Dr Count Capone
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,878
- 3,263
- Thread starter
- #21
Sheeenzi🤣Kura yangu imeharibikaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sheeenzi🤣Kura yangu imeharibikaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa kuwa haujanitaja
Kumbe, ujue natumia App hamna hii kitu dooh ngoja nihamie kule kwingine.Sawa
View attachment 2516979
Juu kabisa ya uzi kuna sehemu official ya kupiga kura
Please weka ndiyo ili tupate hesabu nzuri
Nishakutag mkuu nilisahau🤣Kwa kuwa haujanitaja
Natamani kusoma.maoni ya uliowatag😆
Hilo ni hallucinations tu za vijana wafuata mkumbo katika umri huu walionao ambao hawawezi kuwa handle vema mabinti ambao tayari wameshakuwa mafundiView attachment 2516945
Ashakutakia Happy Valentine? Kama bado Mambo yasiwe mengi, shikilia hapo hapo!
Waungwana kwa muda tumeona nyuzi baada ya nyuzi akina Liverpool VPN dronedrake na wenzao wakipiga kampeni kali kabisa kukataa ndoa huku wakitoa mifano ya visa vya kweli
Na mzee wa busara Mshana Jr na wengine tukikubali changamoto za ndoa na kuendelea kuhamasisha vijana waoe wasikimbie majukumu yao.
Sasa kutokana na kuwepo kwa maoni mseto humu ndani ni wakati sasa tupige kura ili tujue msimamo wa jumla wanachama wengi hapa JF kuhusu ndoa.
Bonyeza NDIYO kuunga mkono Ndoa
Bonyeza HAPANA kukataa ndoa
NB: Mods tafadhali sana msifute huu uzi
Hauendi kinyume na sera za JF![emoji120]
View attachment 2516946View attachment 2516948
Kura yangu nilishapiga.Nishakutag mkuu nilisahau🤣
Chapa kura ya ndiyo tuwaondoe hofu vijana
Thank uNdio vote tayar
Kivipi sweetheart?Hasara tupu
Kijana alitaka iPhone 14 awe ProMax😂Hilo ni hallucinations tu za vijana wafuata mkumbo katika umri huu walionao ambao hawawezi kuwa handle vema mabinti ambao tayari wameshakuwa mafundi
Wanashindwa kusimama katika nafasi zao kama wanaume matokeo yake ndio hizi kampeni
Kwa mfano huyu alivyodhalilishwa ukumbiniView attachment 2516983
Kuna kijana mmoja amepokea maono ya Mungu kachomoa kura akapiga ya NDIYO😂Inaonesha ni namna gani hawa vijana walivyo wachache, Nguvu iongezwe kwenye huduma za kisaikolojia maana hawajafanikiwa kuathiri sehemu kubwa ya jamii.View attachment 2516989
jamaa anakenua tuHilo ni hallucinations tu za vijana wafuata mkumbo katika umri huu walionao ambao hawawezi kuwa handle vema mabinti ambao tayari wameshakuwa mafundi
Wanashindwa kusimama katika nafasi zao kama wanaume matokeo yake ndio hizi kampeni
Kwa mfano huyu alivyodhalilishwa ukumbiniView attachment 2516983