Kataa ndoa tunakemea ufungaji wa ndoa, kipindi hiki kikali cha talaka na mgawanyo wa mali

Kuna vitu mtu anaweza kujitafutia mwenyewe lakini kamwe hawezi kujitafutia watu wema.
 
Kataa ndoa linda maisha yako
Kataa ndoa linda uhuru wako

Magar yanapata ajali kila siku.
Either kwa Dereva kusababishiwa, kusababisha au ubovu wa gari.

Lakin hii haifanyi tusipande magari.
Kwasababu sio Yote yatapata ajali.
Magar mengne yatapita njia ya rough road, mengne Lami mwanzo mwisho, mengne mabonde na milima.

Ila kila safar ina Ladha yake .na hayo ndio Maisha

Kwahiyo Watu waoane. Waheshimiane. Ila ikitokea mwenza mmoja kakuvunjia heshima bas mnatengana. Haujazaliwa nae. Na % kubwa Hautakufa nae.

Vijana Oeni. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tena Oaneni mkiwa bado vijana 25-35 yrs.

Puuzeni hii serikali ya Kataa ndoa na Nyeto Gang πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Anaepinga chaputa sio rijali jitathimini mkuu

Soma comment yangu tena kwa mara ya pili.
Utajua kuwa comment yako iko nje na mawazo yangu.

Hoja yangu ni kuwa Sio ndoa Zote zina matatizo.

Pia nikirud kwa comment yako. Utajichukulia sheria mkonon had lini?.
Mfano una 40's na bado unapanda mnazi mwa mkono mmoja?.
 
Hawaoi ila wanapiga mademu nje ,no string attached.

Mpaka miaka mingap?.
Au ndio Maisha yote uliojaliwa kuishi Duniani?.

Vip kuhusu Watoto?.
Au utazaa na wanawake tofaut tofaut.
Utawahudumia?.
(kama kuna kitu kigumu ni kuhudumia na kusomesha mtoto ambaye umezaa kabla ya ndoa au nje ya ndoa au anayekaa kwa Mzaz mmoja au Bibi na Babu), ni headache sana.
Na gharama inakuwa mara 2 zaid kulinganisha na kama akiwa under your Wings full time.

The Choice is Yours.
We got this Life Once.
 
Samahani wewe umeoa kaka ?
 
Hongera sana hope una enjoy

I cant complain kwakweli.

Ndoa ni Kuheshimiana, Kupendana na kusameheana.
Na kila mmoja ajitahidi kadri ya uwezo wake kufanya obligation zake . (Mume afanye ya mume na mke fanye anayopaswa kufanywa na mke).

Kingne kuvunjiana heshima na Usalit ndio chanzo cha ndoa nying kuwa na mfarakano.

Kwa mwanamke . Mke kwa wakat fulan anajua tu kuwa mwanaume atakuwa ana kimada nje . But as long as Unamuheshim , unampa Anachostahili kama Mke na humuonyeshi , bas Ataendeleza kukuheshim pia kama inavyopaswa kumuheshim Baba. Na Maisha yatasonga.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
 
Spitting shit, idumu Chaputa gang na kataa ndoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…