Kataa ndoa vs kubali ndoa (online poll)

Kataa ndoa vs kubali ndoa (online poll)

UNAUNGA MKONO VIJANA WAENDELEE KUOA?


  • Total voters
    140
View attachment 2516945
Ashakutakia Happy Valentine? Kama bado Mambo yasiwe mengi, shikilia hapo hapo!

Waungwana kwa muda tumeona nyuzi baada ya nyuzi akina Liverpool VPN dronedrake na wenzao wakipiga kampeni kali kabisa kukataa ndoa huku wakitoa mifano ya visa vya kweli

Na mzee wa busara Mshana Jr na wengine tukikubali changamoto za ndoa na kuendelea kuhamasisha vijana waoe wasikimbie majukumu yao.

Sasa kutokana na kuwepo kwa maoni mseto humu ndani ni wakati sasa tupige kura ili tujue msimamo wa jumla wanachama wengi hapa JF kuhusu ndoa.

Bonyeza NDIYO kuunga mkono Ndoa
Bonyeza HAPANA kukataa ndoa

NB: Mods tafadhali sana msifute huu uzi
Hauendi kinyume na sera za JF![emoji120]
View attachment 2516946View attachment 2516948
Hilo ni hallucinations tu za vijana wafuata mkumbo katika umri huu walionao ambao hawawezi kuwa handle vema mabinti ambao tayari wameshakuwa mafundi
Wanashindwa kusimama katika nafasi zao kama wanaume matokeo yake ndio hizi kampeni

Kwa mfano huyu alivyodhalilishwa ukumbini
 
Inaonesha ni namna gani hawa vijana walivyo wachache, Nguvu iongezwe kwenye huduma za kisaikolojia maana hawajafanikiwa kuathiri sehemu kubwa ya jamii.
Screenshot_20230214_102920_Chrome.jpg
 
Hilo ni hallucinations tu za vijana wafuata mkumbo katika umri huu walionao ambao hawawezi kuwa handle vema mabinti ambao tayari wameshakuwa mafundi
Wanashindwa kusimama katika nafasi zao kama wanaume matokeo yake ndio hizi kampeni

Kwa mfano huyu alivyodhalilishwa ukumbiniView attachment 2516983
Kijana alitaka iPhone 14 awe ProMax😂
 
Back
Top Bottom