Kataa ndoa tunakemea ufungaji wa ndoa, kipindi hiki kikali cha talaka na mgawanyo wa mali

Kuna mahali itafika hata hata wakukuzagamua utakosa , hiyo kitu ujue ina expire date yake 😁 inabidi sasa uhonge

Na akifika hiyo stage anahonga vijana. Vi Ben 10. Maana atakuwa mshangazi.
Na sisi tutamkumbusha tu post zake za JF alizokuwa anaponda Mishangazi kwenye uzi ule wa shemej Seran πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Shida naona anashindana na Wanaume .

hata mahusiano ya kawaida Msichana ukijidai unampanda mwanaume kichwan hawez kukaa. Atakukula na atasepa.

there is a way. Aulize wanawake wenzie wanaoweza wanawezaje
Yeye haujui humu kuna watu wameoana kabisa tena wametokea humu humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…