Kataa Ndoa vs Kubali Ndoa

sasa kidogo nmekuelew asante
 
Hii mbinu kisomi inaitwa Attack from beginning[emoji16][emoji16]
 
Hata nisingekuwa na mfano ningeingia tu, lakini kwa mie ambae nina mfano hai basi sina budi kutekeleza tu, hivyo ni suala la muda tu ila soon mtanikuta chamani.
Nitafunga na kusali kuhusu hilo mkuu [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Uhalisia upi???, Hiyo ni research at a very limited place .
👉Haina uhalisia na maeneo mengine, USI shangae tz Kuna malalamiko ya ndoa🤔. Akati kitabu kina sema furaha IPO😀🤣
marekani napo kuna matatizo ya ndoa, lakini haimaanishi kwamba ndoa ni kitu kibaya

na haimaniishi kwamba usipooa ndo umeyaweza maisha hutopata shida yeyote
 
Furaha yangu kubwa imepatikana baada ya kuoa. I was just 25 yrs. Finished Uni and Jobless. The rest is history. Alhamdulillah for the blessing of marriage. #Tawakal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…