Kataa ndoa tunakemea ufungaji wa ndoa, kipindi hiki kikali cha talaka na mgawanyo wa mali

Hivi mlio oa mkishawishi watu waoe huwa mnapata faida gani😅
tunakua watu wenye lugha moja sio kila siku tunapishana kauli, na Mungu (Mt 5:9
Heri wapatanishi; Maana hao wataitwa wana wa Mungu)
 
Hahah huwa huoni tunavyosemwa tunajimaliza mpaka nauli tunakosa huku nyie wachungaji mnazunguka na mavieitee🙃
ukitoa sadaka usiniangalie bata nayokula mimi mchungaji wako utakua umetoa sadaka manung'uniko utaniletea balaa🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…