Katambi: Tanzania hakuna Ugaidi, kunaweza kuwa na viashiria

Katambi: Tanzania hakuna Ugaidi, kunaweza kuwa na viashiria

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema Tanzania haina ugaidi, huku akisisitiza kuwa hakuna mtu aliye juu ya sheria wala anayepaswa kupewa kinga kutokana na cheo, taaluma, dini au hadhi yake katika jamii.

Soma pia Heche: Tutawaandikia barua FIFA na CAF kuwaeleza Serikali imesema kuna 'Ugaidi' wasilete Watu AFCON

Amesema vyombo vya dola vinaendelea kuchukua hatua dhidi ya yeyote anayehusika na vitendo vinavyokiuka sheria bila ubaguzi.

Mbese!! 😕 Kumbe Samia alivyosema wanaharakati wengi ni magaidi alikuwa anaweka matani?
 
Viashiria bipi hivyo...acheni kuichafua nchi...mmekuwa wapuuzi msiotumia akili...tatzo ni chadema...chadema ni watanzania msifikiri wale ni wageni...futeni hizo kesi za kipuuzi...wacha chadema iandike barua CAF FIFA na kwingine maana mmekuwa washenz
 
Nasikia jamaa walivyokuwa wanajenga mnara wa baberi ulikuwa umefika juu sana, Mungu akaswitch language. Wa juu akisema leta tofali, wakatikati anasema jamaa kasema leta unga, hadi agizo linafika chini, wachini anapandisha papai badala ya tofali.
Hii ndo inatokea sahiv kwa maccm, ni kama manguruwe tu hayajui nini yanaongea na hatma ya maneno yao
 
4. MASHARTI NA MUDA MAALUMU KUTOKA COMMONWEALTH CMG(The Ultimatum)

Kutokana na mapendekezo ya Mjumbe Maalum, CMAG imetoa maelekezo yenye ukomo wa muda (Time-bound actions) kwa Tanzania:

Ndani ya Siku 30
: Kutatua suala la kushikiliwa kwa Tundu Lissu kupitia njia za kisiasa au kisheria, na kuwaachia wengine wote wanaoshikiliwa kwa kutumia haki zao kwa amani.

Ndani ya Siku 60: Kurejesha upatikanaji kamili wa mitandao ya kijamii na kuacha vitisho dhidi ya vyombo vya habari na watetezi wa uhuru wa kujieleza.

Ndani ya Siku 90: Kuitisha jukwaa shirikishi na la kuaminika la vyama vya siasa (likiongozwa na mwezeshaji huru) kujadili mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi, ushindani wa kisiasa, wafungwa, na uwajibikaji.

Bila Kuchelewa: Kuanza uchunguzi huru wa makosa ya jinai uliopendekezwa na Tume ya Uchunguzi, pamoja na fidia kwa wahanga.

MWISHO WA UBAYA NI AIBU.
 
Sasa kama hakuna ugaidi na wale waliokamatwa kwa ugaidi inakuaje kuaje
 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema Tanzania haina ugaidi, huku akisisitiza kuwa hakuna mtu aliye juu ya sheria wala anayepaswa kupewa kinga kutokana na cheo, taaluma, dini au hadhi yake katika jamii.

Soma pia Heche: Tutawaandikia barua FIFA na CAF kuwaeleza Serikali imesema kuna 'Ugaidi' wasilete Watu AFCON

Amesema vyombo vya dola vinaendelea kuchukua hatua dhidi ya yeyote anayehusika na vitendo vinavyokiuka sheria bila ubaguzi.

Wapo wanaolengwa leo hii hata umuulize mtoto ilimradi anao uwezo wa kujieleza atakuambia mlengwa wa kwanza chadema na viongozi wake,wakosoaji wa maovu ya watawala,wanahabari wanao sema hali halisi,waoonekana kutetea haki na maslahi ya watanzania badala ya kundi la watawala wanaojinufaisha na kushindwa kulinda maslahi ya taifa na Watanzana.
 
Shida ya hizi takataka za ccm ni kulazimisha kuwapa watu kesi zisizokua na dhamana ili waendelee kusota mahabusu wakati mnaichafua nchi kuhusu swala la usalama ndani ya nchi
Nchi hii ina shida kubwa sana ya uongozi
 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema Tanzania haina ugaidi, huku akisisitiza kuwa hakuna mtu aliye juu ya sheria wala anayepaswa kupewa kinga kutokana na cheo, taaluma, dini au hadhi yake katika jamii.

Soma pia Heche: Tutawaandikia barua FIFA na CAF kuwaeleza Serikali imesema kuna 'Ugaidi' wasilete Watu AFCON

Amesema vyombo vya dola vinaendelea kuchukua hatua dhidi ya yeyote anayehusika na vitendo vinavyokiuka sheria bila ubaguzi.

Tanzania tunao ugaidi na gaidi wakuu ni chama cha machawa na serikali yake habithi.
 
Back
Top Bottom