Kataa ndoa tunakemea ufungaji wa ndoa, kipindi hiki kikali cha talaka na mgawanyo wa mali

Mkuu vipi yule demu wakoo wa Tabata alishasafisha mtaro wake???
 
Ndoa ni gereza la kiraiani kwa mwanaume ila kamwe usiishi bila mwanamke.... Sijasema ufunge ndoa na ikikubidi hakikisha una cheza na uchumba sugu ila baadhi ya siku uwe una miss/desapear ili isiwe ndoa halali
 
Naam tuna jua umesha owa mkuu, uzi ujao nita zungumzia mbinu hii πŸ˜‚πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…