Katambi: Tanzania hakuna Ugaidi, kunaweza kuwa na viashiria

Katambi: Tanzania hakuna Ugaidi, kunaweza kuwa na viashiria

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema Tanzania haina ugaidi, huku akisisitiza kuwa hakuna mtu aliye juu ya sheria wala anayepaswa kupewa kinga kutokana na cheo, taaluma, dini au hadhi yake katika jamii.

Soma pia Heche: Tutawaandikia barua FIFA na CAF kuwaeleza Serikali imesema kuna 'Ugaidi' wasilete Watu AFCON

Amesema vyombo vya dola vinaendelea kuchukua hatua dhidi ya yeyote anayehusika na vitendo vinavyokiuka sheria bila ubaguzi.

😁😁😁 hatuna ugaidi lakini tumekamata magaidi 61 na kuwafikisha mahakamani. Bado wengine 71 tunaendelea kuwahoji juu ya ugaidi
Nchi hii raha sana jamani 😁😁😁😁
 
Hakuna ugaidi ila mnashtaki watu kwa ugaidi. Mhadhiri yupo darasani anakamatwa kwa ugaidi.
Yaani kusema ni rahisi kabisa ila sasa ukikumbuka tayari umetumbukia kwenye matope sasa kazi ya kujinasua ndiyo hii.
Anyway tutaweka kampuni nyingine ya nje tulipe mabilioni kadhaa watusafishe na hii habari ya ugaidi na maisha yasonge mbele. TZ raha sana jamani duuuhhh
 
Tatizo kubwa Chadema wanadai kupitia wafuasi wao👈

wanasema wakichukua nchi watawakamata wanaccm au viongozi!

Tumesema sawa
Lkn kwasasa bado ni zamu yenu kukaa Lupango 🫎🫎
 
Barua tayari zipo FIFA na CAF juu ya ugaidi Tanzania na muda si mrefu watatoa mwongozo namna ya kuondoa mashindano nchini
 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema Tanzania haina ugaidi, huku akisisitiza kuwa hakuna mtu aliye juu ya sheria wala anayepaswa kupewa kinga kutokana na cheo, taaluma, dini au hadhi yake katika jamii.

Soma pia Heche: Tutawaandikia barua FIFA na CAF kuwaeleza Serikali imesema kuna 'Ugaidi' wasilete Watu AFCON

Amesema vyombo vya dola vinaendelea kuchukua hatua dhidi ya yeyote anayehusika na vitendo vinavyokiuka sheria bila ubaguzi.

Huyu MAVI anajua anachoongea? Mpumbavu na mjinga sana.
 
Nilisha waambia ccm ni wajinga , mkubwa wa mauji alisema wanaharakati na upinzani ni magaidi, polisi wakaanza kushika wapinzani na kuwapa kesi za Ugaidi, hii nchi hakuna watu wajinga kama ccm, uwezo hawana uchu wa madaraka ndo unawafanya wawe hapo.
 
Kingine ni wale mnaoumiza watanzania wenzenu mtu kama Katambi anaongea kwa hasira utadhani yeye ana haki zaidi kuliko wengine, cool down man. Siku moja wewe hautakuwa Waziri
Cheo ni dhamana, tena ya muda mfupi. Mungu anaweza kufanya lolote- yuko wapi magfuli na kiburi chake mpaka kujiita jiwe? Au zama zibadilike yuko wapi Tulia akson aliyekuwa mungu mdogo katilka lile bunge haramu?
 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema Tanzania haina ugaidi, huku akisisitiza kuwa hakuna mtu aliye juu ya sheria wala anayepaswa kupewa kinga kutokana na cheo, taaluma, dini au hadhi yake katika jamii.

Soma pia Heche: Tutawaandikia barua FIFA na CAF kuwaeleza Serikali imesema kuna 'Ugaidi' wasilete Watu AFCON

Amesema vyombo vya dola vinaendelea kuchukua hatua dhidi ya yeyote anayehusika na vitendo vinavyokiuka sheria bila ubaguzi.

Akae akijua kuwa hiyo ofisi wamepita mawaziri wengi sana,Ajue kuwa hao watu wanao wabambikia makesi ya ugaidi ili wateseke jela bado ni binadamu kama yeye.

Alafu kinacho mponza samaki kambale ni mdomo wake kwa kukimbilia chambo
 
Back
Top Bottom