Kataa Ndoa vs Kubali Ndoa

Kataa Ndoa vs Kubali Ndoa

Mwanamke anayekupenda utaona tuu machoni pake, macho yake yanajaa furaha akikuona, mwanamke anayekupendea hela atakuwa na furaha tuu pale unapotoa wallet na huwa wanajichekesha kiboya hata kama umeongea kitu cha kipumbavu.
Mwanamke anayekupendea hela kila muda anaongelea mambo ya hela na kila muda anataka utumie hela zako kumfurahisha yeye hajali hisia zako na hawez kukaa mkapiga story ndefu kuhusu kuyajenga maisha yenu nyinyi wawili.
Mwanamke anayekupenda wana tabia ya kukuangalia usoni muda mrefu bila kusema chochote.
Hizi hints chachechache zilizokuja akilini
Ishara Moja wapo kuwa huyu mwanamke ananipenda ni kufuata mashart yako tu, ukimwambia hivi anafuata, ukimkataza hiki anafuata
Wanawake katika hali ambayo MUNGU aliwaumbia ni ku-obey mwanaume mmoja tu chini ya jua, wanawake hawana power ya ku-obey zaidi ya mtu mmoja dunian
Ukiona mke wako kaanza kukudharau ndani, there somewhere ana pokea command na she obey, hakuna mwanamke anaweza kuishi bila ku-obey command ya mwanaume.
1. Command ya Boss (jua walishaanza kutongozana)
2. Command ya mchungaji kanisan (weka alama)?
3. Command of somewhere else??( Boyfriend)?
 
Hapo no.2 baadhi ya makanisa yamevuruga sana sana ...........WANAWAKE NANI AMEWALOGA?????
 
Kwanza, Siwezi kukataa kitu ambacho sina uzoefu nacho, ngoja niingie kwanza ndani ya Ndoa halafu I will take my chances

Pili, and by the way, Ndoa ya Wazazi wangu ndio inanifanya niamini love is a beautiful thing, ule ni muujiza ulioishi nami kuushuhudia kwa mboni zangu, pamoja na changamoto zooooote za maisha waliweza kuishi miaka 30+ bila kutengana hata siku moja.

Isingekuwa kwa mapenzi ya Mungu mmojawapo kutangulia sasa hivi tungekuwa tunaitafuta Jubilei ya miaka 50 huko na zaidi.

Nitakuwa Tomaso wa karne ya 21 nikimwomba Mungu anifunulie ndoa ni kitu gani ilhali muujiza huo nililetewa mbele ya macho yangu.
 
Mwanaume hatamki nakupenda Bali hutamka pale mwanamke anapoanza kusema I love you bae ,Kisha unasema I love you too bae.
Sema kutongoza na mapenzi ni vitu vinavyo enda pamoja na kukinzana pia.
kulingana na mwanamke mwenyew... Kwanza hapo kwa maelezo yako inaonesha tayari umeshampata upo nae kwenye mahusiano... me naongelea kutongoza my friend...
 
Lengo kuu la nature ni kwamba the strongest anaacha copy na the weakest haachi copy.
Usichangange nature na natural selection/survival of the fittest/struggle for existence.

You need to understand nature in its broad aspect.
 
kulingana na mwanamke mwenyew... Kwanza hapo kwa maelezo yako inaonesha tayari umeshampata upo nae kwenye mahusiano... me naongelea kutongoza my friend...
Nakupenda ni kilele Cha mapenzi na usiitumie kutongozea.
Jaribu silaha nyengine iwe ni kuwa smart,kujali,ukarimu,eye contact, body language,uongo mwingi n.k
Mpaka akuulize ,hivi Unanipenda au unataka kunichezea?
Utajibu Nini?
Ukisema nakupenda,umefeli test?
Wanawake wanatest wanaume daily kuona msimamo wako.
 
ehee, kwa mfano hapo najibuje ?
 
Back
Top Bottom