Rayns
JF-Expert Member
- Jul 29, 2023
- 3,620
- 7,818
sasa kidogo nmekuelew asanteM/ke hatumii logic Bali hisia zinatoka ktk gut.
Ukiulizwa Unanipenda maana yake,je likitokea kama mimba ,utaweza kulea mtoto?
So jibu lako lijenge assurance Kwamba wewe ni baba material yaani protector na provider.
Jibu,mwambie una mpango wa kugombea uraisi 2030 ,vipi hatopenda kuwa first lady au jibu linalofanana na hilo