Synod
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 4,143
- 4,180
Usichangange nature na natural selection/survival of the fittest/struggle for existence.
You need to understand nature in its broad aspect.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usichangange nature na natural selection/survival of the fittest/struggle for existence.
You need to understand nature in its broad aspect.
Yah ckuping mkuu, je unahc mafnzo ynaplkea ndoa zidumu ??Vijana Wengi asaiv hawana mafunzo ya ndoa hasa Sisi wanaume
Ni mara ngapi ulisikia kijana yupo kwa mjomba au Baba anafundishwa jinc ya kuishi n mwenzake? Akuna n wasichana tu na ndio maana ukiingia kwa ndoa wiki ya mwanzo tu bac ukiendelea unahic n kero kubwa sana
Sent from my TECNO CK6 using JamiiForums mobile app
Kwanini n UTAPELI ??NDOA ni UTAPELI
Pole sana mkuu kwa maana misukosuko ndo hal halisi ya maisha ya mwanadamu, yaliyokukuta ni ngumu kushare nasi tukajifunza??Moja kati ya Vitu ambavyo navichukia mpak Kufa ni suala la NDOA, nina sababu zangu binafsi zinazofany nichukie Ndoa.
Ndoa ni chanzo cha uharibifu wa Maisha yangu yote ya Utotoni,
nimeshuhudia unyanyasaji na Ukatili ambao had sasa matokeo yake ninayaishi kiufupi Sipendi niishi na Mtot wa mtu maan Saikolojia yangu imeshaharibiwa Tangu utoto kutokan na Matukio niliyopitia.
Nahisi kam nkijiforce nioe bas Hakun atakayewez kuvumilia kilicho ndani mwangu so nimeamua tu Niwe single mpak mwisho, hat mpenz wangu kun muda alishika mimba nilimwambia atoe na ndo ukaw mwisho wetu.
Sihitaji Ndoa ila pia siwez kushauri mtu Aidha aoe au asioe maan ni uamuz wa mtu ila kwa nilichokipitia mim na kukiishi Hakun wa kubadilisha Msimamo wangu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbona ni negative points, vp kuhusu positive side?Hawajiamini
Wabaili
Selfishwi
Wachoyo
Wabinafsi
Well mkuu, huo mfanano wao upo kwenye mihemko au??Kwasababu wanawake wote ni sawa.
Wanawake wote wapo sawa
Kivyovyote
Yaani kivyote
Lkn
Wanaume tunatofautiana
Wanaume hatuposawa
Hatutakuja kuwa sawa na hatuwez kuwa sawa.
Tuanzie hapa kwanz kabla sijakupa
Sabab za mimi kukataa ndoa.
Why[emoji44][emoji44]Ndo kosa unalolifanya.
Kuna ruby tupu humu mkuu, na hili enzi za ujana niliwah kuli-xperience.Ishara Moja wapo kuwa huyu mwanamke ananipenda ni kufuata mashart yako tu, ukimwambia hivi anafuata, ukimkataza hiki anafuata
Wanawake katika hali ambayo MUNGU aliwaumbia ni ku-obey mwanaume mmoja tu chini ya jua, wanawake hawana power ya ku-obey zaidi ya mtu mmoja dunian
Ukiona mke wako kaanza kukudharau ndani, there somewhere ana pokea command na she obey, hakuna mwanamke anaweza kuishi bila ku-obey command ya mwanaume.
1. Command ya Boss (jua walishaanza kutongozana)
2. Command ya mchungaji kanisan (weka alama)?
3. Command of somewhere else??( Boyfriend)?
Mkuu, mbona manzi ni nyng sana, kuna bara na visiwani[emoji23][emoji23]Hata nikitaka kuoa niambie nitamuoa nani
[emoji23][emoji23][emoji23]aisee sio siri kusema kwel simu yako mbovu... Nunua nyngne dear...
Kwahyo mpka uone kwanza mkuu, ndipo uelekee??Kwanza, Siwezi kukataa kitu ambacho sina uzoefu nacho, ngoja niingie kwanza ndani ya Ndoa halafu I will take my chances
Pili, and by the way, Ndoa ya Wazazi wangu ndio inanifanya niamini love is a beautiful thing, ule ni muujiza ulioishi nami kuushuhudia kwa mboni zangu, pamoja na changamoto zooooote za maisha waliweza kuishi miaka 30+ bila kutengana hata siku moja.
Isingekuwa kwa mapenzi ya Mungu mmojawapo kutangulia sasa hivi tungekuwa tunaitafuta Jubilei ya miaka 50 huko na zaidi.
Nitakuwa Tomaso wa karne ya 21 nikimwomba Mungu anifunulie ndoa ni kitu gani ilhali muujiza huo nililetewa mbele ya macho yangu.
Kuna kila aina ya baya juu ya hyp comment[emoji23][emoji23]heee! Mbona unasema ivo ushawahi kutapeliwa dear?
Ni kama kumuuzia bandari MWARABU tu, utamjibu:wewe unaonaje??ehee, kwa mfano hapo najibuje ?
Mbona unanitisha mkuu??Kijana usioe.
Acha ujinga, usioe. Hizi zama za ibilisi ukioa umekwisha
[emoji23][emoji23][emoji23]Nimekupa homework!
Katafute jibu
Kama kila mtuangenunua, je mfugaji angekuwa nan??Et nyama nakula, maziwa nakunywa, kiatu cha ngozi navaa na hata ngoma nisikia vizur, mahitaji yote napata kwa wakati sasa nifuge ng'ombe ili Iwaje au nipate samadi
[emoji23] asante mkuu ntafanyia practicalNi kama kumuuzia bandari MWARABU tu, utamjibu:wewe unaonaje??
Jibu atakalokupa unatambaa na BEAT, mkubwa wewe sio kila kitu mpaka upewe SUMMARY[emoji23][emoji23][emoji23]
baya gan mkuu [emoji23]Kuna kila aina ya baya juu ya hyp comment[emoji23][emoji23]
M/ke hatumii logic Bali hisia zinatoka ktk gut.nambie tu mkuu nisije nikaenda kuharibu mambo
Mrejesho uwe muhimu mno[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] asante mkuu ntafanyia practical