenzagu wenyewe ndo Hawa🙄🤔, aisee bado huja sema hoja nzito
Screenshot_20240306-154413_2.jpg
 
Hii Sera ya kataa ndoa ni Sera ya msingi na muhimu mno.

Itasaidia kuonyesha ukweli na njia ambazo vijana Wanazo Ingia Chaka.

swaga nyingi, michango, Picha kibao, halafu mwishobwa siku una Baki una Lia Lia.

maigizo, kilio, Kisi kudanganye kijana.

Mwenyekiti wa kataa ndoa ni, Liverpool VPN,
02 katibu wa kataa ndoa, dronedrake,
03. Mjumbe ni Loading failed,
04, Mimi ni katibu mwenezi wa Sera za chama Cha kataa ndoa.

KATAA NDOA LINDA MAISHA
YAKO.
KATAA NDOA LINDA UHURU WAKO.
KATAA NDOA LINDA UCHUMI WAKo.
KATAA UNAFIKI WA 50/50

View attachment 2926176
Duuuh
 
Mc pili pili ameshanyonyolewa huko , amebaki analia Lia tu .

Ndoa hizi , hatari Sana aisee
 
Back
Top Bottom