fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,699
- 9,323
- Thread starter
-
- #41
Mchango wangu kwa taifa ni mkubwa mno,zingatia:Kitendo cha wewe kulala ukweni mpaka ukaweza kumlala mkeo na ukaja kutamba hapa jamvini inaonyesha una mchango mdogo sana kwenye hili taifa
Sio ya kijinga , kuna wengine wameepuka matatizo kwa hizo itikadi , utasemaje ni zakijnga na wakati matukio ya kwenye ndoa kila siku yanaibuka?Kataa ndoa ni itikadi ya kijinga, iliyo nyuma ya hasira za mhanga, bila kufikiri faida zake.
TawireKataa ndoa ni itikadi ya kijinga, iliyo nyuma ya hasira za mhanga, bila kufikiri faida zake.
Dosari kwenye ndoa zipo tu,lakini hazisadifu kupiga vita ndoaSio ya kijanga , kuna wengine wameepuka matatizo kwa hizo itikadi , utasemaje ni zakijnga na wakati matukio ya kwenye ndoa kila siku yanaibuka?
Kwa burudani hizi,Naweza fikisha hata 30 mzee, ila mie huwa sitizami ya mbele, naishi sasa, kwasasa ananipa burudani naburudika, kesho akibadilika anakula kidochi, maisha mengine yataenda 🤣Fikisha hata 10 kama mimi mkuu , kipindi hicho😁
Sasa mwingine akiziepuka hizo dosari zisitokee utasemaje ni mjinga?Dosari kwenye ndoa zipo tu,lakini hazisadifu kupiga vita ndoa
Kawaida tu , yote hayo yanapatikana tu bila hata ndoaKwa burudani hizi,Naweza fikisha hata 30 mzee, ila mie huwa sitizami ya mbele, naishi sasa, kwasasa ananipa burudani naburudika, kesho akibadilika anakula kidochi, maisha mengine yataenda 🤣
Ndoa lazima ziwe na changamoto, siyo mteremko tu kama kwa sadalaa.Sio ya kijinga , kuna wengine wameepuka matatizo kwa hizo itikadi , utasemaje ni zakijnga na wakati matukio ya kwenye ndoa kila siku yanaibuka?
Yanapatikana kinyume na mpango wa Mungu bila ndoaKawaida tu , yote hayo yanapatikana tu bila hata ndoa
ShabaashUko sahihi ndoa ni mpango wa Mungu, ni jambo jema Mwanaume na Mwanamke wakiamua kuacha wazazi wao na kuungana kuwa mwili mmoja kuanzisha familia yao kwa lengo la kuongeza uzao na kusaidiana kwenye shida na raha, ni bahati mbaya tu zama hizi imekuwa tofauti sana
Kwa burudani hizi,Naweza fikisha hata 30 mzee, ila mie huwa sitizami ya mbele, naishi sasa, kwasasa ananipa burudani naburudika, kesho akibadilika anakula kidochi, maisha mengine yataenda 🤣
Ni mjinga kwa kuepuka kwa njia ya kukataa kuoa na hatimaye kuziniSasa mwingine akiziepuka hizo dosari zisitokee utasemaje ni mjinga?
Kuzini ni nini?Ni mjinga kwa kuepuka kwa njia ya kukataabkuoa na hatimaye kuzini
Sio kila mtu ana amini mambo ya MunguYanapatikana kinyume na mpango wa Mungu bila ndoa
Na alie zikimbia hizo changamoto za ndoa kapata hasara gani?Ndoa lazima ziwe na changamoto, siyo mteremko tu kama kwa sadalaa.
Changamoto hizo zisimfanye mtu kirahisi kuhitimisha kuwa ndoa ni ujinga, na kuhamasisha watu wengine kwenye jamii kukataa.
Changamoto hazikimbiwi, zinakabiliwa.
Kumbe? Kwahiyo wewe huna dini sio?
Kula tanoNdoa lazima ziwe na changamoto, siyo mteremko tu kama kwa sadalaa.
Changamoto hizo zisimfanye mtu kirahisi kuhitimisha kuwa ndoa ni ujinga, na kuhamasisha watu wengine kwenye jamii kukataa.
Changamoto hazikimbiwi, zinakabiliwa.
SawaSio kila mtu ana amini mambo ya Mungu
Yuko nje na mpango wa Mungu na hukumu za Mungu zinamsubiriNa alie zikimbia hizo changamoto za ndoa kapata hasara gani?
Alipoiumba duniaNi lini Mungu alileta dini?
Acheni kumsingizia Mungu mavitu mmeyaleta wenyewe.