Kataa Ndoa vs Kubali Ndoa

Mkuu ipo hivi;

Demu mvumilivu [emoji1542] havutii

Anaevutia [emoji1542] anapendwa na wengi
[emoji23][emoji23]
 
Yaahh... Il kuokoa muda ni kuvaa tu bomu la NDOA [emoji23][emoji23]
 
Kama hujazaliwa na kulelewa kwenye ndoa huwezi kuikubali ndoa, kama umezaliwa na kulelewa kwenye ndoa iliyokua na maelewano mazuri lazima uikubali ndoa,

Wakataa ndoa wote ni matokeo ya malezi mabovu tangu utotoni mwao.
Malezi mabovu yana pelekeaje KATAA NDOA??
 
Mambo n meng Sana dunia ya sasa

Kwa mazingira yetu tunavyoishi kuhalisia ndoa ndio mwisho wa wapenz...

Asaiv tunaishi tu wenyewe kwa kukataa ndoa coz ndio Kaburi la mapenz Wengi wao kwa sasa wanaishi wenyewe ili mapenz yadumu

Sent from my TECNO CK6 using JamiiForums mobile app
 
Unafikiri n kwann mkuu??
Vijana Wengi asaiv hawana mafunzo ya ndoa hasa Sisi wanaume

Ni mara ngapi ulisikia kijana yupo kwa mjomba au Baba anafundishwa jinc ya kuishi n mwenzake? Akuna n wasichana tu na ndio maana ukiingia kwa ndoa wiki ya mwanzo tu bac ukiendelea unahic n kero kubwa sana

Sent from my TECNO CK6 using JamiiForums mobile app
 
Moja kati ya Vitu ambavyo navichukia mpak Kufa ni suala la NDOA, nina sababu zangu binafsi zinazofany nichukie Ndoa.

Ndoa ni chanzo cha uharibifu wa Maisha yangu yote ya Utotoni,

nimeshuhudia unyanyasaji na Ukatili ambao had sasa matokeo yake ninayaishi kiufupi Sipendi niishi na Mtot wa mtu maan Saikolojia yangu imeshaharibiwa Tangu utoto kutokan na Matukio niliyopitia.

Nahisi kam nkijiforce nioe bas Hakun atakayewez kuvumilia kilicho ndani mwangu so nimeamua tu Niwe single mpak mwisho, hat mpenz wangu kun muda alishika mimba nilimwambia atoe na ndo ukaw mwisho wetu.

Sihitaji Ndoa ila pia siwez kushauri mtu Aidha aoe au asioe maan ni uamuz wa mtu ila kwa nilichokipitia mim na kukiishi Hakun wa kubadilisha Msimamo wangu.
 
Kwasababu wanawake wote ni sawa.
Wanawake wote wapo sawa
Kivyovyote
Yaani kivyote

Lkn

Wanaume tunatofautiana
Wanaume hatuposawa
Hatutakuja kuwa sawa na hatuwez kuwa sawa.

Tuanzie hapa kwanz kabla sijakupa
Sabab za mimi kukataa ndoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…