Kataa Ndoa vs Kubali Ndoa

mwanamke anaweza kukuzid akili darasani lakin kwenye real life ni bogus... Mungu alijua kama hawa viumbe atawapa akili zaidi yetu watatutesa
Acha tu, sometimes hiwa ANGELS ila wakibadulika ni bora ya DEVIL [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mwanaume unakataaje kuoa.
Ndo kitu pekee kinacholeta furaha maishani mwetu.
Unadhani ukifanya kazi sana ndo utakuwa na furaha??
Unadhani ukiwa na wanawake ishirini ndo utakuwa na furaha??
Mwanamke ndo kitu pekee kinachotupa furaha maishani, sio mwanamke tuu bali ni yule mwanamke unayeishi naye kihalali kwa ndoa, ukisema "Hela" inakupa furaha nitakuona mwongo sana kwa sababu hata hao matajiri wa dunia wameoa.
Kukataa kuoa ni weakness kwa sababu unakwepa ku-deal na mapungufu yako na mapungufu ya huyo utakae muoa.
Avoiding marriage is going against nature.
 
Kuna ukweli na mengi ya kujifunza katika ujumbe wako, binafsi sikupingi. Je ni zipi faida zake katika hilo, pia hasara.
 
Kuna ukweli na mengi ya kujifunza katika ujumbe wako, binafsi sikupingi. Je ni zipi faida zake katika hilo, pia hasara.
Faida za kuoa- furaha
Hasara za kuoa-............(hamna)
Kama unaamini kuna hasara za kuoa pole mzee.
Hakuna hasara za kuoa but kuna hasara za kuoa mwanamke usiye endana nae.
Oa mwanamke unayempenda na ww anakupenda.
Ukiona mwanamke anayekupenda na ww humpendi basi tuu labda katoka familia tajiri, aisee hutokuwa na furaha kweny maisha yako ya ndoa.
Ukioa mwanamke unayempenda ila yeye hakupendi, hapo ndo utafahamu stress ni nn.
Oa mwanamke mnayependana, regardless hali ya familia yake ili mradi mnapendana.
Huu ni ushauri tuu unaweza fanya unavojua ww.
 
ntajuaje kama ananipenda, me nampenda coz najijua
 
Maelezo yako yna nijenga pia mkuu, nasi tunajifunza kupitia uyanenayo. Barikiwa sana.
 
ntajuaje kama ananipenda au kapenda my money?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…