True Believer
JF-Expert Member
- Mar 6, 2019
- 586
- 886
- Thread starter
- #281
Duuh, kwann ncjue ndo niingie[emoji44][emoji44]Ingia ndo utajua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh, kwann ncjue ndo niingie[emoji44][emoji44]Ingia ndo utajua
Duuh, kwann ncjue ndo niingie[emoji44][emoji44]Ingia ndo utajua
No facts, no right to speak., n kwasababu zp mkuu??Wewe usioe
dronedrake anawadanganya ana mke na watoto watatuHabarini wakuu,
Hivi karibuni kumeibuka mjadala wa baadhi ya wanaume kukataa NDOA, (dronedrake ) muda huohuo pia kua baadhi ya wanaume wanakimbilia NDOA.
Jambo hili linaibua hisia za wanaume na wanawake wengi pia, na vilevile linapelekea wengine kubaki kwenye kitendawili cha kufuata NDOA au kukataa NDOA. Wenye uzoefu wa NDOA tunaomba msaada wenu wa kwanini mliweza kuikimbilia NDOA. Na wale pia KATAA NDOA, mtueleze pia sababu zipi zinapelekea MKATAE NDOA.
Lengo tushare EXPERIENCE kwa sisi ambao hatujaoa tujue ambayo tusiyoyajua juu ya FAIDA/HASARA za KATAA na KUBALI NDOA. View attachment 2760726View attachment 2760727
Nasi twaja mkuu, ebu tupe kwanza mema ya KUBALI NDOA[emoji39][emoji39][emoji39]Furaha yangu kubwa imepatikana baada ya kuoa. I was just 25 yrs. Finished Uni and Jobless. The rest is history. Alhamdulillah for the blessing of marriage. #Tawakal
Africans psychology ni same, na hilo wala halishangazi.dronedrake anawadanganya ana mke na watoto watatu
Wewe naona upo early 20'sNo facts, no right to speak., n kwasababu zp mkuu??
Nafikilia watoto nje ya ndoa, au ndani ya ndoa, wazazi wakaachana watoto wakiwa bado wadogo, wanapitia Mengi sana.Kabisa na hii haihitaji ndoa.
Kama ingehitaji ndoa masingle moms ambao hawajaolewa wasingekuwepo.
Na watoto wao wanazaliana.
Short and clear.
Well mkuu, huo mfanano wao upo kwenye mihemko au??
32 yrsWewe naona upo early 20's
Naona kuna RUBY nying sana humu mkuu,Ishi maisha yako mkuu.
Usitegemee kupata majibubya uhalisia/ukweli.
KUna watu wanapinga ndoa sana hapa jukwaani ila wana ndoa
Kuna wanaoshauri ndoa sana ila wao hawataki ndoa
Tumia sana akili zako na akili za imani yako ya dini
Yah upo sahihi mkuu, tena hasa kwenye suala la maamuzi.Kila kitu mkuu
Labda
Nikueleze usawa ambao utafanya tujikite kwenye hii mada.
Wanawake wote wapo kwenye same class mbele ya system.
SOCIAL HIERARCHY
Kwenye social Hierarchy
This is a man thing
zinawacategorize men only.
Kwasabab technically women are treated equally by our system every where.
Unataka niende deeper mkuu?
Hivi uliwahi kusikia mtu anakwambia wanAwake wote ni sawa. Pengine amekusikia labda unamsifia binti fulani anatabia njem au yupo hivi na vile au bla bla bla bla
Kuna wakina sisi ambao tunajua kuwa wanawake wote ni sawa despite of all her innocent look, her bitchness, her boss ass, her strong independent ass.
Najua ni swala la.muda tu
Mwisho wa siku utajua kuwa wanawake wote ni sawa.
@dronedrakehivi hebu njooni mnipe maelezo ya kutosha hasa,juu ya ubaya wa ndoa mpaka mnaanzisha harakati za kukataa ndoa.
Mtoa mada pale juu ametag picha ambazo zinatoa jibu la swali lako angalia tetea (married) ana afya ya kutosha ilihali jogoo( married) amenyonyoka mpaka manyoya hii inaonyesha namna mwanau.e anavyokamuliwa kisawasawa kuhakikisha mwanamke ananawiri huku yeye jua linamuwakia.hivi hebu njooni mnipe maelezo ya kutosha hasa,juu ya ubaya wa ndoa mpaka mnaanzisha harakati za kukataa ndoa.
Kuna wakati binadamu anavyopata mwanamke bora na kuishi naye vizuri, anaona wenzake ni maboya sana hawajui kuchagua wanawake bora. Ukipata mwanamke bora mshukuru Mungu sana sio kwa uwezo wako ni Neema tu umepata. Tuendelee kumuomba Mungu aingilie kati suala la ndoa na Mahusiano.Faida za kuoa- furaha
Hasara za kuoa-............(hamna)
Kama unaamini kuna hasara za kuoa pole mzee.
Hakuna hasara za kuoa but kuna hasara za kuoa mwanamke usiye endana nae.
Oa mwanamke unayempenda na ww anakupenda.
Ukiona mwanamke anayekupenda na ww humpendi basi tuu labda katoka familia tajiri, aisee hutokuwa na furaha kweny maisha yako ya ndoa.
Ukioa mwanamke unayempenda ila yeye hakupendi, hapo ndo utafahamu stress ni nn.
Oa mwanamke mnayependana, regardless hali ya familia yake ili mradi mnapendana.
Huu ni ushauri tuu unaweza fanya unavojua ww.