Kataa Ndoa vs Kubali Ndoa

Maisha hayaanzi ukishapata mahusiano, maisha huanza unapozaliwa hahaha. Usiishi kwakukariri my friend, don't judge until you know the whole book. Psychology is another thing na awa minds are very much different boss.
 
Nakuelewa sana broo wala usijali, ila Kama hizo twisted minds utazungumzia wale watu wamezaliwa na macho mawili yote yanafanya kazi akaanza kusema anatamani kuwa kipofu ndo atakuwa na furaha kamili broo tuishie hapo maana sidhani kama hio ni furaha, kama ww unaona hio ndo furaha bac sawa kila mtu ana amini what's convenient for him
 
Maisha hayaanzi ukishapata mahusiano, maisha huanza unapozaliwa hahaha. Usiishi kwakukariri my friend, don't judge until you know the whole book. Psychology is another thing na awa minds are very much different boss.
Unatoka nje ya mada boss
 
Vyema na hapo ndio tumefikia hatua yakupatana. Hapo ndio science imefika nyanja ya kuiachia dini itoe maelezo. The power of free will and ability ya kila mmoja kuconceptualize nani akipendacho na kinachompa furaha. Science imefeli hapo kabisa. Conveniences zinatofautiana sana, kibaya ni kwamba watu waache kulazimishana his/her own convenience ziwe za mwingine ila mtu awe clearly aware of consequences of his/her decisions and actions.
 
Daaah kabaki na unyoya tu πŸ˜†
 
sawa kabisa mm naongea kwa upande wa imani, sijaamua kuongea kisayansi kama ww, science haijawahi nijibu maswali yangu inaongeza tuu maswali kichwani mwangu
 
Do u Miss yourself[emoji848], I mean the PERSON you were before pain[emoji174] changed YOU [emoji1784]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndoa ni mkataba na mkataba huwa una malengo mahsusi

Mfano mkataba wa ajira, mwajiri huwa anataka ujuzi/nguvu yako na mwajiriwa huwa anataka pesa


The same kwenye ndoa, mwanaume huwa ana malengo yake (matarajio) na mwanamke huwa ana matarajio yake

Changamoto kubwa ni kwamba kabla hatujaoa au kuolewa huwa tuna matarajio/feeling kubwa na ndoa lakini uhalisia huja kuwa tofauti baada ya kuoa au kuolewa

Mfano, wanaume wengi huoa kwa ajili ya kupata mgegedo, lakini si kweli kuoa ni guarantee ya kupata mgegedo, unaweza ukawa unanyimwa au unapangiwa ratiba nk


Unaweza ukaoa mwanamke ambaye yeye hapendi kugegendwa wewe unapenda Mara kwa Mara

The same Kuna Mambo mengineyo mengi ambayo hutokea kwenye ndoa ambayo husababisha mwanamke au mwanaume kutotamani ndoa

BINAFSI UKINIULIZA KWA NINI WATU WANAKATAA NDOA

Jibu langu ni kwamba, watu wengi wameingia kwenye ndoa wakajikuta wanakosa walichokitegemea (mapenzi, tabia, usaliti, uchumi nk)

Mwisho wa siku watu wengi huwa wanapata mateso kwenye ndoa na kuiona haina thamani, kuvunja ndoa na kutotamani kuoa tena


KATAA NDOA WENGI wamepitia maumivu ya ndoa au uchumba au mahusiano πŸ˜‚πŸ˜‚

Kumbuka pia Kuna watu wengi wanalazimika kubaki kwenye ndoa kwa kuwa hamna namna, kwa ajili ya kulea watoto, heshima nk


Watu wengi ambao wanakimbilia ndoa ni wale wenye mategemeo makubwa wakioaπŸ˜‚πŸ˜‚ bado hawajapata maumivu au wapo katika ndoa huku wanaenjoy ndoa zao


HITIMISHO
_ Tafuta pesa kwanza, ndoa bila pesa utaishia kuja kulalamika lalamika tu humu JF na kuwa mfuasi mkubwa wa KATAA NDOA

_ Hakikisha mnapendana Sana ndio muoane

_ Kabla ya kuoa fanya tathmini juu ya malengo yako na huyo partner wako, je mtafanikisha malengo yenu?? Mahitaji ya ndoa, uchumi nk

_ Usiweke mategemeo (matarajio) makubwa sana kwa mke /mume wako πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

_ Kuwa tayari kukabiliana na changamoto za ndoa, kila mtu huwa anaface changamoto zake (hapa ndio pagumu)

NAOMBA KUWASILISHA
 
Waweza kudhani hivyo chief ila hapa nilikuwa napanua concept yako yakuongelea singles and divorces kama the first stage ya mtu anaanza kutambua maisha yake na kujua uzuri au ubaya wa ndoa ila huanza mapema sana more earlier than those statuses.
Hapana boss una weka tasfiri kweny maneno yangu ambayo hayapo, sijasema kwamba kuwa single or divorce ndio first stage ya mtu kutambua uzuri na ubaya wa ndoa, lilikuwa ni swali tuu plain as that.
 
mimi nilishakula kiapo... Sitongozi tena mwanamke... Mimi nilitongoza kwa nia njema kabisa... Akasema "wewe ni kaka yangu, na tutaendelea kuwa kama kaka na dada" asee niliona aibu sijui ata ilitoka wapi... Lakin yule msichana anajiheshimu kwa kwel... Ila na mimi nimeapa sitanyanyua midomo yangu kutamka neno "fulani nakupenda" badala yake nikipenda nitajitahd kumfanya yeye ndio atamke... Kujipendekeza sio kuzuri kwakwel... amna kabisa aah...
 
Kununua maziwa ni nafui zaidi kuliko kufuga ng'ombe
Hiyo ni kwenye maziwa tu, lakini
Kununua maziwa ni nafui zaidi kuliko kufuga ng'ombe
Ni kweli, ingawa mwenye ng'ombe hanywi maziwa yaliyochakachuliwa.

Hii ni sawa anaekula kwa mama nitilie, na anaejipikia, kwa mama mtilie kuna nafuu, ila walaji wanapitia mengi, kuliko anaejipikia.
 

🀣🀣🀣🀣🀭
 
🀣🀣🀣🀣πŸ₯΄
 
Ukis
Duh hiyo kumvizia mwanamke atamke yeye anakupenda, ili umudu uwe na miaka, kuanzia 60+, tena uwe unasumbuliwa na maradhi, ndipo utamudu, ila chini ya umri huo, unaweza jikuta sabani ni mpenzi wako, wa kumaliza hsja zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…