Kataa ndoa vs kubali ndoa (online poll)

Kataa ndoa vs kubali ndoa (online poll)

UNAUNGA MKONO VIJANA WAENDELEE KUOA?


  • Total voters
    140
Mkuu Count Capone nna jambo la kushare kulingana na mfumo tulionao na tunaendelea kuishi nao.

Kwa wenye imani dini hasa ya kikirisito wanajua kuwa NDOA ni jambo jema na nimipango ya mola kufanya iwe hivyo.

Baada ya uumbaji mzee Adam alipewa jiko (bihawa) na kumwambia enendeni mkaitunze dunia na kuzaa pia huku mkiwa na Upendo kati yenu.

Baada ya hapo hadi leo kumekuwa na mparaganyiko, vikao vya kimataifa ikazaliwa (Beijing women conference) ikaja na agenda motomoto ambazo leo zinataka 50/50 na hiyo fifty-fifty imezaa wajukuu wanaolelewa kwa kuambiwa wanawake tunaweza tukiwezeshwa bila chenga.

Leo kitukuu kina nguvu na uwezo kinaamua sitaki kuishi na mke/mume hata mimi naweza kujimudu, isipokuwa Mwanamme hawezi kubeba mimba ila huyu wa 50/50 anaweza kubeba tena siyo lazima mimba iwe na baba.


Kwa nini NDIYO au HAPANA kwa Ndoa, matatizo yaliyopo ndani ya Ndoa yanapelekea vijana wengi hasa sa kike kuichukia ikiwemo uvumilivu na kusamehe, vifo na majanga yatokanayo na ndoa imewafanya wengi kuepa kuoa na kuolewa, taasisi za gizani, hidden societies zinazosimamiwa na NGO's zinasimama kuharibu mahusiano mazuri yaonekane ni ya ovyo.

Baadhi, ndugu, taasisi na wazazi nao wanasimama kuharibu mahusiano ya wanandoa, wanasahau NDOA ni one the biggest Institution inayoweza kuharibu na kuijenga dunia.
Naiongeza kwenye uzi
 
Yaani sijui ikikubalika ndoa ndio iweze kushinda.
Sijui nikiomba mchango wa harusi humu nitapata. Maana nategemea kuna muendelezo wa hili. Nishapiga kura
 
KATAA NDOA,KATAA UTUMWA

Ndoa za siku hizi ndio chanzo cha vifo,majuto,mikosi,shirki,kasumba na kurogana...
sasa hayo yote ya nini?

tafuta mwanamke mzuri,mfanye malaya wako,muhonge pesa,mjaze mimba,lea mwanao...
TAFUTA PESA..
 
Back
Top Bottom