Katambi avunja ngome ya Upinzani Ushetu amwombea kura mgombea wa CCM Comred Emmanuel Peter Cherehani

Hii ni ajabu. CDM hawashiriki uchaguzi lakini inaonekana kwamba ndio wapinzani kwa muktadha wa mwandishi. Hivi ccm kinachowasha ni kitu gani?
 
Kwanini msiende ili dunia ione hii regime ya Samia kama itawahujumu?

Chadema inajimaliza yenyewe msilaumu CCM,CCM tunaelewa umuhimu wa upinzani na tunataka uwepo kwa umadhubuti wa CCM yetu
Chadema ikimalizika si ndio furaha yenu.kwani shida iko wapi au wewe unateseka vip?.mko wenyewe bungeni hadi kila mahali ila bado mnawashwa na chadema.
 
Sasa kama chama kimekufa wasitafute chama kingine?

Karibu sana CCM Chama cha wachamungu tukiongoza na Mama yetu Kipenzi Samia Suluhu
Hakuna ubaya mkuu, ila nilisikia Chadema imeshakufa, sasa hao wanachama unaodai ni wa Chadema nashindwa kabisa kuelewa hapo.
 
Hii ni ajabu. CDM hawashiriki uchaguzi lakini inaonekana kwamba ndio wapinzani kwa muktadha wa mwandishi. Hivi ccm kinachowasha ni kitu gani?
Laaana ya wana cdm inaendelea kuwatesa sana ccm.
 
Sio tuu kususia kwanza ni chama chenye njaa kinachoongozwa na genge la wasaka madaraka wakifadhiliwa na magenge ya Wahuni huko Ulaya.

Kuwapa madaraka watu kama Hawa ni hatari kwa ustawi wa Taifa na watu wake.
Unamawazo duni kama wale wazee wa zama za kale za ujinga.pole sana ndugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…