Kataa Ndoa vs Kubali Ndoa

Kataa Ndoa vs Kubali Ndoa

Habarini wakuu,

Hivi karibuni kumeibuka mjadala wa baadhi ya wanaume kukataa NDOA, (dronedrake ) muda huohuo pia kua baadhi ya wanaume wanakimbilia NDOA.

Jambo hili linaibua hisia za wanaume na wanawake wengi pia, na vilevile linapelekea wengine kubaki kwenye kitendawili cha kufuata NDOA au kukataa NDOA. Wenye uzoefu wa NDOA tunaomba msaada wenu wa kwanini mliweza kuikimbilia NDOA. Na wale pia KATAA NDOA, mtueleze pia sababu zipi zinapelekea MKATAE NDOA.

Lengo tushare EXPERIENCE kwa sisi ambao hatujaoa tujue ambayo tusiyoyajua juu ya FAIDA/HASARA za KATAA na KUBALI NDOA. View attachment 2760726View attachment 2760727
dronedrake anawadanganya ana mke na watoto watatu
 
Furaha yangu kubwa imepatikana baada ya kuoa. I was just 25 yrs. Finished Uni and Jobless. The rest is history. Alhamdulillah for the blessing of marriage. #Tawakal
Nasi twaja mkuu, ebu tupe kwanza mema ya KUBALI NDOA[emoji39][emoji39][emoji39]
 
dronedrake anawadanganya ana mke na watoto watatu
Africans psychology ni same, na hilo wala halishangazi.

Madoctor ndo wavuta sgara wakubwa na wao huwakemea wagonjwa wao wasivute, viongozi wa Dini nao baadh ni viongoz wa dhamb za makusudi. Kwahyo hlo la bwana dronedrake Kam kawaingza chocho pia co mby[emoji23][emoji23][emoji23]

Kuoa ni wito, nasi tunajiandaa kuitika[emoji39][emoji39][emoji39]
 
Kabisa na hii haihitaji ndoa.

Kama ingehitaji ndoa masingle moms ambao hawajaolewa wasingekuwepo.

Na watoto wao wanazaliana.
Short and clear.
Nafikilia watoto nje ya ndoa, au ndani ya ndoa, wazazi wakaachana watoto wakiwa bado wadogo, wanapitia Mengi sana.
Wanapitia mengi sana, kubwa ni kukosa mslezi ya pamoja ya wazazi wote wawili, na ikiwezeka wanalelewa sana na bibi mzaa mama, maana mama nae anataka aendelee kuoneka mpya.
 
Ishi maisha yako mkuu.
Usitegemee kupata majibubya uhalisia/ukweli.
KUna watu wanapinga ndoa sana hapa jukwaani ila wana ndoa
Kuna wanaoshauri ndoa sana ila wao hawataki ndoa

Tumia sana akili zako na akili za imani yako ya dini
 
Kila kitu mkuu
Labda
Nikueleze usawa ambao utafanya tujikite kwenye hii mada.

Wanawake wote wapo kwenye same class mbele ya system.

SOCIAL HIERARCHY
Kwenye social Hierarchy
This is a man thing
zinawacategorize men only.

Kwasabab technically women are treated equally by our system every where.

Unataka niende deeper mkuu?

Hivi uliwahi kusikia mtu anakwambia wanAwake wote ni sawa. Pengine amekusikia labda unamsifia binti fulani anatabia njem au yupo hivi na vile au bla bla bla bla

Kuna wakina sisi ambao tunajua kuwa wanawake wote ni sawa despite of all her innocent look, her bitchness, her boss ass, her strong independent ass.

Najua ni swala la.muda tu
Mwisho wa siku utajua kuwa wanawake wote ni sawa.

Well mkuu, huo mfanano wao upo kwenye mihemko au??
 
Ishi maisha yako mkuu.
Usitegemee kupata majibubya uhalisia/ukweli.
KUna watu wanapinga ndoa sana hapa jukwaani ila wana ndoa
Kuna wanaoshauri ndoa sana ila wao hawataki ndoa

Tumia sana akili zako na akili za imani yako ya dini
Naona kuna RUBY nying sana humu mkuu,
 
Kila kitu mkuu
Labda
Nikueleze usawa ambao utafanya tujikite kwenye hii mada.

Wanawake wote wapo kwenye same class mbele ya system.

SOCIAL HIERARCHY
Kwenye social Hierarchy
This is a man thing
zinawacategorize men only.

Kwasabab technically women are treated equally by our system every where.

Unataka niende deeper mkuu?

Hivi uliwahi kusikia mtu anakwambia wanAwake wote ni sawa. Pengine amekusikia labda unamsifia binti fulani anatabia njem au yupo hivi na vile au bla bla bla bla

Kuna wakina sisi ambao tunajua kuwa wanawake wote ni sawa despite of all her innocent look, her bitchness, her boss ass, her strong independent ass.

Najua ni swala la.muda tu
Mwisho wa siku utajua kuwa wanawake wote ni sawa.
Yah upo sahihi mkuu, tena hasa kwenye suala la maamuzi.
 
hivi hebu njooni mnipe maelezo ya kutosha hasa,juu ya ubaya wa ndoa mpaka mnaanzisha harakati za kukataa ndoa.
 
Ndoa za kishua, ni kama hujaoa au hujaolewa, soma uzielewe:

hivi hebu njooni mnipe maelezo ya kutosha hasa,juu ya ubaya wa ndoa mpaka mnaanzisha harakati za kukataa ndoa.
Mtoa mada pale juu ametag picha ambazo zinatoa jibu la swali lako angalia tetea (married) ana afya ya kutosha ilihali jogoo( married) amenyonyoka mpaka manyoya hii inaonyesha namna mwanau.e anavyokamuliwa kisawasawa kuhakikisha mwanamke ananawiri huku yeye jua linamuwakia.
Marriage is a big SCAM
Kataa ndoa
 
Ukitaka kufaidi faida za kataa ndoa tulia hivyo hivyo ukitaka kujua hasara za kukimbilia ndoa basi oa😎
 
Faida za kuoa- furaha
Hasara za kuoa-............(hamna)
Kama unaamini kuna hasara za kuoa pole mzee.
Hakuna hasara za kuoa but kuna hasara za kuoa mwanamke usiye endana nae.
Oa mwanamke unayempenda na ww anakupenda.
Ukiona mwanamke anayekupenda na ww humpendi basi tuu labda katoka familia tajiri, aisee hutokuwa na furaha kweny maisha yako ya ndoa.
Ukioa mwanamke unayempenda ila yeye hakupendi, hapo ndo utafahamu stress ni nn.
Oa mwanamke mnayependana, regardless hali ya familia yake ili mradi mnapendana.
Huu ni ushauri tuu unaweza fanya unavojua ww.
Kuna wakati binadamu anavyopata mwanamke bora na kuishi naye vizuri, anaona wenzake ni maboya sana hawajui kuchagua wanawake bora. Ukipata mwanamke bora mshukuru Mungu sana sio kwa uwezo wako ni Neema tu umepata. Tuendelee kumuomba Mungu aingilie kati suala la ndoa na Mahusiano.
 
Back
Top Bottom