Katambi: Tanzania hakuna Ugaidi, kunaweza kuwa na viashiria

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema Tanzania haina ugaidi, huku akisisitiza kuwa hakuna mtu aliye juu ya sheria wala anayepaswa kupewa kinga kutokana na cheo, taaluma, dini au hadhi yake katika jamii.

Soma pia Heche: Tutawaandikia barua FIFA na CAF kuwaeleza Serikali imesema kuna 'Ugaidi' wasilete Watu AFCON

Amesema vyombo vya dola vinaendelea kuchukua hatua dhidi ya yeyote anayehusika na vitendo vinavyokiuka sheria bila ubaguzi.

Waziri Katambi amesema hatuna matukio makubwa ya kigaidi Tanzania

View attachment 3638999
Mtahangaika sana kutetea uropokaji wenu, maneno yenu wenyewe yamewapalia sasa.
GhfJRpEacAEgTRK.jpeg
 
Ma
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema Tanzania haina ugaidi, huku akisisitiza kuwa hakuna mtu aliye juu ya sheria wala anayepaswa kupewa kinga kutokana na cheo, taaluma, dini au hadhi yake katika jamii.

Soma pia Heche: Tutawaandikia barua FIFA na CAF kuwaeleza Serikali imesema kuna 'Ugaidi' wasilete Watu AFCON

Amesema vyombo vya dola vinaendelea kuchukua hatua dhidi ya yeyote anayehusika na vitendo vinavyokiuka sheria bila ubaguzi.

Maccm bana.. Hayana kauli moja kwenye lolote🤣
 
Kudadeq, shimo mlilowachimbia wenzanu sasa mnaingia wenyewe. Mumetangaza kuwa kuna magaidi 130 Tanzania, sasa kama wapo magaidi utakataaje kuwa hakuna ugaidi, hivi hawa watu wanatumia viungo gani vya miili yao wanapotoa matamko yao ya kishetani? Huyu Katambi ndiye kazuia mikutano ya kisiasa nchi nzima kwa kisingizio kuwa kuna tishio la amani nchini sasa anajikanyaga nini hapa? Hii haijaisha hadi iishe wahuni wakubwa nyie.
 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema Tanzania haina ugaidi, huku akisisitiza kuwa hakuna mtu aliye juu ya sheria wala anayepaswa kupewa kinga kutokana na cheo, taaluma, dini au hadhi yake katika jamii.

Soma pia Heche: Tutawaandikia barua FIFA na CAF kuwaeleza Serikali imesema kuna 'Ugaidi' wasilete Watu AFCON

Amesema vyombo vya dola vinaendelea kuchukua hatua dhidi ya yeyote anayehusika na vitendo vinavyokiuka sheria bila ubaguzi.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema kuwa Tanzania haina tatizo la ugaidi. Aidha, amesisitiza kuwa katika utekelezaji wa sheria, hakuna mtu aliye juu ya sheria wala anayepaswa kupewa kinga kutokana na cheo, taaluma, dini au hadhi yake katika jamii. Amesema kuwa kila mtu anawajibika kuwajibishwa kwa mujibu wa sheria bila ubaguzi au upendeleo
 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema Tanzania haina ugaidi, huku akisisitiza kuwa hakuna mtu aliye juu ya sheria wala anayepaswa kupewa kinga kutokana na cheo, taaluma, dini au hadhi yake katika jamii.

Soma pia Heche: Tutawaandikia barua FIFA na CAF kuwaeleza Serikali imesema kuna 'Ugaidi' wasilete Watu AFCON

Amesema vyombo vya dola vinaendelea kuchukua hatua dhidi ya yeyote anayehusika na vitendo vinavyokiuka sheria bila ubaguzi.

Itabidi aitwe kwenye ushahidi wa kesi
 
Kukutwa na vifaa inakuwaje hakuna ugaidi?
 
Sema haya mambo wanavyokuwa wanatuambia kila siku haya maneno ya ugaidi uhaini mwisho wa siku yatakuja kuonekana mambo ya kawaida saana na ndipo wataanza kufanya kweli.
Hivyo ni vyema serikali na viongozi wake wajitafakari na kupunguza kutumia haya maneno mara kwa mara
 
Shida kubwa ni kwamba Polisi wanasema Kuna watu kadhaa wameshitakiwa kwa vitendo vya ugaidi, kuna kesi zingine kama ile ya Lissu kwa mfano ambayo kama kweli Mahakama za Tanzania zingekua huru au enzi zile ma Judge kama Kahwa Lugakingira, Saluum Masati, Mwalusanya J, Kisanga J, wangeitupitilia mbali ile kesi haraka kwa haraka sana...

Kingine ni wale mnaoumiza watanzania wenzenu mtu kama Katambi anaongea kwa hasira utadhani yeye ana haki zaidi kuliko wengine, cool down man tumeshakua na Mawaziri wa Mambo ya ndani very powerful na wanaishi kwenye mioyo ya watu Mtu kama Mrema kwa mfano alikua anatisha ila kwa matendo ya ujangiri na wizi sio kuumiza watanzania wengine!! Siku moja wewe hautakuwa Waziri na unajua kabisa hiyo ni kazi ya Umma sio yako.

Kuzushia watu mikesi ya uongo ili tu muwakomoe haifai kabisa, sasa kauli zinageuka leo mnasema tumeshitaki watu kadhaa kwa makosa ya vitendo vya kigaidi kitu kibaya sana kama hicho mnatangazia Dunia hadharani kabisa halafu mnataka watu waje kuweka mitaji yao hapo hapo!!! waje kucheza mpira na kutembea kwenye nchi mnayosema ina magaidi hivi mnajua gaidi anavyotisha mana anaweza kujilipua ili aue watu kadhaa ni hatari sana gaoidi mmoja tu anaogpesha mnooo angalieni Osama alivyowakimbiza Marekani Afghanstan kule au AL zawahiri alivyowatesa ni hatari....

Mnazidi kuharibu nchi kwa kiwango hatukuwahi kuwaza..saiv ukiona mabarabara yalivyojaa mashimo, maji yamerudi kuwa shida sana , umeme literally ni mgao ila unaona kuna watu wanaishi maisha ya juu na ni watumishi ukisema hilo tu unaambiwa wewe gaidi!!!
 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema Tanzania haina ugaidi, huku akisisitiza kuwa hakuna mtu aliye juu ya sheria wala anayepaswa kupewa kinga kutokana na cheo, taaluma, dini au hadhi yake katika jamii.

Soma pia Heche: Tutawaandikia barua FIFA na CAF kuwaeleza Serikali imesema kuna 'Ugaidi' wasilete Watu AFCON

Amesema vyombo vya dola vinaendelea kuchukua hatua dhidi ya yeyote anayehusika na vitendo vinavyokiuka sheria bila ubaguzi.

Mpumbavu sana ,umekamata magaidi zaidi ya 100 halafu unasema hakuna ugaidi kuna viashiria?
 
Back
Top Bottom