Kataa ndoa ni kampeni ya kijinga kuliko zote duniani

Kuoa au kuolewa siyo mpango wa Mungu ni mpango wa muoaji au muolewaji mwenyewe.

Kuoa au kuolewa siyo lazima, ni mazoea ya kidini na kitamaduni tu.
 
Ni lazima mtumie haya maneno?
Mbona sisi ambao hatutaki ndoa hatuyatumii.

Kutumia hizi "personal attack" huwa mnamaanisha nini???

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Personal attack nani anakujua mzee?

Ikiwa mtu mama yake alizaa kama mbwa hajawahi kumuona akitoka mlango mmoja na baba yake huyu akisema ndoa haina maana nitamuelewa lakini amezaliwa ndani ya ndoa amekua ndani ya ndoa aseme ndoa haina maana?huyo ni mwendawazimu na failure mkubwa wa maisha.
 
I agree to disagree, lakini pia ukiweza kujadiliana bila kutumia hayo maneno basi karibu tujadiliane.

#YNWA
#YANGA_BINGWA.
 

Kataa ndoa wanahoja Kali Sana.

Zisipojibiwa wanalingana na wale wa Atheist

Ndoa kwa Mwanaume ni utapeli. Kulingana na Sheria zilizopo
 
Kila mtu ashinde mechi zake, anaeona ndoa tamu aoe, anaeona imemshinda atoe talaka, anaeona ndoa haifai asioe, simple tu, kila mtu anaishi anavyoona ni sahihi
Siyo kulazimishana na kutoana akiliπŸ˜„πŸ˜„
 
Ndoa ni kampeni za serikali kutuuzia uwoga.

Ndio maana Ukioa

Unakopesheka kirahisi kwa sababu unatabirika.

Kuna vyeo vingine kama urais wanatumia kigezo cha kuwa umeoa ili kutisha watu waone ndoa ni dili.

Kataa ndoa
 
Mkuu huwezi kuishi na mwanamke bila kujitokeza changamoto yoyote.

Mtazame hapa hayati Mwai kibaki alivyokaliwa chapati na mkewe.

View: https://youtube.com/shorts/Ucx-Cp6ALSs?si=8R7GG5Wa4D7KC5dmKataa ndoa
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ tumeambiwa kwenye kitabu kitakatifu tusiwape wanawake nguvu zetu na wale wenye nia hovu.kanuni zipo nama ya kuishi nao na Mungu ametupa angalizo soma hapo

Mit 31:3​

Usiwape wanawake nguvu zako; Wala moyo wako usiwape wale wawaharibuo wafalme​

 
hii kampeni ya kiduanzi naiona JF na X uko kuna wadau wanadai ndoa ni utapeli mkubwa.

anyway ni mitazamo yao,pia wanadai kama unapata milk je kwanini ufuge uyo cow.

ni mitazamo yao pia,ila ndoa ni ya mwanaume kamili.
Imagine Mwanaume kamili, kila siku asubuhi unaamka pembeni ya kiumbe mwanamke, ni kiasi gani energy yako inakua drained?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…