Dr Count Capone
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,878
- 3,263
- Thread starter
- #61
Yeah ileileApp Gani ile ya playstore?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah ileileApp Gani ile ya playstore?
Eti shukrani, shukrani tangulini ikapangwaMkuu habadilishwi
Ni zawadi tu kama shukran
Unajua mkuu tukisema zawadi yoyote wazazi wengine unawza wapelekea zawadi wakaona kama umewadunishaEti shukrani, shukrani tangulini ikapangwa
Ukikataa ndoa utaolewa!
🤣Ukikataa ndoa utaolewa!
Kabisa😂Ukikataa ndoa utaolewa!
Wanapalilia ushoga TU! Yaani uache kufunga ndoa kisa Nini? Shwaini kabisaApataye mke apata kitu chema; Naye ajipatia kibali kwa Bwana.
Mithali 18:22
NDOA NI TAASISI ILIYOASISIWA NA MUNGU MWENYEWE.
vijana nawasihi msimjaribu Mungu.
Ombeni Mungu Awape Wanawake sahihi.
We jamaa yuke demu ako ulimtoa chuga, hujamuoa tuu?Eti shukrani, shukrani tangulini ikapangwa
Real men hawezi kataa ndoa maana ndiyo msingi wa familia bora,hili jambo linashadadiwa sana na watoto wadogo kama wewe hapo nilipo bold uandishi huu siyo wa mwanaume anayeweza kukaa na watu wazima akawa-challenge kwenye ishu kama hii,wala kupewa mtoto wa mtu aishi nae maana kwanza yeye mwenyewe huyo mwanaume hajielewi.shapiga mapema najua hii tuna shinda
kwani unajua nimemaanisha nini?Real men hawezi kataa ndoa maana ndiyo msingi wa familia bora,hili jambo linashadadiwa sana na watoto wadogo kama wewe hapo nilipo bold uandishi huu siyo wa mwanaume anayeweza kukaa na watu wazima akawa-challenge kwenye ishu kama hii,wala kupewa mtoto wa mtu aishi nae maana kwanza yeye mwenyewe huyo mwanaume hajielewi.
Mwanaume unaandikaje "SHAPIGA" dada yako nae aandikeje?always nawasisitiza acheni mawenge mkue kwanza mwisho mtajiona kumbe hamkuwa na akili mlikuwa mnajazana ujinga (japo hamtarudi hapa kusema)
Iwe jua iwe mvua hahah
sijamuoa 😂😂We jamaa yuke demu ako ulimtoa chuga, hujamuoa tuu?
Kwamba mimi mtoto kama wewe?kwani unajua nimemaanisha nini?
AmeenApataye mke apata kitu chema; Naye ajipatia kibali kwa Bwana.
Mithali 18:22
NDOA NI TAASISI ILIYOASISIWA NA MUNGU MWENYEWE.
vijana nawasihi msimjaribu Mungu.
Ombeni Mungu Awape Wanawake sahihi.