Kataa Ndoa vs Kubali Ndoa

Kataa Ndoa vs Kubali Ndoa

Mwanaume unakataaje kuoa.
Ndo kitu pekee kinacholeta furaha maishani mwetu.
Unadhani ukifanya kazi sana ndo utakuwa na furaha??
Unadhani ukiwa na wanawake ishirini ndo utakuwa na furaha??
Mwanamke ndo kitu pekee kinachotupa furaha maishani, sio mwanamke tuu bali ni yule mwanamke unayeishi naye kihalali kwa ndoa, ukisema "Hela" inakupa furaha nitakuona mwongo sana kwa sababu hata hao matajiri wa dunia wameoa.
Kukataa kuoa ni weakness kwa sababu unakwepa ku-deal na mapungufu yako na mapungufu ya huyo utakae muoa.
Avoiding marriage is going against nature.
Sorry,mawazo yako yana walakini sana. So,wewe umekaa ukatafakari kwa kina na kuja na hoja hii? Eti "Ndoa ni kitu pekee kinacholeta furaha".

Kataa ndoa,ndoa ni utapeli.
 
Back
Top Bottom