Kataa Ndoa vs Kubali Ndoa

Kataa Ndoa vs Kubali Ndoa

Vijana Wengi asaiv hawana mafunzo ya ndoa hasa Sisi wanaume

Ni mara ngapi ulisikia kijana yupo kwa mjomba au Baba anafundishwa jinc ya kuishi n mwenzake? Akuna n wasichana tu na ndio maana ukiingia kwa ndoa wiki ya mwanzo tu bac ukiendelea unahic n kero kubwa sana

Sent from my TECNO CK6 using JamiiForums mobile app
Yah ckuping mkuu, je unahc mafnzo ynaplkea ndoa zidumu ??

i.e darasan kwa 0 level tunasoma miaka 4, still bado zero n nyng, kuptia hayo mafunzo tusingefeli kwenye ndoa pia?
 
Moja kati ya Vitu ambavyo navichukia mpak Kufa ni suala la NDOA, nina sababu zangu binafsi zinazofany nichukie Ndoa.

Ndoa ni chanzo cha uharibifu wa Maisha yangu yote ya Utotoni,

nimeshuhudia unyanyasaji na Ukatili ambao had sasa matokeo yake ninayaishi kiufupi Sipendi niishi na Mtot wa mtu maan Saikolojia yangu imeshaharibiwa Tangu utoto kutokan na Matukio niliyopitia.

Nahisi kam nkijiforce nioe bas Hakun atakayewez kuvumilia kilicho ndani mwangu so nimeamua tu Niwe single mpak mwisho, hat mpenz wangu kun muda alishika mimba nilimwambia atoe na ndo ukaw mwisho wetu.

Sihitaji Ndoa ila pia siwez kushauri mtu Aidha aoe au asioe maan ni uamuz wa mtu ila kwa nilichokipitia mim na kukiishi Hakun wa kubadilisha Msimamo wangu.
Pole sana mkuu kwa maana misukosuko ndo hal halisi ya maisha ya mwanadamu, yaliyokukuta ni ngumu kushare nasi tukajifunza??
 
Kwasababu wanawake wote ni sawa.
Wanawake wote wapo sawa
Kivyovyote
Yaani kivyote

Lkn

Wanaume tunatofautiana
Wanaume hatuposawa
Hatutakuja kuwa sawa na hatuwez kuwa sawa.

Tuanzie hapa kwanz kabla sijakupa
Sabab za mimi kukataa ndoa.
Well mkuu, huo mfanano wao upo kwenye mihemko au??
 
Ishara Moja wapo kuwa huyu mwanamke ananipenda ni kufuata mashart yako tu, ukimwambia hivi anafuata, ukimkataza hiki anafuata
Wanawake katika hali ambayo MUNGU aliwaumbia ni ku-obey mwanaume mmoja tu chini ya jua, wanawake hawana power ya ku-obey zaidi ya mtu mmoja dunian
Ukiona mke wako kaanza kukudharau ndani, there somewhere ana pokea command na she obey, hakuna mwanamke anaweza kuishi bila ku-obey command ya mwanaume.
1. Command ya Boss (jua walishaanza kutongozana)
2. Command ya mchungaji kanisan (weka alama)?
3. Command of somewhere else??( Boyfriend)?
Kuna ruby tupu humu mkuu, na hili enzi za ujana niliwah kuli-xperience.
 
Kwanza, Siwezi kukataa kitu ambacho sina uzoefu nacho, ngoja niingie kwanza ndani ya Ndoa halafu I will take my chances

Pili, and by the way, Ndoa ya Wazazi wangu ndio inanifanya niamini love is a beautiful thing, ule ni muujiza ulioishi nami kuushuhudia kwa mboni zangu, pamoja na changamoto zooooote za maisha waliweza kuishi miaka 30+ bila kutengana hata siku moja.

Isingekuwa kwa mapenzi ya Mungu mmojawapo kutangulia sasa hivi tungekuwa tunaitafuta Jubilei ya miaka 50 huko na zaidi.

Nitakuwa Tomaso wa karne ya 21 nikimwomba Mungu anifunulie ndoa ni kitu gani ilhali muujiza huo nililetewa mbele ya macho yangu.
Kwahyo mpka uone kwanza mkuu, ndipo uelekee??
 
ehee, kwa mfano hapo najibuje ?
Ni kama kumuuzia bandari MWARABU tu, utamjibu:wewe unaonaje??

Jibu atakalokupa unatambaa na BEAT, mkubwa wewe sio kila kitu mpaka upewe SUMMARY[emoji23][emoji23][emoji23]
 
nambie tu mkuu nisije nikaenda kuharibu mambo
M/ke hatumii logic Bali hisia zinatoka ktk gut.
Ukiulizwa Unanipenda maana yake,je likitokea kama mimba ,utaweza kulea mtoto?
So jibu lako lijenge assurance Kwamba wewe ni baba material yaani protector na provider.
Jibu,mwambie una mpango wa kugombea uraisi 2030 ,vipi hatopenda kuwa first lady au jibu linalofanana na hilo
 
Back
Top Bottom