Katambi avunja ngome ya Upinzani Ushetu amwombea kura mgombea wa CCM Comred Emmanuel Peter Cherehani

Mkuu tumewapeni taarifa tu kuwa wanachama wenu wote wamesepa CCM kunabaya kwani hapo?
 
Mkuu chadema hawapo kwenye huo uchaguzi, au umevurugwa nao au una wenge lao nini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alipigwa mimba na mmoja wa wana Cdm
 
Kwa upumbavu kama huu nani apoteze muda wake kushiriki uchaguzi. CCM ilishajifia na kazi zake zinafanywa na jeshi la.polisi
Your browser is not able to display this video.
 
Sasa siasa za kufanya mwenyewe unavunjaJe kambi ya wengine ?!. Kama mnajiamini tume iwe huru

Patrobas mwenyewe alibebwa shinyanga mjini. Amshukuru marehemu kutumia mabavu kumuingiza bungeni.
 
Sasa siasa za kufanya mwenyewe unavunjaJe kambi ya wengine ?!. Kama mnajiamini tume iwe huru

Patrobas mwenyewe alibebwa shinyanga mjini. Amshukuru marehemu kutumia mabavu kumuingiza bungeni.
Sasa nani angenshinda hebu tumwogope Mungu wetu
 
Sasa siasa za kufanya mwenyewe unavunjaJe kambi ya wengine ?!. Kama mnajiamini tume iwe huru

Patrobas mwenyewe alibebwa shinyanga mjini. Amshukuru marehemu kutumia mabavu kumuingiza bungeni.
Mkuu upo sahihi na hao kina kajamba nani wa lumumba hawakumbuki.
 
Ni kweli hujui sababu??

Wanataka Tume Huru Kwanza, mgogoro wa refa utatuliwe ndio mechi ianze. Kwa Sasa wanasema refa wa Yanga, so Sina haiingizi timu uwajani. Simple!
Ila 2020 na hata 2025 wataleta pua zao chini ya refa huyu huyu?
 
Kwani nyie ndio mnamsapoti hayati?
Sisi hatumsapoti hayat kwa ubaguzi wake na kujiona yeye alikuwa kila kitu na kufikia há tua ya kusema atauwa upinzani sasa wewe unasema mnaupenda upinzani kwasababu gain wakati yule laanatullah alikuwa hataki hilo.

Sikuzote ukijua kupanga mpanguaji yupo na ndio huyo aliompokonya uhai kwasababu alijaribu kuua wengine.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…