Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Ucha Mungu [emoji102][emoji3517].Sasa kama chama kimekufa wasitafute chama kingine?
Karibu sana CCM Chama cha wachamungu tukiongoza na Mama yetu Kipenzi Samia Suluhu
Wanawashwa sana.ukiona hivyo jua wamekosa mvuto ndo maana wanaangaika na visivyowahusu.Nchi imepooza kila mahali ndo maana wanaangaika na cdm.Hii ni ajabu. CDM hawashiriki uchaguzi lakini inaonekana kwamba ndio wapinzani kwa muktadha wa mwandishi. Hivi ccm kinachowasha ni kitu gani?
Unazijua vizuri tabia za kiongozi wenu mkuu?Ucha Mungu [emoji102][emoji3517].
Mashetani na nyang'au ndimo zinamokaa .
Mvuto kwa nani?Wanawashwa sana.ukiona hivyo jua wamekosa mvuto ndo maana wanaangaika na visivyowahusu.Nchi imepooza kila mahali ndo maana wanaangaika na cdm.
Ahahahaaaaà. [emoji28][emoji23][emoji1787] Jiwe !!Unazijua vizuri tabia za kiongozi wenu mkuu?
CCM inawachamungu sana tu
Mkuu you are not serious, kwamba nyie ni wacha Mungu? Unless nasema tena unless unamaanisha ule uchamungu kama wa Jiwe.Sasa kama chama kimekufa wasitafute chama kingine?
Karibu sana CCM Chama cha wachamungu tukiongoza na Mama yetu Kipenzi Samia Suluhu
Unaona raha kukaa na makolokolo yasiyo na faida, wafaransa walijenga mnara ambao mapato yake nchi nzima inafaidika, sisi mapato yanakwenda kuijenga CCM! Uza.Kumbe kweli mtauuza asie nyie jamaa,
Yes, hujanielewa mkuu, namaanisha kuwa Chadema haishiriki huo uchaguzi kwanini mnakuja kulia humu jukwaani kuhusu Chadema wakati mnapambana na Act? Kama Chadema haishiriki just go on na uchaguzi kati yenu na Act, that's it.Leo mbona uchaguzi unafanyika leo?
Au sijakuelewa mkuu wangu
Compared to whom?Mkuu you are not serious, kwamba nyie ni wacha Mungu? Unless nasema tena unless unamaanisha ule uchamungu kama wa Jiwe.
Kwa tume hii ya ujinga bora tu waache kushiriki ili hao wanaotaka kubaki madarakani wabaki. Tume, Wakurugenzi wanateuliwa na Mwenyekiti wa Chama mpinzani wako. Tanzania hakuna uchaguzi. Kuna huruma ya kupewa nafasi tu. Tume huru ndio Muarobaini wa CCM.Hili la Chadema kususia chaguzi ndogo na kushiriki uchaguzi mkuu naugana na wanaohama Chadema,
Kama mlisema mnaibiwa kura na Hayati Rais Magufuli vipi leo kwa Rais Samia nayeye amewaibia?
Chadema inajiua yenyewe tena polepole (gradually)
CAG kasema hakuona matuzi hakusema zimeibwa kuwa makiniBring back our 1.5 trillion
Kwa hiyo wewe huoni ni afadhali Chadema ife? Kwani unapenda isife? Mimi nafikiri ungefurahi Chadema ife ili uendelee mbele kwa mbele kwa ushidi. Siku hizi hata anayeshinda uchaguzi ndani ya CCM hafurahii ushindi wake na hana uhakika kama anapendwa au hapendwi. Ushindi siku zote ni mtamu pale panapokuwa na mwenye nguvu mnayeshindana naye ukamshinda. Hadi leo Yanga wanashangilia ushindi dhidi ya Simba kana kwamba hawakucheza na Geita Gold vile.Hili la Chadema kususia chaguzi ndogo na kushiriki uchaguzi mkuu naugana na wanaohama Chadema,
Kama mlisema mnaibiwa kura na Hayati Rais Magufuli vipi leo kwa Rais Samia nayeye amewaibia?
Chadema inajiua yenyewe tena polepole (gradually)
Mkisusa wenzenu wala Tanzania kuna vyma 19 vyenye usajili wa kudumuKwa tume hii ya ujinga bora tu waache kushiriki ili hao wanaotaka kubaki madarakani wabaki. Tume, Wakurugenzi wanateuliwa na Mwenyekiti wa Chama mpinzani wako. Tanzania hakuna uchaguzi. Kuna huruma ya kupewa nafasi tu. Tume huru ndio Muarobaini wa CCM.
Katambi acha utani bana 🤣 🤣Huyu dogo Katambi anaushawishi sana tangu akiwa Chadema,
Ndio kiongozi wa kwanza kuachana na Chadema akiwa madarakani na ndio alifungulia watu wote kuhamia CCM kama CCM kunamtu wanapashwa kumshukuru kizazi hata kizazi ni huyu dogo
CCM ndio ilivianzisha hivi vyama na anavipa pesa ili viishi, Kwanini tutamani vife wakati ni vinyago vyetu?Kwa hiyo wewe huoni ni afadhali Chadema ife? Kwani unapenda isife? Mimi nafikiri ungefurahi Chadema ife ili uendelee mbele kwa mbele kwa ushidi. Siku hizi hata anayeshinda uchaguzi ndani ya CCM hafurahii ushindi wake na hana uhakika kama anapendwa au hapendwi. Ushindi siku zote ni mtamu pale panapokuwa na mwenye nguvu mnayeshindana naye ukamshinda. Hadi leo Yanga wanashangilia ushindi dhidi ya Simba kana kwamba hawakucheza na Geita Gold vile.
Why daily mnaizungumzia CDM. Fanyeni siasa bila polisi ama hao MADED ndio mtajua nini maana ya siasa yaani mnapigwa peupe na alfajili. CCM bila Polisi na Tume fake hakuna ushindi.Mkisusa wenzenu wala Tanzania kuna vyma 19 vyenye usajili wa kudumu
Sasa mbona unakazana kuisema Chadema na siyo TLP ya Mrema?CCM ndio ilivianzisha hivi vyama na anivipa pesa ili viishi, Kwanini tutamani ife nawakati ni kinyago chetu?
Tumia akili hata kidogo tu
Zimeliwa na walafi waliopo ndani ya ccmCAG kasema hakuona matuzi hakusema zimeibwa kuwa makini
Wana ccm / watawala wanajua kuwa cdm ndiyo muhimili wa siasa hapa Tanzania.Sasa mbona unakazana kuisema Chadema na siyo TLP ya Mrema?